Maumivu ndani ya pua (maxillary sinus area)

pascal luoga

JF-Expert Member
Feb 23, 2019
232
257
Habari wana jamii forum, nimekuja na issue moja,

Kuna hili tatizo linanisumbua mwaka wa pili sasa lilianza mwaka juzi mwezi wa tatu nikaangaika nalo hadi mwezi wa 5 likawa limekwisha kabisa.

Iko hivi huo mwezi wa 3 mwaka 2022 ilikuwa nikivuta mafua yaje kwa njia ya mdomo mfano( kuna time unahisi mafua ila yanashindwa kutoka puani unayavuta mdomoni ( post nasal drip) kisha unatema yalikuwa yanakuja na damu, nikaenda hospital kuna dawa nikaandukiwa damu ikakata ila yakawa yanakuja maumivu maeneo ya MAXILALLY Sinus yanasogea mpka juu ya ukuta wa ndani wa juu ya mdomo (palate) kwenye upande huo huo yanapotokea maumivu ya sinus nilienda kwa specialist nikapewa dawa tatizo mpka mwezi wa 5 likawa limepona kabisaa.

Issue mwaka huu 2024 maeneo yale yale nasikia maumivu kwenye maeneo ya maxillary sinus na upande wa juu ya mdomo ndani (palate) ya upande huu huu wa sinus ambako napata maumivu.

Note: Sitoki damu, sipati shida kupumua, sina nasal congestion (mafua) shughuli zangu zinaenda kama kawaida ila maumivu tu ndo yananikwaza leo ni almost 6 days, je inawezekana ikawa ni infection?

Ikumbukwe niliugua mwaka juzi 2022 mwezi march mpak may na nikapona kabisaaa) March 2024 napata maumivu maeneo yale yale, msaada wenu wakuu inaweza kuwa ni infection? Kwa mbaye amepitia hali hii anaweza nipa mrejesho.

Screenshot_20240312_154924_Opera Mini.jpg
 
View attachment 2933058
Pole,
Uwezekano mkubwa unapata hali ya kujirudia (subacute sinusitis).

Ni muhimu kumuona mtaalamu wa afya kwa utatuzi mzuri.

Inaweza kuhusisha:
1: Steroid za kupuliza puani kupunguza congestion.
2: Saline washing kuzibua au kusafisha mfumo wa sinus.
3: Antihistamine
4: Antibiotics/ broadspectrum.
 
Back
Top Bottom