matukio

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Matumizi ya GPS Cheap iliyopachikwa ndani ya mwili kusaidia kupatikana unapotekwa na watu wasiojulikana kufuatia kuongezeka matukio ya kutekana

    Ili kurahisisha kupatikana kwako ukiwa HAI au MWILI wako ukiwa umekufa au kuuwawa KURAHISISHA KUPATIKANA kwako kwa haraka pindi inapotokea kutekwa/kupotea katika mazingira mbalimbali mfano AJALI mtu amezama ndani ya maji baharini kufuatia ajali ya boti,n.k. ndege kutopoteza uelekeo na kupotelea...
  2. JamiiForums Tanzania Kisa cha Generali Yoabu kumuua Generali Abneri bila ruhusa ya Mfalme Daudi ni kielelezo kuwa kuna Matukio hutokea Rais hahusishwi au hajulishwi

    Kwema Wakuu! Tulikuwa na Magufuli, akafanya aliyoyafanya. Yapo mazuri akapongezwa kwa mazuri. Na yapo mabaya akalaumiwa na kukemewa, kuliliwa na kutukanwa kwa Mabaya. Moja ya Mabaya yaliyotokea kipindi cha Magufuli ni pamoja na utekaji, kujeruhiwa na mauaji. Huku matukio hayo mengi yakiwa...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Matukio gani ambayo yalikukuta JKT hutayasahau

    Wakuu kwema Katika harakati za maisha kuna kupanda na kushuka ili ufikie malengo yako.Kuna baadhi ya watu walipitia JKT labdah kwa kujitolea au kwa mujibu WA Sheria(hasa wale wanaomaliza kidato cha sita),tushirikishane matukio na visa gani ambavyo uliwahi pitia hutakuja kusahau maishani
  4. JamiiForums Tanzania Matukio mawili mauaji ya Askari wa Israel huko Gaza. - Kauli ya Al-Qassam

    Wanaukumbi. ⚡️BREAKING: "Matukio mawili ya usalama" huko Gaza. - Kauli ya Al-Qassam. Al-Qassam ililipua jengo lililokuwa limenaswa na askari wa Israel mjini Rafah na kuwaacha wanajeshi sita wakiwa wamekwama chini ya vifusi. Moto mkali unaendelea huku jeshi likihangaika kuwaondoa maiti na...
  5. JamiiForums Tanzania Kujua kama Serikali inahusika katika Matukio ya Mabaya dhidi ya raia wake ni rahisi sana!

    Wiki iliyopita nchini Kenya mbunge Charles Ong'ondo alishambuliwa na kuuwawa. Leo hii Wauaji wote wamekamatwa na kufikishwa Mahakamani hapo Kenya. Picha hii hapa👇 Huku Tanzania; Mwaka 2017 Tundu Lissu alipigwa risasi 17 kwenye Makazi ya Viongozi wanaolindwa na askari pale Dodoma. Waliofanya...
  6. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Chadema: Wekeni rekodi vizuri ya Matukio yote ya Utekaji, Kuuwawa, kulawitia na Kupotezwa kwa Watu wenu na Watanzania. Mtanishukuru baadae

    Dunia haijawahi kuwa sehemu nzuri sana kwa Watawala Madhalimu. Wote waliofanya vitendo vya kuua, kuteka, kuwalawiti na kupoteza raia walikuja kukutana na mkono wa Sheria. Wengine kwa Mahakama za ndani ya Nchi zao na Wengine kwa Mahakama za Nje za Kimataifa. Hali iliyopo nchini Tanzania kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Je, kwa kilichotokea Jana pale Durban hasa kwa Stellenbosch FC kukosa Haki zao katika Matukio Mawili ya VAR tunaamini kuwa BAHATI ipo Maishani?

    Mimi ni Simba SC damu damu ila labda tu uwe ni Mpumbavu, Mshamba na huujui Mpira na wala hujaucheza pia ndiyo yo utaweza Kukataa kuwa yale Matukio yote Makubwa mawili yaliyopelekea Mwamuzi kutumia VAR kuyaamua yalikuwa ni sahihi ila ni BAHATI tu na NYOTA ya Siku ndiyo viliibeba Simba SC yetu...
  8. JamiiForums Tanzania Kwenye Injili ya Utoto ya Thomas (Infancy Gospel of Thomas), hadithi hii isiyo kanoni inasimulia matukio matatu muhimu

    Laana na kifo cha rafiki Yesu akiwa na miaka mitano alicheza kando ya mto, akakusanya maji kwenye dimbwi na kutengeneza ndege za udongo. Mvulana mwingine alipougia dimbwi lake, Yesu alimlaani na mara moja mwili wa mvulana huyo ukaanguka na kwenda maji – alikuwa amekufa kwa papo hapo. Wikipedia...
  9. JamiiForums Tanzania Matukio saba (7) ya kutisha yaliyotokea baada ya Yesu kusulubiwa msalabani

    Matukio saba ya kutisha yaliyotokea baada ya Yesu kusulubiwa saa sita mchana huko Goligota. 1. Giza Kutanda Mchana (Saa Sita hadi Saa Tisa) Katika Injili ya Marko 15:33 na Mathayo 27:45, inasemekana kuwa giza kuu lilitanda juu ya nchi yote kuanzia saa sita hadi saa tisa (saa 12:00 – 3:00...
  10. A

    JamiiForums Tanzania US Embassy: Matukio ya hivi karibuni ya kisiasa yanaibua wasiwasi kama Tanzania itaweza kuandaa uchaguzi wa amani.

    Baada ya kimya kirefu tangu kukamatwa kwa mwenyekiti wa CHADEMA taifa, Tundu Lissu, leo ubalozi wa Marekani hapa nchini umetoa tamko kuhusu hali ya kisiasa na wasiwasi wake mkubwa kwa serikali ya Tanzania kuhusu matukio ya hivi karibuni ya kuminya demokrasia na ukandamizaji kwa vyama vya...
  11. JamiiForums Tanzania Huyu kijana Juma Lokole anapokuwa kwenye matukio ya kijamii hakai na Wanaume badala yake anaakaa na Wanawake

    Huyu kijana Juma Lokole anapokuwa kwenye matukio ya kijamii anakaa upande wa Wanawake badala ya kukaa na Wanaume Hii ni tabia mbaya sana hasa katika utamaduni wetu sisi Watanzania na kwa baadhi ya Mikoa mingine mfano Arusha, Kagera, Mwanza, Kilimanjaro, Mara inaweza kupelekea kupewa adhabu na...
  12. JamiiForums Tanzania Wanawake mnajua kabisa mna mioyo miepesi kwanini huwa ni wa kwanza kukimbilia kwenye matukio ya kutisha na kuongofya?

    Hii nayo iwekwe kwenye maajabu ya wanawake.Hawa viumbe hawasomeki kabisa.... Wanawake bana likitokoea tukio hasa ajari wanakuwa wa kwanza kufika pale na huwakuti wanatoa msaada bali vilio tu utasikia Oooooh mungu wangu jamani hadi mkono umekatika jamaniiii jamaniiiii na wengine wakilia kwa...
  13. JamiiForums Tanzania ACT: Tunaitaka Serikali kuunda tume huru kuchunguza matukio yote ya Mauwaji, Vipigo na Utekaji, Zanzibar

    TAARIFA KWA UMMA (Tunaitaka Serikali kuunda tume huru kuchunguza matukio yote ya Mauwaji, Vipigo na Utekaji, Zanzibar) ACT-Wazalendo, tumepokea kwa mshituko taarifa ya kutekwa, ndugu Fakih Ali Salim, mwenye umri wa miaka 40 na mkazi wa Kijiji cha Chozi, Wilaya ya Wete, Mkoa wa Kaskazini Pemba...
  14. JamiiForums Tanzania Uzi maalumu matukio ya Boda Boda!

    Part 1: Hawa boda boda nilikuwa nawachukulia poa sana ila kuna siku jamaa alifanya jambo positive sana kwangu nikaona kumbe zile speed zao muda mwingine wanawahi kusave maisha ya watu. Jamaa nilimuagiza apeleke dawa sehemu ambayo najua kwa gari huwa natumia 1hr na ikiwa public hata masaa 3...
  15. JamiiForums Tanzania Picha X-rays kali za kutisha ambazo ni ngumu kuamini

    Maisha ni safari ya ajabu, Hizi picha hapa chini sio za kuchora, ni matukio halisi yaliyotokea. 1. Mwaka 2020, msichana mmoja alipata ajali mbaya akiwa ndani ya gari huku miguu yake ikiwa juu ya dashboard. Ajali ilipotokea, mguu wake ulisukumwa kwenda nyuma vibaya na hii ni picha ya X-ray...
  16. M

    JamiiForums Tanzania UJINGA NA ULIMBUKENI SABABU NYINGINE ZINAZOCHANGIA UKATILI NA MATUKIO YA AJABU KWENYE MAHUSIANO.

    UJINGA NA ULIMBUKENI SABABU NYINGINE ZINAZOCHANGIA UKATILI NA MATUKIO YA AJABU KWENYE MAHUSIANO. Matukio ya kushangaza kwenye mahusiano sio ya kusubiri bali karibu kila siku tunaamka na matukio yenye kushangaza kama sio kujinyonga basi ya mmoja kumuua mwingine au ubakaji wa watoto. Nimekuwa...
  17. JamiiForums Tanzania Nilisahau kupost hii au Mods wameondoa? Video matukio ya kutisha Morocco

    SIJAJUA KAMA NLIPOST HALAFU KUNA MODERATOR HAKUPENDA AU NILISAHAU KUPOST. ILA NITASHANGAA COZ HABARI IPO NA VIDEO IPO. MASLAHI YA NANI YAMEGUSWA HAPA? https://africabriefing.com/shocking-abuse-of-black-migrants-in-morocco/
  18. M

    JamiiForums Tanzania Summary ya Matukio na Maoni Yangu Kuhusu Derby ya Kariakoo

    Hii ni summary ya matukio yaliyojitokeza kuhusu Derby ya Kariakoo na Maoni yangu. Nagusia mambo muhimu tu, sitaorodhesha maoni sijui ya wachambuzi maana wengi wapo na bias: Inatangazwa tarehe ya Derby ya Kariakoo kama itachezwa tarehe 8 March Maandalizi yamepamba moto huku kila pande...
  19. JamiiForums Tanzania Haya ni baadhi ya matukio ambayo wapenda haki #FreePalestine wameyakalia kimya. Concern yao ni pale unagusa taifa lolote la mashariki isipokuwa Israel

    Wakristu na Washia kuuliwa Syria march 2025 Vita ilioletwa na wahuthi kusababisha njaa na utapia mlo hapo yemen Waturuki kuwaua wakurdi kwa mashambulio ya ndege huko syria Itikadi kali kuvamia kanisa na kuua waumini congo 2025 Magenge kutoka pakistan na nchi za kiarabu nyingine kufanya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…