Umoja wa Wapigakura Tanzania (UWAKUTA), umewatahadharisha wagombea wa urais, ubunge na udiwani kutoka vyama vyote vya siasa kuwa ni lazima watii na kuheshimu uamuzi wa wapigakura katika matokeo ya uchaguzi.
Akizungumza na gazeti hili ofisini kwake jana, Mratibu wa UWAKUTA, Peter Mpeleka...