CCM Ina watu wanamiliki kadi za chama Kwa usalama wao, Mali zao na jamaa zao lakini hakuna wanachama. Sirini hata wale waliopo karibu na Mwenyekiti wa chama Wana maamuzi Yao binafsi ambayo ni kinyume kabisa kile mwenyekiti anachodhani. Magufuli amegeukwa; hata walewachache waliojitumumua...
Wakati kukiwa na msururu wa hatari za zamani na zinazoibuka za kiusalama, nchi katika eneo la Pembe ya Afrika kama vile Kenya, Ethiopia, Eritrea na Djibouti zinahitaji haraka kutafuta mbinu mpya za utatuzi wa migogoro ili kuhakikisha utulivu na maendeleo ya amani ya kijamii na kiuchumi. Mgogoro...
Kampuni ya Arise (AR) inayotayarisha filamu na yenye makao yake mjini Mombasa Kenya, imepata fursa ya kipekee ya kusaini mkataba wa kuandaa filamu inayoitwa NIA, ambayo inarushwa kupitia kituo cha runinga cha Rembo, kinachomilikiwa na kampuni ya StarTimes.
Akizungumza na CRI Kiswahili, Derrick...
Na Pili Mwinyi
Mkutano wa 35 wa Umoja wa Afrika (AU) wa wakuu wa nchi na serikali ulifanyika hivi karibuni katika makao makuu ya Umoja huo yaliyopo Addis Ababa, Ethiopia. Mkutano huo uligusia masuala mbalimbali yakiwemo COVID-19 pamoja na wimbi la mapinduzi na majaribio ya mapinduzi lililoibuka...
Mtaji gani wa kisiasa utawatoa mrithi sasa hivi? Ufisadi? Maana mlizoea kusema CcM ni mafisadi.
Mmebaki kudandia hoja ya uchaguzi wa Spika na mnashadidia kuliko hata wanaCCM wenye mandate ya kuteua na kuchagua spika.
Kesi ya ya ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake itawapa mtaji na kupata...
Kesi hii inayovutia hisia za wengi, zaidi ya weledi ilihitaji uhuru stahiki wa mhimili wa mahakama na uthubutu wa Jaji katika kutoa haki tupu na kwa mujibu wa sheria.
Pungufu ya hivyo tunakoelekea mahakama haitaweza kukwepa lawama.
Mezani tulipo kuna pingamizi ambalo kigezo chake kikuu ni kuwa...
Ni ukweli uliokuwa wazi kuwa hata kabla ya yeye kushika wadhifa huo wa juu wa Nchi watu wengi hawakuwahi kuutambua uwezo wake. Uwezo ni jambo ambalo huwezi kuuficha mithili ya Sindano kwenye Koti. Mungu wetu angalikuwa wa ajabu sana kwa uwezo wake mkuu alionao kama angaliumba wanadamu halafu...
Ni ukweli uliokuwa wazi kuwa hata kabla ya yeye kushika wadhifa huo wa juu wa Nchi watu wengi hawakuwahi kuutambua uwezo wake. Uwezo ni jambo ambalo huwezi kulificha mithili ya Sindano kwenye Koti. Mungu wetu angalikuwa wa ajabu sana kwa uwezo wake mkuu alionao kama angaliumba wanadamu halafu...
HITAJI LA MATUMAINI LINAMEA
Mwaka 2010 aliyekuwa Askofu mstaafu wa kanisa la kilutheri Tanzania (ELCT), marehemu Ambilikile Mwasapile alitangaza kuwepo kwa dawa inayotibu magonjwa yote ikiwamo magonjwa sugu kama Ukimwi, Kisukari, Kansa na Kifua kikuu dawa ambayo kwa mujibu wa maelezo yake...
Ni katika mchezo wa kujiandaa na klabu bingwa afrika dhidi ya washindi wenzao wa pili wa ligi ya Nigeria rivers utd ambapo Yanga ilishinda goli moja dhidi ya timu ngumu kabisa ya kihistoria iitwayo Pan african
Matokeo hayo yamezidi kuwapa matumaini wapenzi wa yanga ambayo juzi pia iliifunga...
Kuna fikra miongoni mwa wananchi kuwa siku 100 za mwanzo za utawala rais Samia alikuwa akisikiliza ushauri wa wazee hasa raisi Kikwete ndiyo maana kulikuwa na uvumilivu wa kisiasa ndani ya kipindi hicho kifupi, uonevu ulipungua, kesi za kubambikiza zikafutwa n. k
Wananchi wanasema kuwa baada ya...
========
Mtangazaji: Wewe umeuonaje mpka sasa uongozi wa Mama Samia Suluhu Hassan?
James Mbatia: Ndugu Samia Suluhu Hssan aliingia madarakani ile tarehe 19/03/2021 na akala kiapo kwa taratibu ambazo zimeweka na akatoa ahadi ambazo tuliamini kwamba atazitekeleza na akatoa ahadi ya kukuza...
Wadau mbalimbali wakiwemo wanasiasa na wajasiriamali, wamepongeza tozo mpya katika mitandao ya simu na mafuta zilizopitishwa mwaka wa fedha 2021/2022. Wakizungumza kwa nyakati tofauti, wadau hao walisema tozo hizo zitachochea ukuaji wa uchumi hasa katika maeneo ya vijijini.
Walisema tozo hizo...
Tulifahamu tangu awali kwamba ccm ni ile ile , ila kuna tofauti kidogo kati ya viongozi wanaopewa Mamlaka na Chama hicho , kiongozi mwenye exposure hutofautiana kidogo uungwana na kiongozi wa kutoka porini , tofauti ipo ya namna ya kuhandle issues , kujua wapi aongee nini na wapi atishie watu...
Waziri Mkuu wa Tanzania akionyesha nakala za Mpango wa tatu wa Maendeleo wa Taifa wa 2021/22 hadi 2025/26 leo wakati wa uzinduzi wake Mjini Dodoma
Nimefurahi kuona luninga ya TBC1 leo asubuhi ikizindua Mpango wa Tatu wa Maendeleo wa Taifa kwa ajili ya kipindi cha 2021/22 hadi 2025/26.
Wakati...
Member wa JamiiForums wote nawasalimu kwa jina la Yesu Kristo aliekufa msalabani kwa ajili ya uovu wangu.
Leo nimependa kushare kidogo kuhusu historia ya maisha yangu inaweza kuwa funzo kwa mwingine pia.
Mara baada ya kumaliza darasa la Saba katika shule moja ya msingi mkoa wa Singida dc...
Mwamba Mbowe pamoja na Umwamba wake leo amegonga mwamba huko Nachingwea baada ya wananchi kulala barabarani wakilazimisha awasalimie.
Ikumbukwe kwamba Mwamba Mbowe au Mtemi Isike yuko Kanda ya Kusini kwenye kampeni ya Operesheni Haki yenye lengo la kuhamasisha upatikanaji wa Katiba mpya na Tume...
Takwimu zilizotolewa mwanzoni mwa wiki hii na Idara ya forodha ya China zinaonyesha kuwa, katika nusu ya kwanza ya mwaka huu hadi kufikia mwezi Mei, uchumi wa China uliendelea kupata ongezeko, ambapo uuzaji bidhaa kwa nchi za nje ulikuwa na ongezeko la asilimia 30.1, na uagizaji wa bidhaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.