maswali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Maswali ya Muungano yanayokosa majibu ya kweli kwa vijana

    Maswali ya Muungano ambayo vijana wetu wa sasa wanakosa majibu yanayowatosheleza kutoka kwa wazazi wao ni haya: 1. Kwanini Tanganyika haipo lakini Zanzibar ipo? 2. Kwanini kuna Rais wa Tanzania na Rais wa Zanzibar lakini hakuna Rais wa Tanganyika? 3. Kwanini Zanzibar wana ligi yao na hawamo...
  2. J

    Unaumizwa na matarajio yasipotimia? Jiulize maswali yafuatayo

    Hicho ulichokikosa kitakuwa na maana ndani ya miaka 10 ijayo? Kitu hicho kina umuhimu gani ukilinganisha na vitu vingine kwenye maisha yako? Ni funzo gani umepata kutokana na kuumizwa? Utagundua kuna vitu vingi vya kukupa furaha ukivitumia ipasavyo hivyo maisha ni lazima yaendelee...
  3. Kipindi cha Dakika 45 ITV: Wakati umefikia sasa kuruhusu maswali kwa wageni waalikwa

    Wanajanvi. Hiki ni kipindi kizuri sana. Ni kipindi cha muda mrefu na maarufu hapo ITV. Wanaalikwa watu wazito wenye maslahi kwa umma! Mwandaaji wa kipindi bi Farhia anajitahidi sana kauliza maswali fikirishi kwa wageni wake. Hata hivyo kipindi kinakosa mvuto. Ni cha upande mmoja. Muulizwa...
  4. Spika Ndugai: Jimbo la Hai limepata Mbunge, aliyekuwepo kabla alikuwa anazurura, haulizi maswali Bungeni

    Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amesema Jimbo la Hai limepata Mbunge hivi sasa, akiongeza aliyekuwepo kabla ya hapo alikuwa anazurura kila mahali. Akiwa Bungeni Dodoma leo, Ndugai amesema, "Alikuwa haulizi maswali Bungeni, haeleweki. Lakini sasa Mbunge mnaye kabisa". Kauli yake imekuja...
  5. Siasa za "wafu" na "vipofu" zikikoma tunaweza kujiuliza maswali kama haya

    "Je! Unafikiri China inasubiri kuwekeza katika miundombinu yake ya dijiti au utafiti na maendeleo? Ninawaahidi, hawasubiri," Bwana Biden alisema katika hotuba yake Jumatano. Bwana Biden alisema Uchina na ulimwengu wote "wanakimbia mbele yetu katika uwekezaji walionao siku za usoni". "Do you...
  6. Maoni na maswali yangu kwa TCRA

    Poleni na majukumu ndugu zangu wana jamvi. (a)Kwanini kusiwe na namba ya huduma ya TCRA? [emoji117] Yaani mteja wa mtandao husika anaponunua kifurushi kikaisha kabla ya muda wake apige simu TCRA ili wahoji au kuchunguza uhalali wa matumizi. Hapa ikibainika mtandao umefanya wizi umrudishie mteja...
  7. Y

    Waliowahi kuitwa written interview Utumishi, ni maswali gani huulizwa?

    Samahani wakuu, naomba waliowahi kufanya Interview ya Accountant Assistant utumishi wanipe dondoo Kuhusu maswali Yao
  8. M

    TCRA na Waziri Ndugulile, wanyonge mliotuumiza jana tunahitaji tu kupata majibu ya haya maswali yetu

    1. Baada ya Kuamuru jana kuwa Vifurushi vya zamani virejeshwe na viendelee je, ni Saa ngapi hilo litafanyika kwani mpaka sasa bado havijabadilika? 2. Je, wale ambao Jana walinunua Vifurushi vyenu vya Ukatili na Kutukomoa mtawasaidiaje na kuwafidia kutokana na Upuuzi wenu? 3. Ni saa ngapi...
  9. K

    Maswali magumu: Utetezi wa Jakaya Kikwete dhidi ya tuhuma za chuki binafsi dhidi ya Hayati Magufuli msibani

    JK leo tumekusikia ukijitetea kuwa watu wameanza kuzusha mitandaoni eti wewe ulikuwa unamchukia JPM na pengine ukawa mmoja wa maadui zake wakati wa utawala wake. Majibu yako yalikuwa mepesi mno kama kawaida yako "Mswahili" nanukuu "Eti kama kweli ningekuwa namchukia JPM nisingeweza kupitisha...
  10. Hoja dhidi ya Hoja: Maswali Sahihi Huleta Majibu Sahihi: Tatizo la Kudhania Kutoonekana kwa Magufuli

    MASWALI YASIYO SAHIHI HULETA MAJIBU YASIYOSAHIHI: TATIZO LA KUDHANIA Na. M. M. Mwanakijiji Katika hoja yangu ya wiki iliyopita nilijikuta nami nimechokosa udhanifu (assumptions) katika kujenga hoja hiyo na hivyo kuingia kwenye mtego wa maswali yasiyo sahihi. Mtu anapouliza kitu anafanya hivyo...
  11. M

    Ina maana maswali haya kuntu ya Mchambuzi ' Neutral ' Shaffih Dauda hatujayasikia au katupiga Ngumi ya Uso?

    1. Injinia Hersi alikuwa wapi tokea zamani kuja Kuipigania Yanga SC? 2. Injinia Hersi ni nani ndani ya Management ya Yanga SC hadi amekuwa ndiyo kila Kitu? 3. Injinia Hersi ni nani hadi kujua Uwezo wa Kocha Msaidizi na Mchezaji Mwandamizi Nizar Khalfan kiasi cha Kuchochea nae afukuzwe tena...
  12. Wizara ya Katiba na Sheria Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na ushauri

    Ndugu wana JamiiForums, Tunashukuru kwa maoni yenu na mijadala inayoendelea hapa kila siku kuhusu masuala ya Katiba na Sheria za nchi yetu. Aidha kuhusu haki za binadamu, rushwa, utawala wa sheria na mengineyo. Kupitia thread hii maalum; tutapokea maoni, ushauri na hata malalamiko yenu...
  13. R

    Maswali kuhusu matumizi ya stendi mpya ya mabasi Mbezi (so-called Magufuli)

    Kuna tangazo linasema safari zote zitaanzia stend mpya Magufuli. Tangazo linazidi kusema mabasi makubwa wakodishe mini bus kuwasafirisha abiria kuwaleta stend mpya au wawaelekeze abiria kuja Mbezi. Sasa swali: 1. Anayekwenda Mtwara na yuko Mbagala, naye aje Mbezi? maana tangazo linasema stend...
  14. M

    Naomba majibu ya haya Maswali yangu Mawili tu tafadhali

    1. Je, kati ya Goli alilofunga Balama Mapinduzi dhidi ya Simba SC na alilofunga jana Jose Miqquissone dhidi ya Al Ahly ni lipi ni Tamu na la Kiufundi ambalo hata Benki ya Dunia ikikudai Mkopo wake inaweza Kukusamehe? 2. Je, anayeongoza katika Msimamo wa Ligi Kuu ya Tanzania na Yule anayeongoza...
  15. Mchungaji Msigwa: Rais Magufuli huenda kanisani kama muumini au Rais?

    Haya Hapa
  16. M

    Waandishi wa Habari mliokuwepo leo katika Press ya Makamu Mwenyekiti wa Yanga SC mlishindwa kumuuliza Maswali Fikirishi haya?

    1. Je, TFF, Kamati yake ya nidhamu na Mchezaji Bernard Morisson ndiyo inawafanya akina Sarpong, Nchimbi na Feisal kukosa Magoli? 2. Je, TFF, Kamati yake ya nidhamu na Mchezaji Bernard Morisson ndiyo wanafanya Mabeki wao Moro na Mwamnyeto wakatike na Wagombane ndani na nje ya Uwanja? 3. Je...
  17. T

    Maswali ya papo kwa papo kwa Waziri Mkuu yana mambo mengi ya kujiuliza

    Vijana kama vijana tunasakamwa kila kona.Ukianzia nyumbani hapasomeki, wazazi wakati mwingine wanakuona kama mzigo, ukija kwa watengeneza sera wa nchi ndo balaaa! Viongozi wetu balaaa kubwa.Mara hatuwezi kuweka hata mbolea! Kazi kushinda mitandaoni ohh!? Mara kazi kuvuta shisha.wakati tunakua...
  18. Maswali ya kuudhi - Umeoa? Umeolewa? Unao/olewa lini? Una watoto wangapi?

    Haya maswali binafsi huwa nayachukia sana japo kweli nimeolewa na nina watoto. Ni maswali too personal kumuuliza mtu mzima mwenye akili zake maamuzi yake. Ila bahati mbaya ni maswali ambayo watu wengi huwa wanapenda kuuliza bila hata kuwaza hisia za wale wanaowauliza. Tena heri haya maswali...
  19. Ni kituko kwamba Rais Biden hataki kuulizwa maswali. Je, hawezi kujibu kama Marais waliopita?

    Mzee Biden amekuwa maarufu kwa hii tabia yake mpya ya kuchomoka nduki akimaliza hotuba, Hataki kuulizwa maswali kabisa. Akimaliza kusoma hotuba yake kwenye telepromter, huwa anaondoka bila kupokea maswali, huenda hii ni kwa sababu majibu ya maswali hayahitaji teleprompter bali kichwa. Kama...
  20. Z

    Maswali matatu kwa Waziri wa Afya

    Ndugu Waziri wa Afya, naomba kukuuliza MASWALI matatu tu ili nisikuchoshe. Nikiwa mwananchi wa nchi hii ninahitaji majibu sahihi kutoka kwako tena yawe ya kitaalamu na si ya kisiasa: 1) Je, korona ipo au haipo hapa Tanzania, na kama ipo Ni ya aina gani, ya China au ya South Africa? 2) Je...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…