Leo tuwache jazba, kejeli, matusi na ujinga. Hii kwa pande zote mbili, zinzoona DP World haifai na zinazoona DP World inafaaa tujadiliane kiustaarabu tuone "options " zetu ni zipi, zile zenye faida tuishauri serikali izifate, zile zisizo na faida tuishauri serikali isizifate.
Kama una jibu au...
Katika Clubhouse inayoendelea kuhusu mjadala wa Bandari unaoongoza na Habari Maelezo, huku moderator akiwa ni Peter Msigwa, hali imekuwa tete baada ya Peter Madeleka kutaka kuuliza swali ambapo Msigwa ameshutumu Madeleka kutumia utambulisho usio wake, hata hivyo Madeleka alisema ametumia jina...
Hakuna anayepinga uwekezaji, utaratibu tu ufuatwe
Usimamizi wa bandari sio rocket science
Upinzani wa kuwekeza kwenye bandari
Serikali kukiri kushindwa kusimamia bandari ijiendeshe kwa ufanisi
Maswali ya msingi yanayopaswa kujibiwa
Uzoefu wa biashara wa DP World sehemu mbalimbali duniani
Jambo...
Injinia una Akili sana yaani ulianza Kwanza kwa Kuwadanganya kuwa mmepata Faida ya Tsh Bilioni 17 na kwamba kwa Msimu ujao mtatumia Tsh Bilioni 20 na ulivyoona hujaeleweka na Wanajipanga Kukuhoji ukaona isiwe taabu.
Mazuzu waliojazana Kukusikiliza Ukiwaokota ( Ukiwadanganya ) hawakujua kuwa...
Wasalaam
Mara nyingi huwa nasikia huko Bungeni na kwa wanasiasa mbalimbali kwamba,
Muungano wetu ni wa kipekee, umezifanya nchi hizi mbili kuwa na mambo ambayo hayawezi kuingiliana na yale ambayo yanayoingiliana
Kuna yale yanakuwa ya Zanzibari pekee na yale yanakuwa ya Watanganyika pekee...
MCHANGO WA MBUNGE WA JIMBO LA KISESA, MHE. LUHAGA JOELSON MPINA (MB) KUHUSU MAPENDEKEZO YA KURIDHIA MAKUBALIANO KATI YA SERIKALI YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA SERIKALI YA DUBAI KUHUSU USHIRIKIANO WA KIUCHUMI NA KIJAMII KWA AJILI YA UENDELEZAJI NA UBORESHAJI WA UTENDAJI KAZI WA BANDARI...
Swali la kwanza
Ni aina gani za mikataba ambayo inaweza kusababisha upungufu wa uhuru wa kitaifa?
Majibu tota kwa mdau
@G na wadau wengine Swali la kwanza.
Kuna aina mbalimbali za mikataba ambazo zinaweza kusababisha upungufu wa uhuru wa kitaifa ni kweli. Hapa kuna baadhi ya mifano:
1...
Hivi,
1. Kama bandari inabinafsishwa gati na 5 hadi 8 na kuachwa gati namba 9 hadi 11 kwanini kelele ziwe nyingi kiasi kwamba ni bandari yote inauzwa?
2. Kama huyo anayekuja anakuja kuboresha miundominu na utoaji huduma sasa mbona wafanyabiashara ndio wanapiga kelele hawataki kabisa kwani si...
Inasadikiwa kuna mikataba 40 ilisainiwa huko Dubai, mmoja ndio huoo.... nao ni wa uchungu kushinda Mwalovera na ndio wa kwanza tu kati ya hiyo yote!
Itatofuata..... tusishangae kuona kipanda cha aridhi mkoa fulani kupewa hao jamaa kwa njia hizihizi za kubinafisisha!
Nyaya zimeshagusana, moto...
Jamani nina swali ambalo nadhani hata wabunge wetu wangejiuliza kabla ya kupitisha hili jambo.
Na wasiangalie wao wanaishi sasa waangalie na watoto na wajukuu wajao wataishi vipi huko baadae.
Maswali:
(1) Kama kila siku tunaambiwa tunategemea sana mapato ya bandari. Sasa kama bandari inapigwa...
Ripoti ya THBUB inasema April 27 asubuhi Nusura alisafiri kwa basi la Manning Nice kutoka Dodoma hadi Babati. Kisha akapanda Coaster hadi Arusha, kabla ya kumalizia safari kwa basi la Ibra Line hadi Moshi. Lakini taarifa ya VC UDOM (Soma hapa Chuo Kikuu cha Dodoma chatoa taarifa kufuatia kifo...
MCHANGO WA MBUNGE WA JIMBO LA KISESA, MHE. LUHAGA JOELSON MPINA (MB) AKICHANGIA KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA WIZARA YA NISHATI KWA MWAKA 2023/2024 BUNGENI DODOMA TAREHE 1 JUNI 2023
1: UTANGULIZI
Mheshimiwa Spika, nichukue nafasi hii kukushukuru sana kwa nafasi hii uliyonipa nami...
Wakati Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kikiendelea na operesheni +255 Katiba Mpya katika Kanda ya Kaskazini, kauli kinzani zimeibuka kati ya viongozi wa juu wa chama hicho Mwenyekiti Freeman Mbowe na makamu wake, Tundu Lissu.
Viongozi hao wanaoongoza timu mbili zinazoshiriki...
1. Kwa mujibu wa maandiko, Mungu alimpa amri Adam na Hawa wasile matunda ya mti wa katikati. Hakuwaambia kuwa ni wa ujuzi wa mema na mabaya na wala hakuwaambia ungewafungua macho. Shetani yeye akawaambia watu hizo dondoo kuuhusu huo mti na matunda yake. Je, Shetani alisema ukweli?
2. Mungu...
Mo Dewji naomba haraka sana kujua yafuatayo......
1. Zile Tsh Bilioni 20 za Uwekezaji umeweka Benki gani Tanzania?
2. Simba SC kama Klabu inapata Kiasi gani kutokana na Udhamini wa Brands zako?
3. Kila mwaka unatoa Shilingi ngapi kama Hela ya Usajili Simba SC?
4. Mpaka hivi sasa tokea uwe...
Nimekuwa nikisikiliza maswali na majibu yanayoulizwa Bungeni na majibu yanayotolewa Bungeni kwa kweli kipindi hiki hakina tija na kinatakiwa kufutwa kabisa.
Unaposikiliza majibu kwa kweli hayana mashiko na mengi hayana ukweli. Ni majibu ya kufunika kikombe na mwanaharamu apite.
Mfano hai ni...
Tunatia aibu kama taifa kuwa na waandishi wa aina hii. TCRA iinue kiwango cha vyuo vinavyotoa taaluma ya habari, wanafunzi wanaojiunga na vyuo vya habari na watu wanaofanya kazi za habari. Products ziko chini sana mpaka wageni wanawashangaa waandishi wetu. Yaani hawa waandishi kwa namna nyingine...
Taarifa kamili hii hapa.
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG). Bw. Charles E. Kichere anasikitika kutangaza kifo cha Bw. Geofrey Lawrence Makonyu, Mkaguzi Kitengo cha Walipa Kodi Wakubwa ambae amefariki akiwa Yaounde nchini Cameroon akiwa katika majukumu ya kikazi.
Marehemu...
cag
gani
geofrey lawrence makonyu
geofrey makonyu
habari
ingilia kati
kigogo
kuhusu
maswali
mengi
ndimwaga shitindi
ofisi
ripoti
ripoti ya cag
spika
taarifa
ukweli
vifo
watumishi
wowote
Desemba 17, 2021, Klabu ya Simba ilizindua kampeni ya kuchangia ujenzi wa uwanja wao uliopo Bunju, Dar es Salaam.
Malengo ni kujenga uwanja wenye uwezo wa kuingiza watazamaji zaidi ya 30,000.
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Simba kwa wakati huo, Barbara Gonzalez, ndiye aliyekuwa akizungumza zaidi siku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.