mashtaka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Informer

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu: Freeman Mbowe (CHADEMA) afungua shauri kupinga mashtaka dhidi yake

  2. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Baada ya tafakuri, nachelea kusema Freeman Mbowe amesalitiwa na wenzake

    Kuna maneno ameyaandika "Bwana yule" siku ya leo yanafikirisha kidogo. Lakini ukiyatazama kwa undani haya maneno nadhani ndo kilichomkata nguvu Mange Kimambi kuendelea kushikamana na wanachadema katika the so called "Harakati wa kudai demokrasia Tz" Bwana yule ameandika katika Twitter yake kama...
  3. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Sabaya hali tete Mahakamani, Mashahidi 10 kumkaanga

    Hii ndio taarifa mpya kwa sasa
  4. beth

    JamiiForums Tanzania Marekani: Kampuni ya Donald Trump yafunguliwa mashtaka ya kodi

    Kampuni ya aliyekuwa Rais wa Marekani mwaka 2017-2021, Donald Trump pamoja na Mkuu wa Idara ya Fedha wameshtakiwa kwa makosa yanayohusiana na Kodi. Kwa mujibu wa Waendesha Mashtaka, mpango huo wa miaka 15 ulisaidia Watendaji kukwepa Kodi kwa kutoa marupurupu kama Ada ambayo yalifichwa kutoka...
  5. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Baada ya Mdude Nyagali kutoka, sasa waliomtesa wafunguliwe mashtaka

    1. Waliohusika kumkamata wafunguliwe mashtaka. 2. Waliomtesa wafunguliwe mashtaka. Tatizo kubwa la Watanzani wengi wana short term vision. Tayari wamesharidhika. Mdude asaidiwe waliomtendea huyo Unyama wote wafunguliwe mashtaka. Wasiachwe hivi hivi. Ili next time wanapotakwa kufanya huo unyama...
  6. Lord OSAGYEFO

    JamiiForums Tanzania Kufutwa mashtaka kwa kasi ni ushahidi tosha kuwa mashtaka yalibambikizwa

    Hongera sana Rais Samia na DPP Mwakitalu, hakika mmeonyesha jinsi mlivyo na hofu ya Mungu kwa hatua ya kuendelea kuwafutia mashtaka watuhumiwa wa makosa ya kubambikiziwa. Tunawaomba na wale watuhumiwa kutoka upinzani walioshtakiwa kabla ya uchaguzi mkuu nao ni makosa ya kubambikiziwa ili...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Watuhumiwa zaidi waendelee kufutiwa mashtaka na kuachiliwa Huru

    Waswahili walisema ndo ndo ndo si chururuu. Wala Lila na Fila havikupata kutengamana. Hii ikiwa ni kwa maana halisi ya kuwa awamu ya sita si awamu ile ambayo mahabusu walikuwa wakipigiwa mahesabu kuwa chanzo cha nguvu kazi. Eti kuwa asiyefanya kazi na asile. - DPP amewafutia kesi waliodaiwa...
  8. GeoMex

    JamiiForums Tanzania Mashtaka dhidi ya Kampuni za Mawasiliano yanawezekana

    Aisee kumbe inawezekana kabisa kuzishitaki hizi kampuni za mitandao ya simu? Manaake naona wamekua na tabia ya kujifanyia mambo kiholela sana. AY na Mwana Fa walionesha njia naona na huyu mwamba kaamu kujilipua pia. Jamaa Alikatwa TZS 4,650/- na Tigo kimakosa, Akawashitaki TCRA kuomba Fidia...
Back
Top Bottom