Ina maana maswali haya kuntu ya Mchambuzi ' Neutral ' Shaffih Dauda hatujayasikia au katupiga Ngumi ya Uso?

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
1. Injinia Hersi alikuwa wapi tokea zamani kuja Kuipigania Yanga SC?

2. Injinia Hersi ni nani ndani ya Management ya Yanga SC hadi amekuwa ndiyo kila Kitu?

3. Injinia Hersi ni nani hadi kujua Uwezo wa Kocha Msaidizi na Mchezaji Mwandamizi Nizar Khalfan kiasi cha Kuchochea nae afukuzwe tena akiwa ana Mwezi Mmoja tu?

4. Injinia Hersi alipokuwa akiwaaminisha wana Yanga SC kuwa iwe isiwe Yanga SC itakuwa Bingwa na isipokuwa aulizwe Yeye huku akitamba Kusajili Migalasa tupu alikuwa akidhani wana Yanga SC ni Mambumbumbu au?

Haya mjibuni sasa Mimi leo nakaa Kimya.
 
Yeye ndo anasajili na analipa mishahara bila yeye pale Yanga ingelijuwa hata ya nane huko au 10.
 
1. Injinia Hersi alikuwa wapi tokea zamani kuja Kuipigania Yanga SC?

2. Injinia Hersi ni nani ndani ya Management ya Yanga SC hadi amekuwa ndiyo kila Kitu?...
Miezi michache tu iliyopita mlikuja humu kulia lia na kumtukana huyo Shaffii Dauda, kwa kigezo cha kuisema vibaya timu yenu! Leo mnakuja tena kwa kumpamba, kisa tu kauliza maswali ya kuwafurahisha shidi ya Yanga!!

Hakika Rage ni Genius kwa kuwaita Mbumbumbu.
 
Luc hakukosea kuwafananisha nyie na kima.
20210302_204807.jpg
 
1. Injinia Hersi alikuwa wapi tokea zamani kuja Kuipigania Yanga SC?

2. Injinia Hersi ni nani ndani ya Management ya Yanga SC hadi amekuwa ndiyo kila Kitu?

3. Injinia Hersi ni nani hadi kujua Uwezo wa Kocha Msaidizi na Mchezaji Mwandamizi Nizar Khalfan kiasi cha Kuchochea nae afukuzwe tena akiwa ana Mwezi Mmoja tu?

4. Injinia Hersi alipokuwa akiwaaminisha wana Yanga SC kuwa iwe isiwe Yanga SC itakuwa Bingwa na isipokuwa aulizwe Yeye huku akitamba Kusajili Migalasa tupu alikuwa akidhani wana Yanga SC ni Mambumbumbu au?

Haya mjibuni sasa Mimi leo nakaa Kimya.
Shafii alishagombea ujumbe kwa Manguruwe. Hiyo neutrality inatoka wapi?
 
Back
Top Bottom