matusi

Leneuoti Matusi is a Tuvaluan politician and former civil servant who was elected as an Independent MP for the Nui constituency in a 2013 by-election, having previously served as the Secretary of the Nui Falekaupule.Matusi gained 297 votes out of 778 to gain the seat from the former sitting member Taom Tanukale who polled just 160 votes after resigning from Parliament on 30 July 2013 following the constitutional crisis. He will represent Nui alongside Pelenike Tekinene Isaia, who is the island's only female MP.A week after the by-election, Prime Minister Enele Sopoaga announced that Matusi had joined the government's side, helping to boost their members to nine.Matusi was not re-elected to parliament in the 2015 Tuvaluan general election.

View More On Wikipedia.org
  1. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Karia Hujaacha Matusi tu?

    Nimesikitishwa kwa kitendo cha Rais wa TFF ndugu yangu Karia kurushiana maneno na msemaji wa Yanga, japo watu wanasema Manara kamtukana Karia lakini maneno mazito ambayo ni matusi yalitoka kwa Karia sio Manara (ushahidi upo) Uzuri ni kwamba kuna watu wawili walirekodi audio ya tukio Zima na...
  2. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Askari amshushisa dereva matusi na kipigo, Ni vipi tunaweza kujitetea na uonevu bila hofu ya kuuliwa, kubambikiwa kesi za madawa, ugaidi, n.k

    Cheo kinapopewa kwa mtu ambae sio muadilifu huwa ni janga kwa wananchi. Baadhi (sio wote) ya ma askari hutumia cheo hiki kunyanyasa raia, mfano anaweza kukupora mali yako, anaweza kukataa kukurudishia ulichomkopa, anaweza kukupiga, n.k. Ukijaribu kujitetea kwa askar ambae sio muadilifu kitendo...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Martha Chiromba: Nilitukanwa matusi yote ya duniani na vijana wa Mbatia mpaka mshono wa operation ukatatuka nusu

    Msikilizeni jamani huyu kada wa Nccr Mageuzi anavyolalama. VIDEO: Katibu Mkuu NCCR Mageuzi Bi. Martha Chiomba akieleza namna alivyotukanwa na kudhalilishwa na wanaoitwa 'Makada wa NCCR Mageuzi', amtupia lawama James Mbatia kwa kuona udhalilishaji huo na kisha kukaa kimya licha ya taarifa kupewa.
  4. chiembe

    JamiiForums Tanzania Baada ya Mbowe kuzuia Siasa za matusi, Lema, Lissu, Mdude, Maranja Masese, na vijana wengi wanaweza kufa kisiasa!

    Jana katika hotuba ya Mbowe, alizuia Siasa za matusi zonazofanywa na wanasiasa waandamizi wa chadema. Kimsingi, wanachadema hutumia matusi, kejeli na dharau kubwa dhidi ya wanaowapinga, ili wapate uhalali kisiasa. Hii tabia ni sawa na udikteta, ila unajificha tu katika kutukana na kushambulia...
  5. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Tamthilia za Kibongo-Kugomba, Matusi, Uchawi & Kunyonyana

    Nikiwa home jioni unakuta familia inaangalia tamthilia za kibongo sijui "JUA KALI", LA FAMILIA" n.k yaan dakika 2 nyingi lazima usikie TUSI Kama sio KUNYONYANA NDIMI au mtu kageuka mbuzi (uchawi) hizo tamthilia hamnaga wahariri?
  6. evangelical

    JamiiForums Tanzania Wamachinga kuwekwa kundi moja na wanawake watoto na walemavu ni matusi kwao

    Nimesikia kwamba wamachinga wamewekwa kwenye wizara inayoshughulikia wanawake,wazee, watoto na kundi Maalumu (walemavu). Nafahamu kuna baadhi ya wamachinga wachache ni walemavu na wanaweza kufall kwenye hiyo wizara kusaidiwa. Nafahamu pia sio walemavu wote hawajiwezi kuna baadhi yao wachache...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hassan Bumbuli na Haji Manara 'mnagombania' nini hadi 'mnatukanana' Matusi ya Nguoni katika 'WhatsApps' zenu?

    GSM binafsi tena hapa hapa JamiiForums nakumbuka nilianzisha Uzi Kuwaonya kuhusu Kumleta Yanga SC Haji Manara nikawaambia kuwa mmeandaa Bomu ambalo litakuja Kulipuka na Kuwagharimu Yanga SC na sasa yametimia. Kamarada (Comrade) wangu (Kitasnia) Msomi Mwerevu Hassan Bumbuli nawe nilikuonya hapa...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuwasifia waliomporomoshea matusi Ndugai, anashuka Kitonga kwa gia namba 5

    Tumewasikiliza wahuni wale hawakujibu hoja ya Ndugai, Wala mama hajajibu hoja. Alichofanya ni kuongezea matusi mengine. Washauri wa Ndugai wangemwambia akae kimya Wala asimtafute mama azungumze naye faragha. Wahuni wengine watakuwa wanaendelea kumtenga mama na Ndugai. Hii tabia ya kusikiliza...
  9. ANT DRUGS

    JamiiForums Tanzania Baada ya Rais Samia kusifia matusi ya Wenyeviti wa Mikoa, sasa tutarajie yafuatayo

    To declare my interest mi siyo mwanasiasa ila nafuatilia siasa hasa vituko vya JOB pale mjengoni. Tangu awamu ya tano ilivyopita ambayo ilijaa KUSIFU NA KUABUDU kwingi ili upate kacheo,Sasa wanaCCM wote walikuwa kimya kupima mama anataka nini ili akuteue. Hotuba yake leo imeonesha wazi kitu...
  10. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Nini sababu ya kuimbwa misemo tata jogging za Jeshi?

    Wadau naombeni kujua. Ukisikiliza nyimbo za majeshi wakiwa joging utasikia misemo tata inayoashiria matusi. Mimi sina shida na matusi ila naomba kujua sababu huwa ni nini hasa.
  11. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Dkt. Kimei: Wachaga wanapenda magendo

    "Majimbo yaliyo mpakani yanakuwa na changamoto kama magendo, unajua wachaga wanapenda magendo, pia kuna unywaji wa gongo, utumiaji wa mirungi na bangi vimekithiri sana Vunjo sababu watu wengi hawana ajira, nahitaji Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi ituambie itachukua hatua gani?" -Dk. Kimei
  12. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa hizi dharau, Biden atawezaje kwenda kwenye hafla za hadhara

    Haya mambo yanayotokea hayajawahi kutokea hata kwa Trump Ni mwendo wa FJB (f**k joe bide) kuanzia kenye clubs, viwanja, matamasa, n.k.
  13. data

    JamiiForums Tanzania Zuchu kuimba 'matusi', nimeghafirika sana...

    I'm highly disappointed in her. She is too young to be this stupid.. It is too early.. Wakati mwingine najiuliza WCB wana mikataba na nguvu gani... Wanaimba matusi lakini bado wanasurvive. Hovyo kabisa... ....kula kichwa hadi mkia... naipaka mate naifanyeje sijui... Takataka kabisa
  14. RODRIGUEZ NORIEGA DUERTET

    JamiiForums Tanzania Airtel kwenye baadhi ya maeneo inazingua

    Mimi ni mtumiaji wa Airtel, nikiwa Dar inaperfom vizuri sana hasa maeneo ya Kimara ninapoishi. Ila toka nimeanza project za kwenda mikoani nimegundua Airtel ni poor sana, nikiwa maeneo ya Moshi, Arusha, Manyara na Dodoma Airtel wanazingua sana. Siku moja nimeingia Dodoma na hela Yangu iko...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Mdude Nyagali, siasa zako sio nzuri. Jirekebishe

    Tumekuonea huruma sana uliyopitia na hata wengi nje ya nchi wanajua masahaibu yako ila una lugha zenye ukakasi sana sijui unataka kuwaiga kina Khery James au kina Kihongosi? Ushasikia kina Mwaipaya au Pambalu wa BAVICHA wakitumia lugha yenye ukakasi kama yako? I think haiatakuchukua hata week...
  16. Profesa

    JamiiForums Tanzania NYARAKA: Katiba Inayopendekezwa Oktoba, 2014 (Tanzania's Proposed Constitution)

    Hii hapa wadau...
  17. C

    JamiiForums Tanzania Waliokuwa wanatukana watu kwa mgongo wa uzalendo bado wapo?

    Kwa kweli hii nchi ilikuwa imefikia pabaya kwa baadhi ya makundi kutoa lugha za kashfa,dharau ,ubabe ,matusi kisa kumlinda au kumtetea mwendazake na maovu yake Kuna mtu anatokea kanda ya ziwa alikuwa na magazeti ya kuwatukana watanzania siku hizi sijui kama hayo magazeti yapo Kila wiki yupo...
  18. Stephen Ngalya Chelu

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje matusi ya Kiingereza yanaruka hewani kwenye redio bila kuchujwa?

    Hapa nasikiliza kituo kimoja chenye makazi yake huko kanda ya ziwa, wanapiga nyimbo za mabeberu; maneno kama b**ch, N**ger, f**k, motherf**ker yanakwenda on air bila kuwa censored. Na hii si mara ya kwanza kusikia, kuna siku pia nilisikia nikadhani labda walijisahau. Hivi mswahili akiweka neno...
Back
Top Bottom