MAVUNDE AFANIKISHA HUDUMA YA BURE YA WENYE MATATIZO YA MACHO, KIJANA ALIYEACHA MASOMO KWA TATIZO LA KUTOONA APONA. AAHIDI KUMSOMESHA.
Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mhe. Anthony Mavunde kwa kushirikiana na Lion Club tarehe 24 na 25 waliendesha huduma ya kambi ya macho katika Kituo cha afya...
Kumekuwa na mijadala mingi sana inayowazuia vijana kuoa au kuolewa, kubwa sana ni kukataa kuoa. Hiyo ni kutokana na mfumo wa maisha ya sasa yalivyo. Ndoa nyingi hazidumu na uaminifu ndani ya ndoa umepungua sana kiasi kwamba wanandoa kusalitiana limekuwa jambo la kawaida na ndio sababu ya ndoa...
Ningependa kuwakaribisha wadau wote kwa majibu yenu juu ya swali hili hapa chini.
SWALI
Ningependa kufahamu kutoka kwenu. Je ni lipi hasa tatizo letu sisi Waafrika/watu weusi hapa duniani, kwa nini tupo nyuma katika mambo mengi tofauti na Wazungu na Waasia?
Karibuni kwa maelezo na majibu yenu...
Nchi yetu sio ya demokrasia, hili tuliseme wazi bila kudanganya
Rais wa nchi hii anaamuliwa na kikao cha kamati kuu ya CCM na wazee, amboa ndio huamua nani akatwe jina na nani apitishwe kwenda kupigiwa kura na wajumbe wa chama
Akishapitishwa na wajumbe ndio tayari ameshakuwa rais, sababu...
Wasalamu
Kama ilivyo ada, ninapenda kuchukua nafasi na muda huu kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujalia afya njema na Uhai. Pia ,ninawapongeza viongozi wa serikali wakiongozwa na Rais Samia kwa juhudi na jitihada mbalimbali wanazoonesha katika kuongoza nchi yetu kwa kuzingatia maslahi mapana ya...
Wengi wetu tumekua wa kwanza kutafuta lawama kuliko kuangalia suluhisho, hii inatufanya kushindwa kuendelea kwa sababu ya kubaki na kinyongo. Tupambane tuachane na lawama zisizo za msingi.
Najua watutsi kote eneo la maziwa makuu watapinga kwa nguvu ila huu ndio ukweli.
Ili kutatua tatizo la ukosefu wa amani mashariki ya congo ni lazima kwanza kuung'oa utawala wa kitutsi unaoongozwa na Kagame Rwanda.
Kwa hulka na desturi ya Watutsi ya kugombea kuhodhi wao madaraka ya kisiasa kwa...
Akizungumza jioni hii kupitia kipindi cha BBC kinachotathimini mwekekeo wa mambo katika mwaka tuanaouanza, mchambuzi huyo amesema kwa upande wa Tanzania wapinzani wanatakiwa wajifungie na kujivua gamba.
Amesema vyama vya upinzani vinapaswa kujitazama upya namna vinavyofanya siasa na hali ya...
Jamii nyingi za Kiafrika zinasumbuliwa na tatizo ugonjwa wa akili kwasabab nyingi moja ikiwemo.
1. Ukosefu wa lishe bora: Ambapo watoto wanakosa lishe wakina ndani na nje baada ya kuzaliwa ambapo inapelekea kuwepo na changamoto nyingi zinazosababishwa na matatizo ya kukosekana kwa Afya ya Akili...
Siku hizi kila nikiwa nahitaji huduma za kibenki hasa nikiwa Kkoo au posta nikienda Tawi lolote la Crdb lazima nipate maudhi.
Hadi najiuliza ni Mimi Tu nnaeona kuna shida mahal? Asubuhi moja nimejikuta kwenye foleni ya ATM posta Azikiwe street, imagine foleni ya ATM.
Nahisi hii bank imeelemewa...
Kumekuwa na wimbi kubwa la watu kujiua kwa namna tofautitofauti kutokana na changamoto za kimaisha, ndoa, kiuchumi nk.
Wengi tumekuwa tukisema "Ongeeni na watu" kuhusu matatizo ili pengine yatatuliwe, wanaamini kwamba wahanga hawawashirikishi watu wakati sivyo.
Watu wengi wanafanya maamuzi...
ITIHADA ZILIZOFANYIKA ZA KUKABILIANA NA HALIYA UPUNGUFU WA UMEME
Mnamo siku ya Jumatano, tarehe 23 Novemba 2022. Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) lilitoa taarifa ya hali ya upungufu wa umeme pamoja na kueleza jitihada za muda mfupi, wa kati na mrefu zilizopangwa kuchukuliwa iii kukabiliana...
Shirika la Ndege la Air Tanzania linatathmini hali ya Ndege zake ili kuziba pengo linalojitokeza katika kutoa huduma lililosababishwa na kusimamishwa kwa Ndege zake za Airbus A220 kutokana na matatizo ya injini.
Kwa mujibu wa taarifa, Ndege moja ya A220 ya ATCL iliruka mara ya mwisho Januari 3...
Waziri Mkuu Mstaafu mzee Sinde Warioba ameunga mkono hoja ya matatizo ya Wakulima na ameitaka Serikali isikwepe wajibu wake wa kuwatimizia matakwa yao na isipumbazwe na kundi la wapiga masifu ya hovyo.
Vilevile mzee Warioba ameitaka Serikali kushughulikia tatizo la Wafugaji na Machinga kwa...
Ewe bwana mdogo nape, nimeiona kauli Yako juu ya malalamiko ya watu juu ya uonyeshwaji wa kombe la dunia
Sasa wakati tunalalamika na vifurushi Kwa Zaidi ya mwaka mzima hujatoka hadharani kukemea.
Msitufanye kama watoto wadogo, kutupa makopo tuchezee huku mnapiga madili. Acheni kabisa hizo...
Nadhani kila moja anajua kama dunia sasa imekuwa kijiji kwa kuunganishwa na simu . yani mitandao ya kijamii (social media).
Na sijui niseme uzuri au ubaya wa mambo humu kwenye mitandao ya kijamii kumekuwa na makundi ya watu wa aina mbalimbali . na makundi hayo yanazalishwa na kutoka na ulewa...
Tuna changamoto lukuki kama taifa ambazo zinatakiwa kupatiwa suluhu na serikali kupitia vyombo vya dola na wala sio porojo za kisiasa.
Tuna majambazi, panya road na vibaka. Wanasumbua kwa zaidi ya miaka ishirini. Hapa napo tusaidiwe na akina majaliwa?
Tuna wahamiaji haramu kibao wanaishi na...
Mimi kama mkristu kamili.
Amri ya pili inasema "usilitaje bure jina la mungu wako".
Viongozi wa dini mko wapi kukemea jambo hili ovu.
Nimesikia mara ya tatú mhimili wa serikali inamsingizia Mungu.
1. Mgao wa umeme last year makala alisema serikali haina namna tumwombe Mungu mvua inyeshe.
2...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.