Mtajwa hapo juu aliwahi Mbunge Jimbo la Magu, lakini pia aliwahi kuwa Naibu waziri wa fedha katika awamu ya 3 akishughulikia masuala ya SERA na Mipango ya wizara hiyo.
Na kwa hakika kazi yake ilionekana na inaonekana mpaka wa leo na kuifaidisha nchi na wananchi pakubwa. Dr. Limbu is among...
Ni kisa kinachosikitisha sana. Lakini kina uhusiano mkubwa sana na namna viongozi wanavyopaswa kusikiliza maoni ya wanaowaongoza!
Mara nyingine dreva huchoka. Na pia kuna wakati dreva hupata na msongamano wa mawazo.
Hivyo basi kutokana na halu hiyo, wale wanasafiri na dreva huyo hawana budi...
Watanzania wenzangu naomba niwaambie siku, zote Uchungu wa mwana aujuaye mzazi katika hali zote na nyakati zote ambazo mtoto anapitia, na ukiona mzazi huyo anamkimbia mtoto wake wakati wa shida basi huyo hafai kuwa mzazi bora, bali mzazi bora atapimwa kutokana na malezi bora kwa mtoto pasipo...
Kulikuwa na nuru kuwa serikali, polisi, mahakama, bunge to mention but a few, for that matter, watatenda kazi zao bila kuonea upinzania (hasa chadema) na kufuata sheria zilizopo ingawa ni mbovu, kama ilivyokuwa wakati wa Magufuli.
Sasa, jana na juzi yameanza kujirudia yale yale ya kutesa...
Mabadiliko na mageuzi ya kiutendaji yanayowekwa na kusimamia utawala bora katika kutoa huduma sehemu mbalimbali ni wazi zinaboresha uwezo na ufanisi wa utelekezaji mzuri katika kutoa huduma husika katika ngazi tofauti kwa namna bora na kiyapekee.
Miongoni mwa huduma muhimu zenye uhitaji...
Naanza mimi hapa.
Kwanza hakuna kuchelewa kwenye maisha. As long as bado uko hai hakuna kuchelewa ama kuwahi kwenye maisha. Jambo lolote linaweza kutokea wakati wowote.
Mimi nilimaliza form four nikiwa na miaka 22, nikamaliza form six nikiwa na miaka 25. Leo hii vijana wanamaliza chuo kikuu na...
Haya yananifaya imani yangu kwake iwe haba;
1. Kauli ya kila mtu ale kwa kamba yake, najua mnapatapata kwenye maeneo yenu, msivimbiwe!
2. Ripoti ya CAG amemeza pini as if hakuna kilichotokea na hakuna hatua aliyochukua.
3. Danadana za Katiba mpya.
4. Naibu Waziri na ajali yenye utata.
5...
Hapa nchini Tanzania, kumekuwa na changamoto za hapa na pale hususani katika chaguzi kuu za kitaifa ikiwemo ushindi wenye mashaka kwa baadhi ya viongozi na yote hiyo ikichangizwa na mfumo mbovu wa kitume uliowekwa na katiba ya sasa.
Kwa mujibu wa katiba yetu ya sasa hii ya mwaka 1977, chini ya...
Kuna Mtu Mmoja aliingia zamu yake ( mwaka nauhifadhi ) na alikuta Hirizi kila mahala huku Kondoo wakiwa Wamefukiwa hadi hawaka anashindwa Kulala ndipo Watu wa Maombi wakaitwa na Kuombea kisha vyote vikatolewa na ikawa salama na aliyekuwa navyo akaondoka navyo vingine Kwake Mikocheni, Masaki na...
Naamini ujio wa Sungusia TLS utaendeleza harakati na vuguvugu la kuirudisha TLS kuwa chombo cha kitaaluma chenye nguvu na hari ya kusukuma utawala wa sheria.
Kitarudi kuwa chombo kinachotazamwa na watu kama njia ya kufikia haki pamoja na chimbuko la mawazo mapya. Kitakuwa chombo chakusukuma...
Ndugu zangu Watanzania,
Mitaa ina furaha, Raha, Amani, Tabasamu na matumaini makubwa sana. Hii ni Baada ya kuwasilishwa kwa Bajeti ya Wizara ya kilimo ya Takribani billioni Mia Tisa na sabini iliyoleta Nuru na Mwanga kwa wakulima,Sasa Taifa ni Nuru tupu na mwanga kila eneo.
Ikumbukwe ya kuwa...
Rais Samia amerejesha matumaini ya Watanzania - NGOs
* Wampongeza kwa uongozi wa kimageuzi
Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
MASHIRIKA yasiyo ya kiserikali nchini (NGOs) yamempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa uongozi wa kimageuzi tangu aliposhika madaraka miaka miwili iliyopita, yakisema kuwa...
Najua umezungumza nae mengi Mgeni hasa ya kutumia vyema Bandari yako Kibiashara, Ulinzi na Usalama, TEHAMA na Utulivu huko anakowanyoosha Wakata Viuno tu kila Siku.
Hata hivyo ni matumaini yangu makubwa GENTAMYCINE kuwa kabla Mgeni hajaondoka Kesho utakuwa umemuomba akuletee Watu wake Werevu (...
Nina ujumbe wako hapa,
Ubongo wako unaweza kukuambia kuwa mambo ni:
Mabaya
Ya kutisha
Hayafai
Lakini kwa sababu tu unafikiri haimaanishi kuwa ni kweli.
Mawazo yako yanaweza kuwa ya:
👉kupotoshwa
👉yasiyo sahihi
👉vibaya kabisa
Sasa, Endapo utakuwa na hali hiyo fanya yafuatayo...
Jenga mtandao...
Wakati wa Mikutano Miwili ya China, yaani mkutano wa Bunge la Umma la China NPC, na Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la China CPPCC umefika. Hii ni mikutano muhimu ya China ambapo vyombo vikuu vya uwakilishi wa umma na majadiliano kuhusu sera na mambo yanahusu taifa yanafanyika. Mara zote...
Nimesoma sehemu mbalimbali kwamba inasemekana mojawapo ya sehemu ya maridhiano ni wapinzani kuachiwa majimbo kadhaa ya uchaguzi.
Baada ya kutafakari sana kisha ku-connect dots na haya matusi ya viongozi waandamizi wa upinzani dhidi ya bodaboda na makundi mengine ya kimkakati nikahisi inaweza...
Hakika bado wapo Watanzania wanaoililia nchi yao kutokana na ukweli kwamba hakuna tena viongozi wenye uchungu nao, sasa anapokuja mtu kama Tundu Lissu aliyejidhihirisha wazi kutetea wananchi ni lazima hali kama hizi zijitokeze.
Ndugu zangu ,
Katika Taifa lolote lile Vijana wakiwa na Matumaini Katika mioyo Yao ndio Amani ya Taifa,Ndio utulivu wa Taifa,Ndio ustawi wa Taifa,Ndio upendo waTaifa.Hakuna utulivu ,amani ,mshikamano ushirikiano, upendo Wala utulivu ikiwa vijana wamekata Tamaa ya maisha,ikiwa vijana hawajuwi...
Ni muda mrefu sasa watumishi nchini wamekuwa wakinyimwa haki zao ambazo zingine ni za kikatiba kabisa, kwa mfano kupewa nyongeza ya mishahara kila mwaka (annual incriment), upandaji wa vyeo, ulipwaji wa madeni na stahiki zingine, n.k.
Kutokana uwepo wa vyama vya wafanyakazi (trade unions) kama...
Ndugu zangu, Mnyonge mnyongeni Haki yake mpeni, Serikali ya Rais Samia imeleta Tabasamu na matumaini katika kila secta, Leo hii ukiangalia na kufuatilia kila secta utagundua na kuona kuwa Rais Samia amefanya uwekezaji na mapinduzi makubwa katika kila secta inayogusa maisha ya mtanzania, kila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.