Kwa nini mauaji yamekua yakiongezeka siku hado siku?

wajingawatu

JF-Expert Member
Jan 20, 2013
2,048
2,442
Kumekua na ongezeko la mauaji ya watu hasa nchini kenya na Tanzania siku za hivi karibuni.

Tumezoea kusikia mauaji ya kinyama huko marekani, india na ulaya lakini si Africa

Je, ni nini kinasababisha watu kuuana wenyewe kwa wenyewe na hii tabia inawezaje kukomeshwa?
 
Hapo hujajumlisha na vya wasiojulikana
 
Watu wamechoka sana.. marekani huko south huko watu walipitia msoto kama huu hata jirani zetu kenya.. ukichoka mjinga akikuletea dharau unafanya linalowezekana. Hiyo ndio shida…
Only Thing tuhakikishe watanzania hawachoki. Wawe watu wa furaha muda wote. Hii inaanza na serikali yetu. Basi.
 
Back
Top Bottom