Kuna maumivu ya aina 2 ambayo yanadumu milele kwenye ulingo wa mapenzi.
1. Mwanaume akijua watu wanamla mke wake.
2. Mwanamke ambaye amefanywa kuwa single mother.
Bila shaka hamjambo watu wa Mungu! Kwa wale wenye changamoto za kiafya na wanaendelea kuteseka na maumivu juu ya magonjwa waliyonayo, Mungu atawaponya.
Katika dunia ya sasa kumekuwa na wimbi kubwa sana la watu wanaoishi kwa kutumia dawa za kutuliza maumivu kila siku iendayo kwa Mungu,mara...
Habari ndgu zangu niliumia mazoezini December 2022 goti likavimba baadae nikaenda hospital nikafanya vipimo kama x ray,MRI ya goti ikabainika nimepata impacted Trabecular fracture on medial tibia condyle nikatibitiwa Kwa kupewa dawa kama Diclofenac gel, Cartiflex na steroids injection uvimbe...
JF doctor habari.
Week iliyopita jumanne nilijikuta napata uchovu mkubwa sana, na maumivu kwenye mabega.
Uchovu ulidumu siku mbili tu, then nikaanza kupata maumivu kiunoni na mgongoni kwenye spinal cord, yaani maumivu yanapokezana, yanaweza anza kiunoni then baadae yanaacha yanahamia mgongoni...
Naibu waziri wa Afya Dr Mollel amesema Sheria ya Bima ya Afya kwa Wote itaanza kutumikia mwezi huu wa April 2024 katika tarehe itakayopangwa
=====
Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amesema kuwa Sheria ya Bima ya Afya kwa Wote itatangazwa kuanza kutumika kabla ya Mwisho wa Mwezi wa Nne...
Akichangia mapendekezo ya bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa mwaka wa fedha 2024/2025, Mbunge wa #Gairo (CCM), Ahmed Shabiby ameishauri Serikali kukata Tsh. 2,000 kila Mwezi kwenye laini za simu na Tsh. 10,000 kukatwa kwa Wabunge, Wafanyabiashara na Wafanyakazi ili fedha hizo ziwe chanzo cha...
Heshima kwenu wadau.
Naomba kujuzwa dawa ya maumivu ya mfupa wa kwenye goti, tatizo lilitokana na ajali ya boda goti likavunjika hata kutembea ikawa shida kwa muda wa miezi 6+ ni kitandani tu.
Ikapatikana nafuu ya kuanza kutembea na mara kwa mara mfupa wa goti huwa unauma hasa kipindi cha...
Amesikika mwamba huyu wa Kigali:
1. Kwamba kwao wamewekeza kwa watu na kuwa taasisi imara.
2. Kwamba anaamini hata baada yake atapatikana mwingine labda hata bora zaidi:
3. Kwamba kumbe tokea 1994 amekuwa akiendelea kitini kwa maumivu makali:
4. Kwamba hata hivyo amekubali Tena, kwa...
Habari wana jamii forum, nimekuja na issue moja,
Kuna hili tatizo linanisumbua mwaka wa pili sasa lilianza mwaka juzi mwezi wa tatu nikaangaika nalo hadi mwezi wa 5 likawa limekwisha kabisa.
Iko hivi huo mwezi wa 3 mwaka 2022 ilikuwa nikivuta mafua yaje kwa njia ya mdomo mfano( kuna time...
Hii bila shaka ipo kwa maslahi ya watu flani, sie wengine tunafata mkumbo tu,
Ni kweli ina faida yake ila hasara yake ni kubwa sana, imagine unakataliwa goli la halali kabisa ambalo pengine lingewaokoa msishuke daraja
Nashauri tuangalie tena na tena uamuzi huu
Sorry ni awamu ya 5 ya bullzoda sio ya nne! Awamu ya 4 ilikuwa baba wa demokrasia.
Kabla ya 2015 angalau kulikuwa na uhuru wa kusema, ukweli ulijulikana na uliachwa usemwe kwa kiasi kikubwa, na wataalamu waliachwa watumie taaluma yao kutoa miongozo, lakini alipokuja Magufuli yeye aligeuka kuwa...
(Salamu nitazitoa baada ya kumrudisha mke wangu)
Kwa machungu makubwa sana naandika uzi huu.
Kwa kuwa naongea leo kwakuwa nahisi maneno ni bora kuliko kukaa kimya.
Nilikupenda sana wewe ila mke wangu sikujua kama ningeweza kuliharibu ua kwa kulimwagia maji mengi.
Pamoja na kukusifia mbele za...
Tangu jana nimekuwa nikiharisha damu. Sina maumivu yoyote ya tumbo na wala sipandishi homa.
Leo nimeenda hospitali wamenipa dawa za minyoo. Je minyoo inaweza kusababisha uharishe damu?
Au ndio nimekutana na daktari kihiyo?
Ndungu zangu mm nimefika katika jukwaa hili ili niweze kutoa hili jambo ambalo binafsi limenitisha naomba kupata majibu kwa wataalamu, kuna dawa ya kutuliza maumivu kwa jina INDOSINE (si mtaalamu katika kuandika majina ya madawa).
Dawa hii imekuwa ikitumika kama sumu ya panya, na mimi binafsi...
Wakuu nina shida, mwanzoni nilienda kwenye polyclinic nikaambiwa nina UTI kali, so nikachoma sindano tano nimezimaliza juzi.
Shida ni kua nikiwa nimelala, nikisimama ghafla nasikia maumivu makali yanayotoka kwenye upande wa sikioni kushuka kwenye bega upande wa kulia.
Na kitu kingine nikiwa...
Hasira walizonazo watanzania, wapalestina wanaishi nazo miaka miaka yote. Let’s be realistic.
Kilochofanyika na Hamas sio sahihi lakini kinaelezeka. Tatizo watu wanaendeshwa na chuki ya dini. Kuna mtu humu amekua na hasira mpaka kusema atamtafuta member ambae yuko upande wa palestine.
Hasira...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.