OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 49,209
- 103,788
Wadau naombeni kujua. Ukisikiliza nyimbo za majeshi wakiwa joging utasikia misemo tata inayoashiria matusi. Mimi sina shida na matusi ila naomba kujua sababu huwa ni nini hasa.
Kufanya uwe makini kufuatilia wimbo neno kwa neno.Kukutoa "uraia" aliyezubaa na kukuchangamsha na kukuandaa kupokea amri za maudhi.View attachment 2033025
Wadau naombeni kujua. Ukisikiliza nyimbo za majeshi wakiwa joging utasikia misemo tata inayoashiria matusi. Mimi sina shida na matusi ila naomba kujua sababu huwa ni nini hasa.
Mkuu kazi ya jeshi si kazi ya siasa!View attachment 2033025
Wadau naombeni kujua. Ukisikiliza nyimbo za majeshi wakiwa joging utasikia misemo tata inayoashiria matusi. Mimi sina shida na matusi ila naomba kujua sababu huwa ni nini hasa.
Ndio maana wanaonelewa na Kingai na Mahita.....yaani jeshi Zima wanatishwa na Kingai?View attachment 2033025
Wadau naombeni kujua. Ukisikiliza nyimbo za majeshi wakiwa joging utasikia misemo tata inayoashiria matusi. Mimi sina shida na matusi ila naomba kujua sababu huwa ni nini hasa.
Tena hamna sehemu watu wana maadili kamaMkuu kazi ya jeshi si kazi ya siasa!
Kada ya jeshi ina historia yake na kuna mambo makuu matatu yanayowapa hamasa ili kupunguza makali ya utendaji wao wa kazi mgumu na za hatari, mambo hayo ni: vita, pombe na wanawake(3w's)!
Pombe na wanawake jeshini ni ration na ukiwa "mtoto si ridhiki" jeshi hauingii, ni unfit.
Na vita vinapendwa sana na wanajeshi kuliko tunavyodhania na ndiyo maongezi yao ya furaha hayo.
Vita vikitangazwa leo, utakuta hata waliostaafu wanerejea bila shurti, kiroho safi kwa furaha tele!
Nongwa na matusi yanayoongelewa jeshini, kwa mitaani ni makosa makubwa ya jinai, uzuri ni kwamba wanafundishwa elimu ya uraia, hivyo wanaelewa ni nini cha kuongea makambini na kukiacha humo humo.
Ushawahi kuona wanajeshi wanatukana watu ovyo mitaani?
Basi kumbe wana maadili yao, ambayo sisi raia hatuyawezi kwa sababu si maadili yetu.
Sent using Jamii Forums mobile app