Charles Boniface Mkwasa 'Master' awashangaa Yanga kumzibia riziki Mzize

Lupweko

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2009
Posts
25,101
Reaction score
27,195
Kupitia Wasafi FM, aliyekuwa mchezaji na kocha wa zamani wa Yanga, Boniface Mkwasa 'Master' ametoa maoni yake juu ya sakata la mcheza Clement Mzize. Mkwasa amesema Yanga kuendelea kumshikilia Mzize ni kumnyima haki kama Mtanzania. Mkwasa anashauri kijana aende nje akapate uzoefu aje kulisaidia Taifa.

NB: Mkwasa ni mwanachama wa Yanga

1756371065930.png
 
Mpira ni biashara
Biashara haina huruma
 
Yanga mna roho za korosho sana...

Hapo mnaona kijana atafaidi...
Kosa la Yanga ni lipi? Je Yanga wao hawana uhitaji wa Mzize? Je Mzize kuongeza mkataba na Yanga wenye maslahi kutoka milioni 15 hadi milioni 30 je alishikiwa bunduki na nani? Watanzania ni watu tunaopenda sana huruma pasipo kuzingatia sheria za mikataba.
 
Kosa la Yanga ni lipi? Je Yanga wao hawana uhitaji wa Mzize? Je Mzize kuongeza mkataba na Yanga wenye maslahi kutoka milioni 15 hadi milioni 30 je alishikiwa bunduki na nani? Watanzania ni watu tunaopenda sana huruma sio sheria za mikataba.
bora abaki tu...

maana kwa roho za watu wa yanga, hatofunga hata goli moja huko aendako...

yanga wanamhitaji mzize lakini hawana uwezo wa kumlipa 70mls...

mpira ni biashara, biashara ya kuuza wachezaji na vifaa vingine...

yanga mliweka dau la dola 1m...

kuna team imefika bei, na mshahara mnono kwa mchezaji...

nini kinawazuia kumwachia? au hamtaki biashara?
 
tutamuuza, ngoja kwanza tuwakande makolo kwa miaka kumi!
YANGA BINGWA!
 
Unaetumia kijambio kufikiri
 
Vipi kama mchezaji mwenyewe kaamua kubaki? Mchezaji si ana wakala wake, je kama Mzize mwenyewe angekuwa anafosi kuondoka Yanga unadhani ingekuwa rahisi kubakia Yanga? Wakala wake lazima angemshinikiza avunje mkataba.

Kusajiliwa nje uarabuni sio ndio kupata mafanikio, hizo mil 70 baada ya makato na gharama za maisha ya huko unajua anabakia na kiasi gani?

Vipi kuhusu nafasi ya kucheza huko aendapo akisajiliwa ataipata kama anavyoipata akiwa na Yanga?
 
Kupitia Wasafi FM, aliyekuwa mchezaji na kocha wa zamani wa Yanga, Boniface Mkwasa 'Master' ametoa maoni yake juu ya sakata la mcheza Clement Mzize. Mkwasa amesema Yanga kuendelea kumshikilia Mzize ni kumnyima haki kama Mtanzania. Mkwasa anashauri kijana aende nje akapate uzoefu aje kulisaidia Taifa.

NB: Mkwasa ni mwanachama wa Yanga

View attachment 3456203
Haki gani anaikosa kama mtanzania? Watu wengine wana mawazo ya kutumia kabisa kudhani kwamba kucheza uarabumi ndiyo haki ya mtanzania. Juli Selemani Mwalimu amerudi Simba watu hao wanafurahi lakini Mzize kubaki Yanga ni noma
 
tutamuuza, ngoja kwanza tuwakande makoli kwa miaka kumi!
YANGA BINGWA!
Yeah, hii ndio mentality ya watu wengi wa Yanga tangu zamani, wanawaza zaidi derby. Enzi hizo waliwahi kumchomoa Jerry Tegete akiwa kwenye majaribio na klabu moja Uingereza ili aje aichezee Yanga kwenye derby halafu arudi Uingereza. Alirudi kucheza derby na klabu ya Uingereza ikatafuta mchezaji mwingine kujaza nafasi. Tegete yupo kitaa anapiga mizinga
 
Nakubaliana na wewe
YANGA BINGWA WA KIHISTORIA!
 
Kazibiwa kivipi wakati kapewa mkataba mnono hadi 2027
 
Back
Top Bottom