Rais Cyril Ramaphosa afunguliwa mashtaka ya rushwa na utekaji nyara

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,021
1,609
Aliyekuwa mkuu wa kijasusi nchini Afrika Kusini Arthur Fraser amemshutumu Rais Cyril Ramaphosa kwa utekaji nyara na rushwa katika kesi ambayo ameisajili kwa polisi. Amesema kesi hiyo inahusiana na madai ya jaribio la wizi wa bilioni 9,316,000,000 mnamo 2020 katika moja ya mali za Rais huyo na madai ya juhudi za kuficha kilichotokea.

Katika taarifa yake, alidai kuwa wahalifu walivamia shamba katika jimbo la Limpopo mnamo Februari 2020 na kuiba zaidi ya 9,316,000,000 Kisha waliwekwa kizuizini katika shamba hilo na kuhojiwa juu ya mali hiyo na kulipwa ili wanyamaze juu ya kile kilichotokea,

Baadhi wanaamini kuwa madai hayo yanaweza kuhusishwa na mizozo ndani ya chama tawala cha African National Congress (ANC) kabla ya kinyang'anyiro cha uongozi mwezi Desemba

......................................................

Arthur Fraser said the case related to the alleged attempted theft of $4m (£3.2m) in 2020 at one of the president's properties and the alleged efforts to conceal what happened.

Mr Ramaphosa said "there is no basis for the claims of criminal conduct".
Mr Fraser is seen by some as an ally of former President Jacob Zuma.

Some believe the allegations could be linked to wrangles within the ruling African National Congress (ANC) ahead of a leadership race in December.

The police have confirmed that a case has been registered with them and that "due processes will follow", which includes an initial investigation.

Mr Fraser, who ran the country's State Security Agency (SSA) between 2016 and 2018, has said he has handed photographs, bank account details and video footage over to the police.

In a statement, he alleged that criminals broke into a farm in Limpopo province in February 2020 to steal more than $4m. They were then detained and interrogated on the property and paid to keep quiet about what had happened, the statement alleges.

In response, Mr Ramaphosa's office confirmed that there was a robbery at his farm in Limpopo "in which proceeds from the sale of game were stolen".

The president, who was out of the country at the time, reported the incident to the police's presidential protection unit, the statement from his office said.

He "stands ready to cooperate with any law enforcement investigation of these matters", it added.
After running the SSA, Mr Fraser went on to head the country's priso

Source: BBC
 
Je mchakato unaendeleaje dhidi ya Cyril Ramaphosa?
 
Back
Top Bottom