Kipigo cha Simba SC ni maumivu kwa Yanga

makilo

JF-Expert Member
Dec 15, 2015
2,397
4,679
Wakuu kwema?

Kuna Jambo linaendelea kwenye mitandao yakijamii kuhusu kupoteza kwa mchezo wa Simba taifa. (kwa mkapa hatoki mtu).

Wakuu kwa wanasimba wenye Bongo timamu wanatambua tunapitia kipindi cha mpito. Hasa baada yakufanya usajili mpya kwa wachezaji zaidi ya wa 4 wapya.

Timu bado inahitaji muda, timu bado inahitaji kushibana (japo Kuna Mambo ndani hayapo sawa Ila hiyo mashabiki sio kazi yetu).

Wakuu wanamsimbazi wenzangu sitaki kuwachosha kukerana maumivu tunayopitia Simba ni mala 100 wanayopitia yanga. Maana waliamini mwakani tutawabeba tena 😂😂😂😂 kitendo cha kutolewa na kuangukia shirikisho na Simba kuamua kutulia na kuwaambia wachezaji wao kuhusu matokeo matatu ya mpira na kuamishia nguvu kwenye ligi ni pigo kubwa sana kwa vyura migongo wazi. (maana Simba haitaki tena Mambo yakuzibeba timu 3 kila mtu apambane na Hali yake na Yanga anajua kabisa bila Simba hawezi).

Wanamsimbazi wenzangu huu sio wakati wakulaumiana na kuvulugana.muhimu tucheze mechi zetu hakuna kipindi kigumu chakushikama kama. Sasa mana wachezaji wetu wanenda kupambana zidi ya milioni 20 wanazopewa timu pinzani ili watuvunje miguu, viuno, shingo na hata mikono kama pinzani wakipata nafasi.

Nasimama na chama langu naimani na chama langu, tunafurahi pamoja tunahuzunika pamoja..

Yanga,Azam na wengine kila mtu ajibebe Sasa.
 
Peleka ujinga wako huko

Nasema mpelekewe moto tuu tena Moto wa makaa ya mawe

Mnapata muda wa kushabikia matimu ya kufungwa kila siku

Mara yanga utopolo mara simba mikia

Upumbavu tupu

Badala ya kuwaza vitu vya msingi mnawaza mipira ambayo hata kombe la Africa hamjawahi kwenda

Huu si ukichaa
 
Ila mashabiki wa simba kipigo kimoja tu kimewauma balaa mnaanzisha nyuzi mia kama vichaa

Yanga wala hatuna mpango wa kubebwa na aliyeshindwa kujibeba
 
Mbona haukujibeba mwenyewe?
Ndio nachukua Tena ubingwa, nyie mautopolo mamisukule mashetani mapunguani kwa sasa wanaume Simba yumeamua shauli yenu.. wanaume hatutaki Tena 50/50 kila mtu ajitegemee🤣🤣🤣🤣
 
Lilisikika zezeta Moja la mwamedi kwenye kijiwe cha kahawa
Tumewapenda mpaka imekuwa karaha,ongezeni daukutoka 15 mpaka 50 timu pinzani wauwe kabisa wachezaji wa Simba ili mchukue ubingwa mpate nafasi ya club bingwa.
 
Ndugu nikiwa kama mwanasimba nakushauri achana na mawazo hayo utopwinyo wan nafasi kubwa san ya kuchukua huu ubingwa labda hiyo timuatimua inayoendelea usiku huu itawaamsha wahusika klabuni
 
Ila mashabiki wa simba kipigo kimoja tu kimewauma balaa mnaanzisha nyuzi mia kama vichaa

Yanga wala hatuna mpango wa kubebwa na aliyeshindwa kujibeba
Una uwakika mama upo tayari kwa kujitegemea?
 
Ndio nachukua Tena ubingwa,nyie mautopolo mamisukule mashetani mapunguani kwa Sasa wanaume Simba yumeamua shauli yenu.. wanaume hatutaki Tena 50/50 kila mtu ajitegemee
Mimi ni shabiki wa simba ila suala la ubingwa msimu huu nadhani litakua gumu maana hatuna team ya kupambana tofaut na misimu iliyopita
 
ndugu nikiwa kama mwanasimba nakushauri achana na mawazo hayo utopwinyo wan nafasi kubwa san ya kuchukua huu ubingwa labda hiyo timuatimua inayoendelea usiku huu itawaamsha wahusika klabuni
Simba gani gani wewe mkuda mnafki mjinga usieweza kusimama na jeshi lako njaa ya siku moja imekutoa maana🤬🤬🤬🤬
 
Mimi ni shabiki wa simba ila suala la ubingwa msimu huu nadhani litakua gumu maana hatuna team ya kupambana tofaut na misimu iliyopita
Kaka Kama hatutoruhusu ujinga wakuamini hatupo sawa tutaruhusu mianya wasaliti kuwa ndani mwetu,kuzungumzia ubingwa kwa mechi mbili ni ujinga.
 
Simba gani gani wewe mkuda mnafki mjinga usieweza kusimama na jeshi lako njaa ya siku moja imekutoa maana🤬🤬🤬🤬
sawa ila naongea ukweli tu siyo kwamba wachezaji hakuna ila u faza na kujiona bora kwa baadhi ya wachezaji hadi wengine kuuza mechi unaona sawa??? hii timuatimua itarudishia watu aklili zao
 
Peleka ujinga wako huko

Nasema mpelekewe moto tuu tena Moto wa makaa ya mawe

Mnapata muda wa kushabikia matimu ya kufungwa kila siku

Mara yanga utopolo mara simba mikia

Upumbavu tupu

Badala ya kuwaza vitu vya msingi mnawaza mipira ambayo hata kombe la Africa hamjawahi kwenda

Huu si ukichaa
🤔🤔🤔🤔 We ni raia wakigeni hujui hasira za yanga kushindwa kubebwa na waume zao simba.siku zote mshahara wa mwanamke ni wake binafsi.
 
Back
Top Bottom