maswali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Maswali ya interview ya Utumishi huwa yanatungwa kwa namna ipi?

    Habari wakuu, Naomba kufahamu kwa nafasi za kazi ambapo kada tofauti mnaitwa kuomba yaani kama field za ( finance, planning, economic, engineering) mnaomba kazi moja. Maswali ya interview huwa yanatungwa kwa namna ipi?
  2. Lucas Mwashambwa waulize wakubwa haya maswali watusaidie majibu

    Lucas mwashambwa pamoja na mazuri yote ya Serikali unayoyatangaza humu, umeshawahi kujiuliza kwanini bei ya Mchele ifike 4,000 kwa kilo tatizo liko wapi na nani amesababisha hali hiyo ili iweze kushauri na kutuletea majibu. Waulize kwanini Kilo ya Nyama iuzwe 10,000 hadi 11,000 kutoka sh 5,500...
  3. Msaada juu ya maswali ya written interview Utumishi

    Naombeni kujua nature ya maswali ya hivi karibuni kwa wale mliofanya interview utumishi kwa Kanda mbalimbali, zaman tulizoe kila usaili maswali ya research ,saiv kukoje nipen mwanga kidogo jamani.
  4. Naomba msaada wa solution za haya maswali wadau

    Kheri ya mwaka mpya wanajukwaa la elimu? Naomba mnisaidie haya maswali ya: 1. The Rydberg constant for hydrogen is 1.09678×107m-1 and that for singly ionized helium is 1.09722.Given that the mass of the helium nucleus is four times that of the hydrogen nucleus.Calculate the ratio of the...
  5. Kabla hamjafuta somo la Uraia (Civics) naomba nijibiwe maswali haya

    Kabla hamjafuta Civics nataka nijulishwe, 1. Chama Cha Mapinduzi kilimpindua nani? 2. Tanganyika tunafaidikaje na muungano? 3. Mwenge wa uhuru uko kwa ajili ya maslahi na faida ya nani? Na una faida gani kwa taifa? Kwanini usizimwe na kuhifadhiwa kwenye makumbusho ya Taifa?
  6. Maswali yenye Utata Kifo cha Balozi C. Mushi. Nini kipo nyuma yake?

    KUTOKA KWA MALISA GJ Nimejiuliza maswali kadhaa nikakosa majibu; 1. Balozi Mushi alikua anajiendesha mwenyewe? Tena usiku wa manane? Protocal za kidiplomasia zinasemaje, Balozi anapokua na safari binafsi? Je alikua peke yake? 2. Kama ajali ni uso kwa uso means lori lilikua linatoka ielekeo wa...
  7. Msaada wa nondo za maswali ya usaili nafasi ya ICT TECHNICIAN (TRA)

    Ndugu zangu nimeitwa kwenye usahili wa ICT TECHNICIAN TRA kwa wale waliowahi kufanya hebu msaada kidogo wa nondo za maswali ya ICT TECHNICIAN
  8. Video ya Rais wa Sudan Kusini akitokwa na haja ndogo yazua maswali kuhusu afya za viongozi

    Katika tukio lisilo la kawaida, Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir mwenye miaka 71 ameonekana akitokwa na haja ndogo wakati wa hafla ya Kitaifa na wimbo wa Taifa ukipigwa. Kitendo hicho kinaibua maswali kuhusu hali za kiafya za viongozi wengi duniani kuendelea kukaa madarakani hata baada ya umri...
  9. B

    Nilifanikiwa kukutana na bosi ya skretarieti ya ajira,.alinipa Siri ya maswali ya mitihani wanayotoa kwa Sasa! Research hawatoi Tena!

    Nilifanikiwa kukutana na bosi ya skretarieti ya ajira,.alinipa Siri ya maswali ya mitihani wanayotoa kwa Sasa! Moja ya Maswali wanatoa kwenye "head job tittle" Mfano; Agric tutor-crop science Unatakiwa usome contents zote za crop science utafaulu mitihani! Msidanganyane na "research siku hizi...
  10. Mwenye maswali yanayoulizwa kwenye paper ya written ya Assistant Tax Management officer huko sekretarieti ya Ajira yaweke hapa tujadilieni

    Mwenye maswali yanayoulizwa kwenye paper ya written ya Assistant Tax Management officer huko sekretarieti ya Ajira yaweke hapa tujadiliane.
  11. Mwenye maswali yanayoulizwa kwenye peper ya assistance tax management officer

    Habari wakuu, Mwenye maswali yanayoulizwa kwenye peper ya assistance tax management officer TRA, atusaidie.
  12. Kuibwa kwa silaha ofisi za TAKUKURU Handeni Maswali ni mengi kuliko majibu

    Habari za mapumziko wana jamvi Mapema wiki hii palitokea wizi wa silaha za moto kwenye ofisi za PCCB Huko Handeni Tanga. Kama kawaida jambo limepita na hakuna kilichotokea. kwa mujibu wa gazeti la mwananchi silaha zilizoibwa ni mbili na zenye risasi ndani. hatujui zimeenda wapi na zinaenda...
  13. M

    Wazee wa 'unbeaten' tujikumbushe somo la 'map reading'. Soma picha hii kisha ujibu maswali

    MASWALI: 1. Hii picha ilipigwa wapi? 2. Huyo aliyetoa macho na kubaki mdomo wazi ni nani? 3. Kwa nini macho yalimtoka na kubaki mdomo wazi? 4. Hii picha ni ya tukio gani? Wazee wa "unbeaten" karibuni kwenye map reading!
  14. S

    Umeme na maji vitaendelea kupatikana kila siku baada ya Rais kuondoka Arusha?

    Tunajiuliza sana je, umeme huu tuliyoushudia ukiwaka full time tutaendelea kuwa nao? Au ndiyo ataondoka nao? Tunamshukuru sana kwa kuwa hapa, maana kwetu tunatamani angeendelea kubaki kwani hata maji yapo ya kutosha. Je, akioondoka itakuwaje? Hatuna mengi sisi tunasubiri yajayo!
  15. Mahojiano ya Mkurugenzi Mkuu TANESCO ni usanii mtupu

    Hawa kina Maharage Chande kazi imewashinda kabsaa, wameandaa slide kuhadaa umma hatua za JNHP, wakati si kweli. Kigoma wamezima majenerata, umeme mdogo, unakatikakatika na kusuasua, katoa majibu ya kibabaishaji akimuingiza Ndalichako kutafuta huruma, nonsense kabisa. Mkurugenzi hilo la kigoma...
  16. Nina maswali fikirishi kuhusu nadharia ya vimondo

    Vimondo ni magimba yanayomeguka kutoka kwenye Sayari na yakishameguka huingia kwenye anga la Dunia yetu na hatimae hudondokea kwenye uso wa Dunia yetu! Swali ni je hiki kipate kinawezaje kueskepu kutoka kwenye Sayari wakati Kuna grevitational force? Najaribu kujiuliza na kuchukua mfano kipande...
  17. Mchepuko akikuuliza maswali yafuatayo kuhusu mmeo au mkeo unatakiwa umjibuje?

    Habarini za asubuhi wadau wa jukwaa hili! Bila Shaka weng wenu Ni wazma, wenye changamoto pia nawapa pole. Nisiwapotezee muda niende kwenye mada: Bila Shaka wazoefu wa michepuko mshawahi kukutana na maswali mengi Sana kutoka kwa mchepuko wako yanayohusu familia yako wakiwemo mke na watoto...
  18. Namna ya kujibu maswali ya interview,pamoja na Andiko yaani documents.

    Sikia hii Kuna wanachuo wengi hawana uzoefu wa kujibu maswali ya Interview Vizuri,Hawajui ni kwa namna gani wanaweza Kuandika Barua ya kuombea kazi (Application Letter), Au wastaafu wamesahau namna ya kuandika barua ya aina yoyote ile Lakini Kuna wengine CV KUandika Inawashinda Unajua hivi ni...
  19. Namna ya kujibu maswali ya interview

    Sikia hii Kuna wanachuo wengi hawana uzoefu wa kujibu maswali ya Interview Vizuri,Hawajui ni kwa namna gani wanaweza Kuandika Barua ya kuombea kazi (Application Letter), Au wastaafu wamesahau namna ya kuandika barua ya aina yoyote ile Lakini Kuna wengine CV KUandika Inawashinda Unajua hivi ni...
  20. Zitto Kabwe ni genius apewe heshima yake, ninyi Ufipa mtujibu kwanza maswali yetu haya

    zitto kabwe ni mwanaume kwelikweli .anahimili vishindo vyote ! Amepitia majaribio mengi ya hatari lakini hutamuona amepanikii !Pale mnaposema tumemmaliza mnajaribu kuweka sherehe mtakuta asubuhi yupo ! Anazijua siasa za ushindani ,Hana mihemuko Anaimalisha chama chake kimkakati.jembe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…