Kupata msaada juu ya matatizo ya kiakili....

mshamba_hachekwi

JF-Expert Member
Mar 3, 2023
16,797
51,966
Habari zenu watanzania. Hivi karibuni nimeweza kugundua, baada ya kuchunguza kwa makini, kwamba kuna uwezekano mkubwa nina tatizo la kiakili(mental disorder). Kuna vitu nimekua nikivifanya, na kuna jinsi nimekua nikiishi na watu walionizunguka kwa miaka kadhaa sasa..... Hii imenipelekea kufanya uchunguzi ambao umeonyesha naweza kua na tatizo la akili....

Pia nimegundua hapa tz swala la afya ya akili tunalichukulia kiuwepesi sana, ni changamoto kupata msaada na isitoshe kuna hii dhana ya wanaume kua wagumu na wastahimilivu, hili limenifanye niwaze sana kuhusu kutafuta msaada.

Lakini sasa nimeamua hili swala nianze kulishughulikia kwasababu madhara naona yameanza kua makubwa. Sasa ningependa kujulishwa kama kuna njia nzuri ya kupata msaada, ikiwezekana wa kitaalam, juu ya matatizo ya afya ya akili. Saidia kwa mapendekezo yoyote uliyonayo. Ningependa kujua kama labda kuna gharama za kifedha zitahusika, au labda kama kuna process za kufuata n.k....

Ahsanteni....
 
Anguttara Nikaya pdf
 
Nenda kwa doctor msango pale mloganzila izi issues ana zijua mno. Bora ww umejigundua naukaamua kuchukua hatua, kwasababu linamazara sana.kuna mtu namfahamu anahili tatizo lakin akubaliani nalo kabisaa ndolinazidi kumfanya aonekane tofaut kwa matendo yake lakin yeye anajiona yuko sawa.
 
Back
Top Bottom