matumizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    Msaada kwenye tuta: Matumizi ya kifaa kinachoitwa dehumidifier kwa hapa bongo ni yapi?

    Pamoja wakuu, naomba kufahamishwa matumizi ya dehumidifier kwa hapa bongo na kama kuna maduka yanaziuza na soko lake linakuwa linalenga watumiaji wa aina gani. Nawasilisha.
  2. Serikali ya awamu ya tano ilikusanya kodi Trilioni 1.3 kwa mwezi, leo awamu ya sita yakopa fedha hizohizo kutoka IMF kwa matumizi yaleyale

    Katika kile serikali inachoamini kufufua uchumi ulokwamishwa na janga la UVIKO-19, mapema mwezi ulopita wa August iliandika barua ya kuomba mkopo IMF. Katika barua hiyo ambayo iliandikwa na waziri wa fedha Mwigulu Nchemba na Gavana wa BOT Florens Luoga, serikali imeahidi matumizi mazuri ya...
  3. SoC01 Watoto wasio na uzoefu wa kushika Pesa huwa na matumizi mabaya ya fedha ukubwani hasa kwa BOOM

    Elimu ya kutunza pesa wengi wetu imetushinda. Hakuna umasikini mbaya kama kujutia maisha yaliyopita, kama ungetumia pesa vizuri ungefika mbali. Hii elimu ni muhimu kuwafundisha watoto. Wakipata pesa wasihamaki. Ni kama vike unavyokunywa chai kila siku, hata ukiwa mkubwa chai unakua umeizoea...
  4. Serikali ina matumizi gani na wanafunzi walionaliza kidato cha 4 kabla ya 2020?

    BARAZA LA TAIFA LA ELIMU YA UFUNDI (NACTE) NA MKANGANYIKO WA UDAHILI WA WANAFUNZI WA MKUPUO WA MACHI, 2021. JE, WATENDAJI WAKE WANAPINGANA NA MAONO YA RAIS WA NCHI ? Kwako Waziri Pro. Joyce Ndalichako! Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) ni chombo kilichoanzishwa kwa Sheria ya Bunge...
  5. SoC01 Expiry date: Kitu muhimu kwenye bidhaa kisichozingatiwa na watumiaji wengi

    Bidhaa zinazotengenezwa viwandani huwa na viambata mbalimbali ambavyo huzifanya kuwa na ubora na kudumu kwa muda ambao umekusudiwa bila kuharibika. Pindi ule muda uliokusudiwa utakapovuka, bidhaa kama vinywaji, vyakula, dawa au vipodozi na nyinginezo nyingi huwa hazifai tena kwa matumizi ya...
  6. K

    Philip Isdor Mpango: Tunaomba umsaidie Raisi kwenye matumizi ya pesa

    Tusimlaumu Raisi kwenye kila kitu. Hakuna mtu nambaye anajua mambo ya pesa, miradi na jinsi ya kuendesha serikali na gharama zake kuliko Makamu wa Raisi Philip Isdor Mpango. Lakini pamoja na ahadi zake za kupambana na ufisadi hajafanya kazi nzuri kupambana na matumizi mabaya ya serikali...
  7. Nauza Banda la biashara pamoja na bidhaa

    Ni banda la chuma ambalo lina ukubwa wa futi 8 kwa 6. Unaweza kuendelea kufanya biashara hapohapo au uhamishe, kwasasa ni duka/kibanda cha bidhaa za nyumbani pamoja na genge(meza za genge zipo) Mali zilipo ndani Mizani Bidhaa Kreti za soda Location: Ubungo Tanesco Bei 1.65mil WhatsApp/Call...
  8. Natafuta uzoefu wa matumizi ya CCTV CAMERA

    Habari poleni na majukumu ya kazi katika kutafuta mkate wetu wa kila siku. Naenda straight to the point nimekuwa nikijifunza mtandaoni hususani education platforms Kama udemy,skillshare na courseweb kupata basics ya knowledge ya kuinstall na kufunga CCTV CAMERA. Ila practical bado siko vizuri...
  9. Ukabila/ubaguzi wazuia wananchi waliyopokwa mashamba kwa matumizi ya jeshi kulipwa fidia monduli

    Eneo la lolkisali monduli awali lilitengwa kwa matumizi ya jeshi enzi hizo waziri mkuu akiwa edward sokoine. Baada ya miaka kadha ikaonekana na serikali wananchi wanaweza kupewa eneo hilo kwa kilimo. Wapo wananchi walipewa rasmi na kupewa hati za umiliki ili kufanya kilimo kikubwa kwenye eneo...
  10. R

    Uhamasishaji matumizi ya Chanjo dhidibya Covid 19 tupewe kazi hii nyepesi sisi Chadema. CCM na Serikali mmeshindwa. Hamna uhalali wa kuihubiri

    Huu ndio ukweli. Sasa umegeuka kuwa aibu hata kwa Mkuu wa Nchi. Haiwezekani mtu yule yule aliyepinga na kutushawishi kutumia matunguli leo anageuka na kutushauri vinginevyo. Hawezi kuaminika hata uwe Waziri, Mkuu wa Mkoa, DED au mkuu wa vyombo vyenye nguvu. Hii kazi ni nyepesi inahitaji weledi...
  11. Ufilipino: Matumizi ya dharura ya Moderna yaidhinishwa kwa wenye miaka 12 hadi 17

    Taifa hilo limeidhinisha matumizi ya dharura ya Chanjo dhidi ya COVID-19 ya Moderna kwa Watoto wa kuanzia umri wa miaka 12 hadi 17. Kwa mujibu wa takwimu za WHO, Ufilipino imerekodi maambukizi 2,020,484 Mamlaka ya Chakula ya Dawa Nchini humo imesema kutokana na Kirusi cha Corona aina ya Delta...
  12. O

    Baada ya Idadi, tunahitaji kujua na muda wa Matumizi ya Chanjo

    Tangu tarehe 4 hadi sasa Waliopokea Chanjo ya Uviko ni wananchi wapatao laki 3 na kadhaa sawa na 30% ya chanjo tulizopokea, ambayo ni sawa na mwezi mmoja tangu kuanza kutolewa, Kama Serikali itaendelea na Kasi hii itachukua miezi 3 na kadhaa kuzimaliza hizi chanjo. Hoja yangu kwa serikali, Kama...
  13. S

    Ni vyema Wizara ya Fedha ikajua kuwa uhalisia wa matumizi ya tozo sio maneno ya namba watanzania wanasubiri kuona

    Ni kama vile watanzania wamekubali yaishe , japo malalamiko mengi bado yanaendelea katika mitandao ya kijamii , huku serikali ikijitahidi kuwaaminisha watanzania juu ya matumizi ya tozo zinazowaumiza kila kukicha . Kumekuwa na kupiga kwingi kwa kelele katika vyombo vya habari huku wizara ya...
  14. SoC01 USHAURI: Matumizi sahihi ya Fedha za Pensheni kwa Wastaafu

    Fedha za pensheni ni malipo anayopewa mwajiriwa (mfanyakazi) baada ya kustaafu kazi/ajira yake. Huwa ni fedha nyingi ukilinganisha na fedha ambazo huyo mfanyakazi/mwajiriwa aliwahi kumiliki hapo kabla. Wastaafu wengi kutapeliwa Hivi karibuni kumezuka matukio mbalimbali yakiwahusisha wastaafu...
  15. Bei za gesi zipungue ili matumizi ya mkaa yapungue

    Kushuka kwa bei za gesi asilia kutaongeza matumizi ya gesi asilia hivyo kupunguza matumizi ya mkaa ama mkaa usitumike kabisa. Hii ni njia mojawapo ya kutunza mazingira yetu. Hii itapunguza kukata miti hovyo na kutunza uoto wa asili Kuwa na hali ya hewa safi kwa vile miti hutumia hewa chafu...
  16. Utambulisho wa "Wakili Msomi" kwa Mawakili au wanaSheria

    "Wakili msomi" ina maana gani? Je kuna wakili "asiye msomi"? inamaanisha nini? Msaada tafadhali.
  17. Nimepata ajira wife ameongeza matumizi ya pesa zaidi ya mara mbili

    Habarini wapendwa.
  18. Natatizwa na matumizi ya maneno Kundi na Kikundi.

    Pamoja na sintofahamu ya maneno hayo ninayokutana nayo lakini hii sasa inapelekea kukosa umakini wa maneno hasa Kundi na Kikundi. Kawaida kwenye vyombo vya habari hasa DW au BBC lugha ya Kiswahili husikia wakitamka Kundi la Taliban la huko Afghanistan. Jana kwenye taarifa ya habari ya saa mbili...
  19. M

    Nimekutana na ex wangu akiwa kachoka

    Kuna dem nilikuwa nae niweke rough tu hapa matumizi yake yalikuwaje Kodi 350k Mafuta gari 50(week) Matumizi(chakula maana alikuwa hapend kupika 100k weeks) Dinner za pamoja kwa wek zaid ya 200k Nywele karibia 60k kila week Kucha 15 kweek Matimizi binafsi 50k week Na mengine mengi Halaf mpuuzi...
  20. M

    Vipi matumizi ya solar power na makato ya kodi ya nyumba?

    Vipi matumizi ya solar power na makato ya kodi ya nyumba? Serikali naona imeamua kufanya jambo lenye faida huku likiwa na uonevu uliokithiri! Hivi inakuaje kwa mmiliki mwenye vijumba vidogo mfano vitatu kwenye hati moja ya nyumba! Ambayo alirahisisha kwa ku-request meter luku zaidi ya moja...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…