master

MASTER (Mobile Astronomical System of Telescope-Robots) is a Russian network of automated telescopes in five Russian cities, and in South Africa, Argentina and the Canary Islands. It is intended to react quickly to reports of transient astronomical events. It started its development in 2002 and it is in fully autonomous operations since 2011.On 17 August 2017, an autonomous MASTER telescope in Argentina successfully recorded a collision of neutron stars some 130 million light-years away.

View More On Wikipedia.org
  1. D

    JamiiForums Tanzania Napangisha nyumba maendeo mbalimbali Dar

    Vyumba vinapangishwa vyumba vipo viwili master pamoja na sebule bei 250k ni chumba cha kisasa kabisaa vyumba eneo lake lipo mbezi beach tangibovu ni dakika 20 au 15 kwa kutembea kutoka stendi nicheki kupitia 0658820041
  2. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Mr Blue ndie alieweza kumfanya Ali Kiba aache mpira aingie kwenye sanaa ya Muziki

    Hawa watu mbali na mziki pia ni marafiki wa kitambo sana, sema wabongo tumekalili kua ili watu wawe mabest lazma wafanye ngoma nyingi za pamoja Kama ilivo kwa mwana fa na ay STORY INAANZIA HAPA...... Kimzik Mr blue ni mkongwe Zaid kuliko alikiba na blue ndie msanii alianza mziki ktk umri mdogo...
  3. kali linux

    JamiiForums Tanzania BASKETBALL: Ja Morant ndo master mpya wa court kwa sasa

    Hello bosses and roses. Huyu kijana anachezea Memphis ni hatari, aina yake ya mchezo ni ngumu sana kuiona kwa wachezaji wengine sasa na miaka kadhaa iliopita. Na bado ni kijana mbichi, 23 years. Jamaa anafanya anachotaka uwanjani, uwezo wake wa kuruka juu ni mkubwa sana. Last week kwenye...
  4. NetMaster

    JamiiForums Tanzania P Funk na Master J wapewe maua yao lakini nao walichangia pia kuua mziki na vipaji vya wengi

    walichangia pia kuua mziki na vipaji vya wengi kwa kiwaringia na kunyanyasa wasanii chipukizi maana wkt huo kuonana na hao ni kama kuonana na rais na waliringa mno saabu wakikuwa wao tu, yaani ukigombana nao tu hata iwe sababu ya mademu unabaki ndio imeisha hio ama ukikaza basi ni options chache...
  5. The Eric

    JamiiForums Tanzania How to be the best MC master of ceremony.

    Wakuu Salaam! Kuna kamsemo wazungu wanakipenda kukisema 'If you not making money then your making nonesense. Naomba wenye highlights na dondoo chache just in brief summary watufahamishe ni jinsi gani mtu anaweza kufanya shughuli hii ya ushereheshaji katika masherehe, misiba(burial ceremony)...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Master Nabi anabaki kuwa mmoja tu, arudii makosa mara mbili, kawaonyesha Rivers leo

    Kocha Nasridine Nabi ni kocha wa viwango, ni kocha asiyetabirika, ni kocha master sana wa kuusoma mchezo na kumalizia kazi yake kwa uweledi mkubwa, Leo kaingia uwanja wa Uyo na back 3 akijua rivers watakuja kwa kasi sana kwenye goli la yanga kutafuta mabao hivyo akaweka viungo wa shoka, baada ya...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Ni program gani ya Master yenye soko zaidi kwa miaka ya sasa?

    Wakuu mambo vipi? Naomba ushauri wenu kuhusu jambo lifuatalo:- Mimi ni muhitimu wa chuo kikuu (Bachelor of Environmental Disaster Management - UDOM) nilikua naitaji kwenda kusoma Master ningeomba mnipe uzoefu, ni program gani nzuri yenye tija na ipo chuo kipi ninayoweza kwenda kusoma, pia mimi...
  8. Mr George Francis

    JamiiForums Tanzania God is the master planner of our lives

    GOD IS THE MASTER PLANNER OF OUR LIVES. [Mungu ndiye mtaalamu wa mipango ya maisha yetu] Kama kijana au kama binadamu yeyote wa kawaida ni lazima kuna mipango fulani itakuwa umejiwekea kwenye maisha. Mipango yako inaweza kuwa mizuri kwa ufahamu wako wa kawaida lakini upo uwezekano wa...
Back
Top Bottom