Nilikupenda sana mke wangu, sikujua kama ningeharibu ua kwa kulimwagilia maji mengi

Utajua wewe

JF-Expert Member
Feb 20, 2024
272
565
(Salamu nitazitoa baada ya kumrudisha mke wangu)
Kwa machungu makubwa sana naandika uzi huu.

Kwa kuwa naongea leo kwakuwa nahisi maneno ni bora kuliko kukaa kimya.

Nilikupenda sana wewe ila mke wangu sikujua kama ningeweza kuliharibu ua kwa kulimwagia maji mengi.

Pamoja na kukusifia mbele za watu ila wewe ukaamua kucheza na moyo wangu.

Kuna muda mwingine sumu na dawa inatofautishwa na vipimo, nilipumbazwa na upendo wako wa kishenzi nikawa napenda ukweli ila naamini uongo.

Pamoja na michezo yote na umaridadi wangu chumbani kwa kulamba tundu la sindano huku wewe kwa wengine ulilamba uzi kama vile mapenzi huanza basi pia hufa.

Sawa nisamehe mimi kwa kukuamini, nitaondoka kwa sababu nimekosa sababu ya kubaki.

Nakuombea sana ila jiombee mwenyewe maana hujui nakuombea nini!
 
Mwenzio anakula bata wewe wamwita mshenzi

......Pamoja na michezo yote na umaridadi wangu chumbani kwa kulamba tundu la Sindano huku wewe kwa wengine ulilamba uzi .... jinyongeee tu

Ukivuka hiki kihunzi jitahidi uwe unahudhuria vika vya waloenda cuba
 
_20240220_135432.JPG
 
Back
Top Bottom