mashtaka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mfadhili Mkuu wa mauaji ya Kimbari kusomewa mashtaka The Hague Sept 29

    Felicien Kabuga mmoja kati ya watuhumiwa wakuu tafikishwa mbele ya Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai ICC, ambako ameshtakiwa kwa Mauaji ya Halaiki na Uhalifu dhidi ya Binadamu, akitajwa kufadhili uhalifu huo dhidi ya Watutsi miaka 28 iliyopita. Kabuga mwenye miaka 80 alikamatwa nchini...
  2. JamiiForums Tanzania Daktari wa Hospitali ya Amana asomewa mashtaka ya ubakaji, ulawiti

    Dkt. Joseph Mwaipola ambaye ni mtumishi wa Hospitali ya Amana Mkoani Dar es Salaam, leo Septemba 9, 2022 amefikishwa kizimbani Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa na mashitaka matatu yakiwemo kumbaka mtoto wa miaka 17. Shitaka hilo limesikilizwa mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi, Yusto...
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbunge Mteule wa Kimilili akana mashtaka ya mauaji dhidi yake

    Mbunge wa Kimilili, Didmus Barasa, anayedaiwa kumuua kwa Risasi Brian Olunga amekanusha mashtaka hayo huku Wakili wake Nathan Tororei akiomba aachiliwe kwa dhamana Upande wa mashtaka umeomba Mahakama hiyo kumpa Barasa dhamana ya gharama kubwa kutokana na aina ya kosa analodaiwa kutenda pia...
  4. JamiiForums Tanzania Waendesha mashtaka wapinga taarifa za upekuzi wa Trump kuwekwa wazi

    Wizara ya Sheria ya Marekani imesema kuweka wazi vielelezo vya kibali kilichotumiwa na Maafisa wa FBI kupekua nyumba ya Rais Mstaafu Donald Trump, kunaweza kusababisha madhara yasiyoweza kurekebishwa. Taarifa iliyotolewa na waendesha mashtaka Mahakamani imesema Nyaraka zilizowasilishwa zina...
  5. JamiiForums Tanzania Beki wa Man City akana mashtaka 7 ya ubakaji na udhalishaji kingono

    Beki wa Manchester City Benjamin Mendy amekana shitaka jingine la ubakaji. Mendy mwenye miaka 28 alishtakiwa kwa makosa saba ya ubakaji, shtaka moja la unyanyasaji wa kijinsia na shtaka moja la kujaribu kubaka. Aliingia katika kesi ya kutokuwa na hatia katika kusikilizwa kwa kesi yake katika...
  6. JamiiForums Tanzania Twitter yafungua Mashtaka dhidi ya Serikali ya India

    Kampuni ya Twitter imeishtaki Serikali ya India kupinga baadhi ya maagizo ya kuzuia 'Tweets' na Akaunti mbalimbali zikiwemo za Vyama vya Siasa, ikisema kuzizuia ni ukiukwaji wa Uhuru wa Kujieleza. Mashtaka hayo yanakuja baada ya mwaka mmoja na nusu uliotajwa kuwa mgumu kwa Twitter Nchini humo...
  7. JamiiForums Tanzania Mume wa aliyekuwa mwimbaji wa nyimbo za injili nchini Nigeria, amekanusha mashtaka ya mauaji ya mkewe

    Peter Nwachukwu,aliyekuwa Mume wa mwimbaji maarufu wa nyimbo za Injili wa Nigeria aliyefariki mwezi Aprili mjini Abuja amekana mashtaka yote yanayohusiana na kifo chake na madai ya unyanyasaji katika ndoa yao Kifo cha Osinachi Nwachukwu kilizua ghadhabu baada ya familia yake kudai kuwa alikuwa...
  8. JamiiForums Tanzania Mtuhumiwa wa Mauaji ya Buffalo Marekani akana mashtaka dhidi yake

    PaytonGendron (18) anayeshtakiwa kwa kuua watu kumi na kujeruhi watatu katika supermarket huko Buffalo (eneo likaliwalo na watu weusi) alifikishwa mahakamani Juni 2 ambapo alikana shtaka hilo pamoja na mashtaka mengine, ambapo mwendesha mashtaka akitaja ushahidi dhidi yake kuwa mkubwa Vile...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Cyril Ramaphosa afunguliwa mashtaka ya rushwa na utekaji nyara

    Aliyekuwa mkuu wa kijasusi nchini Afrika Kusini Arthur Fraser amemshutumu Rais Cyril Ramaphosa kwa utekaji nyara na rushwa katika kesi ambayo ameisajili kwa polisi. Amesema kesi hiyo inahusiana na madai ya jaribio la wizi wa bilioni 9,316,000,000 mnamo 2020 katika moja ya mali za Rais huyo na...
  10. JamiiForums Tanzania Dar: Panya Road wengine 25 wapandishwa Mahakamani, wasomewa mashtaka 6

    Kundi lingine la wahalifu 25 ambao wengi wao ni Vijana maarufu kwa jina la ‘Panya Road’ waliokamatwa wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala Kinyerezi Jijini Dar es Salaam kwa tuhuma za unyang'anyi wa kutumia silaha ikiwemo mapanga. Watuhumiwa hao walifikishwa mbele ya Hakimu Mkazi wa...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya Mwendesha Mashtaka wa Serikali ifumuliwe, iondolewe jukumu walilozoea la kuahisrisha kesi hata pale ambao wanaona ushahidi umekamika

    Taifa linawatafuta akina Jaji Samata wa Leo Lakini awaonekani, tunatafuta wakina Waryoba no where to be seen. Nadhani makosa yanatokana na mfumo wa kupata majaji, mfumo wa kupandisha vyeo mahakimu na mfumo wa Mahakama kujitaftia Uhuru wake pamoja na mfumo wa kupandisha vyeo mawakili wa serikali...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya Kurugenzi ya Mwendesha Mashtaka Nchini inafaa iundwe upya

    Hii ni moja ya ofisi au Taasisi nyeti Sana lakini inayoitia serikali aibu kubwa Sana. Ukiangalia kesi nyingi zinazoendeshwa na waendesha mashtaka wetu utaona yafutayo:- - nyingi serikali au jamhuri hushindwa kutokana na ushahidi mbovu. Kwa maana ya upelelezi wa kulipia lipua, au wa kubambika na...
  13. JamiiForums Tanzania Guinea: Rais Alpha Conde kufunguliwa Mashtaka ya mauaji, utesaji na ubakaji

    Mamlaka za Guinea zimesema zitamshtaki aliyekuwa Rais wa Nchi hiyo, Alpha Conde (84) pamoja na Maafisa wake 27 kwa makosa mbalimbali yaliyofanyiwa akiwa Madarakani. Mbali na mauaji makosa mengine wanayotuhumiwa kufanya ni mauaji, kuwekwa kizuizini kinyume cha Sheria, utekaji nyara, utesaji na...
  14. JamiiForums Tanzania DPP Mwakitalu: Uhalifu haulipi, Ukikamatwa na TAKUKURU tunakupa adhabu na Mali zako zinataifishwa

    MKURUGENZI wa Mashitaka nchini ( DPP), Sylvester Mwakitalu, amesema kwa sasa hakuna mwalifu atakayenufaika na mapato ambayo ameyapata kwa njia ya rushwa au uharifu, kwa maana hiyo fedha na mali zitataifishwa. Amesema Rushwa ni janga kubwa na athari zake zinaonekana katika ngazi ya taifa na...
  15. JamiiForums Tanzania Singida: Watu 700 waliovamia Hifadhi waondolewa, silaha zakamatwa, mashtaka yafunguliwa

    Watu zaidi ya 700 waliovamia Msitu wa Hifadhi ya Mgodi uliopo wilayani Singida wameondolewa huku silaha mbalimbali zikikamatwa na miongoni mwao wamefunguliwa mashtaka. Kamanda wa kikosi kasi kilichoundwa kuwaondoa wavamizi hao, Tumaini Membi alisema shughuli ya kuwaondoa wavamizi hao ilifuata...
  16. JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu yatupilia mbali kesi ya kupinga Ndugai kujiuzulu Uspika. Yasema hakuna ukiukwaji wa Katiba uliofanywa

    Leo tarehe 28.01.2022 Mahakama Kuu ya Tanzania chini ya majaji watatu wakiongozwa na Jaji Mgeta, imetupilia mbali kesi ya kikatiba Na 2 ya 2022 iliyofunguliwa na Mwenyekiti wa chama cha NCCR Mageuzi, Francis Mbatia dhidi ya aliyekuwa Spika wa bunge, Job Ndugai. Mahakama imeeleza kuwa kesi hiyo...
  17. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Tunataka Rais afute mashtaka dhidi ya Mwenyekiti Mbowe bila masharti yoyote

    "Rais anatakiwa kusamehe waliopatikana na hatia tu. Hana mamlaka ya kusamehe watuhumiwa wa kesi za michongo kama hii. Tunataka afute mashtaka dhidi ya Mwenyekiti Mbowe bila masharti yoyote kwa sababu Mwenyekiti ni mtuhumiwa tu. Hatuombi asamehewe, hana hatia yoyote ya kusamehewa!"- TL
  18. JamiiForums Tanzania Mashtaka dhidi ya Viongozi kama DCs na RCs ni ufunguo wa Mashtaka dhidi ya viongozi wa juu

    Haya ni maono tu. Leo hii tunashuhudia mashtaka na vifungo dhidi ya watawala ngazi ya mikoa na Wilaya. Huu ni ufunguo wa mashtaka na vifungo dhidi ya viongozi ngazi ya juu. Let's watch and see. kwaherini kwa leo WAPOLOO A.K.A WAHUNI KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
  19. JamiiForums Tanzania Apple yaifungulia mashtaka kampuni inayomiliki Pegasus

    Kampuni ya Apple imeifungulia mashtaka kampuni ya nchini Israel ya NSO iliyotengeneza programu ya Pegasus kwa madai ya kuathiri watumiaji wa vifaa na huduma zake. Mashtaka ya Apple dhidi ya NSO yanakuja wakati kampuni hiyo ikikabiliwa na msukosuko wa madai kuwa maelfu ya wanaharakati, waandishi...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe: Mashahidi wa Mashtaka wana nini Kipya?

    Kwa hakika tangu kesi nzito hii kwa jina imeanza, ushahidi wa kuendana nayo umeshindikana kutolewa. Bila shaka kwa upande wa mashtaka, ushahidi wa Luteni Urio ulikuwa ndiyo wa muhimu zaidi. Lakini kama ni hawa kina Mahita, Kaaya, Wauza mbege, Kingai au yule jamaa wa Tigo, labda ilikuwa muda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…