Sheria ya 1 ya kutoka kwenye kitabu cha "48 Laws of Power" kilichoandikwa na Robert Greene inasema "Never Outshine the Master" yaani kamwe ( Usiwahi kumfunika bosi wako)
Kamwe usijaribu kuonekana una akili, uwezo, au mafanikio zaidi ya mtu aliye juu yako, iwe ni bosi wako kazini, kiongozi, au...