mashirika ya umma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    SoC04 Umuhimu wa mfumo wa Pamoja wa TEHAMA wa Udhibiti wa Mifumo ya TEHAMA ya Taasisi, Mashirika ya Umma

    UTANGULIZI: Mfumo wa Pamoja wa TEHAMA wa udhibiti wa mifumo ya TEHAMA (General Intergrated Control of IT systems) ni mfumo wa pamoja utakaosimamia na kudhibiti matumizi ya mifumo ya TEHAMA katika taasisi au mashirika ya umma kwenye utendaji wa shughuli zao. Mifumo hii itakayodhibitiwa naweza...
  2. Common Folk

    Maajabu: NHIF yashika namba 1 kwa mashirika ya umma yanayotengeneza hasara

    Maajabu hayatakaa yaishe Tanzania. Dhirika linalokusanya mabilioni kwa mwezi ndilo linaongoza kutengeneza pia hasara kwenye nchi. Kwa hali hii bima kwa wote ni ndoto za mchana. Sheria imeshatungwa lakini kwa kufosi sana. Tetesi ni kwamba feasibility study ya wataalamu ya bima kwa wote ilionesha...
  3. Roving Journalist

    Ripoti ya mwaka ya Mdhibiti na Mkaguzi mkuu wa hesabu za Serikali kuhusu ukaguzi wa Mashirika ya Umma kwa mwaka wa Fedha 2022/23

    Ripoti hii ya mashirika ya umma kwa mwaka wa fedha 2022/23 imetolewa kwa mujibu wa Ibara ya 143(4) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 na Kifungu cha 34 cha Sheria ya Ukaguzi wa Umma, Sura 418. Ripoti hii imeangazia matokeo ya ukaguzi na mapendekezo ya hatua stahiki za...
  4. Joram Mtanzania

    Kuna hasara mashirika ya umma kwa kuwa hakuna uwajibikaji

    Kitu kikubwa nilichogundua ni kuwa, Namna pekee ya Kuyaokoa mashirika ya serikali yanayo andamwa na hasara kubwa ni namna ya kupata waendeshaji wawajibikaji. Imekuwa ni kawaida sana Kipindi hiki cha Uongozi wa Rais Samia Watu kubadilishiwa vitengo tu badala ya kuwajibishwa. Utakuta Kiongozi...
  5. Mto Songwe

    Hebu Nendeni mkajifunze kwao hao mnaoita marafiki zenu wachina kuhusu kuendesha mashirika ya umma wao mbona kidunia ni makubwa sana

    Sisi vishirika vya umma vichache tu kila siku vinatulamba hasara tunaona njia ni kubinafsisha kila kitu. Hawa marafiki zenu nyie CCM hawa wachina wao uchumi wao umeshikiliwa na mashirika ya umma tena katika sekta muhimu. Tazama hawa jamaa katika fortune global 500 kwa mwaka 2021 mashirika ya...
  6. kmbwembwe

    Mtazamo wa Rais Samia kuhusu Mashirika ya Umma si sahihi

    Serikali ya Samia eti inatazama mashirika ya umma kama uwekezaji wa kibiashara ambapo serikali haistahili tena kuwekeza ila watu binafsi. Msimamo huo sio sahihi kwa sababu mashirika ya kibiashara ya umma yalikwisha binafsishwa yote tangu awamu ya Mkapa. Yale yaliyobakia ni yale ya kimkakati kwa...
  7. I

    Ili TAKUKURU iwe na meno ishirikishwe katika mipango ya idara na mashirika ya umma

    Mara kadhaa Rais na wapambe wake wakiwemo mawaziri wanapohisi kuna ubadhilifu katika fedha za umma huwaagiza TAKUKURU wafanye uchunguzi! Mtindo huu wa utawala ni wa hovyo kwani tayari fedha zinakuwa zimetumika vibaya. Jambo hili lingeweza kuepukika kama TAKUKURU wangeufahamu mradi tangu mwanzo...
  8. sychellis

    Je, ni faida au hasara kwa Taasisi na Mashirika ya Umma kuajiri yenyewe bila kupitia Utumishi (Ajira Portal)?

    Kwa sasa hali imebadilika taasisi na mashirika mengi ya umma yanaajiri yenyewe kupitia Portal zao bila kuhusisha utumishi au Ajira portal. Leo hiii watu wanaomba kazi TRA kupitia portal ya TRA. NSSF pia watu wanamba kupitia uko na taasisi nyengine za umma. Je, kuruhusu Mashirika na Taasisi za...
  9. B

    Rais Samia: Naona aibu kuwachukulia hatua viongozi Walionizidi Umri

    Asalam, Msiopenda utaratibu wa mimi kufuatilia na kusoma kwa makini hotuba za Rais wangu Mpendwa mtanisamehe. Mwaka 2021 Fatma Karume (Shangazi wa Taifa ) aliandika andiko moja muhimu sana juu ya namna ya kumfahamu vema Rais wetu, naomba kumnukuu "Ukitaka kumwelewa Rais Samia na Hotuba Zake...
  10. kmbwembwe

    Panga pangua ya mashirika ya umma hebu tuangalie kwa darubini

    Hii panga pangua ya mama kuhusu mashirika ya umma inatia shaka. Kwanza tujiulize ni mashirika gani ya biashara yanaendeshwa na serikali. Mengi yalikwisha binafsishwa zamani kabisa enzi ya mkapa. Kwenye hii awamu binafsi naona ni wapiga dili watupu. Mashirika mengi yaliyobakia serikalini yale ya...
  11. FaizaFoxy

    Rais Samia anafanya kweli. Mashirika ya Umma kuwa ya Umma kiukweli

    Mama Samia anafanya kweli, hayumbishwi hata kidogo. Hakuna tena longolongo ya kuitwa "mashirika ya umma" huku yanabaki kuwa kichaka cha wapigaji wachache. Mama amesema Arusha, mashirika ya umma yawe ya umma kiukweli, Watanzania wauziwe hisa na wawe na kauli nayo. Kama mama Samia alivyofanya TPA...
  12. M

    Msaada kwa wanaofahamu: Hizi scale za walimu katika mashirika ya umma PSTS zikoje.

    Mashiirika ya umma kama vile Kibaha Education Centre yanayomiliki shule, walimu wake hutumia ngazi za mishahara za PSTS tofauti na walimu chini ya Tamisemi wanaotumia ngazi za TGTS. Mwalimu anayeanza huko kwenye mashirika huanzia PSTS 3, wakati huko Tamisemi huanzia TGTS D1 771,000/= kwa mwezi...
  13. M

    Msaada kwa wanaofahamu: Hizi scale za walimu katika mashirika ya umma PSTS zikoje

    Mashiirika ya umma kama vile Kibaha Education Centre yanayomiliki shule, walimu wake hutumia ngazi za mishahara za PSTS tofauti na walimu chini ya Tamisemi wanaotumia ngazi za TGTS. Mwalimu anayeanza huko kwenye mashirika huanzia PSTS 3, wakati huko Tamisemi huanzia TGTS D1 771,000/= kwa...
  14. ChoiceVariable

    Rais Samia: Tutafuta baadhi ya Mashirika yasiyoleta tija, yakifa wafe nayo

    Rais Samia amesema anasubiria ripoti ya Timu aliyoiunda Kupitia mashirika ya Umma yanayoripoti Kwa Msajili wa Hazina Ili juyafutilia mbali Yale ambayo hayana Tija Wala faida. Amesema Mashirika Yatakayokufa basi wahusika wajiandae kufa nayo. “Serikali tumeamua kufanya tathmini ya utendaji wa...
  15. Poa 2

    Mashirika ya umma na rasilimali za nchi zinazoendelea kuuzwa kwa kivuli cha mikataba

    Ni uchungu sana kuona kwamba rasilimali za taifa, mashirika ya umma na hata utu na uhuru wetu unaendea kuchezewa na wachache au yeyote atakayepewa mamlaka ya urais wa nchi hii. Yaani yeye na watu wake kwa kipindi chake. Kila rais anayeingia madarakani hupiga pake na kutulia kimya akijua...
  16. N'yadikwa

    Naunga mkono hoja ya Nehemiah Mchechu. Annual Performance Reports za Mashirika ya Umma ziwe Public

    Namfuatilia hapa mubashara kwenye mtandao. Msajili wa Hazina Bw. Mchechu anasema ni wakati muafaka sasa Mashirika ya Umma kuanza kuchapisha taarifa zao za Utendaji za Mwaka. Hii ni nzuri. Ila ziwe genuine tu. Tusisubiri Ripoti ya CAG. Ukitazama Private commercial institutions kama Banks...
  17. K

    Mashirika ya Umma yanayohujumiwa yafutwe?

    Mimi nashauri kwamba serikali isiyoweza kusimamia vyema mali za Watanzania ndiyo inayotakiwa kufutwa. Maana yake ni kwamba hawa viongozi hawana uwezo wa kuwatumikia waTanzania kwa kuacha mali zao zipotee bure. Kuna sababu gani za wao kuendelea kuwa madarakani? Shirika ulilokabidhiwa...
  18. JanguKamaJangu

    Sierra Leonne yapitisha sheria inayolazimisha mashirika ya umma na kibinafsi kuajiri wanawake kwa % 30

    Sierra Leone Alhamisi imepitisha sheria inayolazimisha mashirika ya umma na kibinafsi kutenga asilimia 30 ya kazi zao kwa ajili ya wanawake, katika juhudi za kukabiliana na ukosefu wa usawa wa kijinsia katika jamii inayopendelea wanaume. Rais Julius Maada Bio alisaini mswada huo kuwa sheria...
  19. M

    Naomba kujua mashirika ya umma yanayo tumia PF Number

    Naomba kujua mashirika ya umma yanayo tumia (PF) number na taratibu za uhamisho kutoka shirika moja kwenda jingine.
  20. kyagata

    Ushauri uliotolewa na Mwigulu kuwa wakurugenzi wa mashirika ya umma waombe kazi ajira portal, umeanza kufanyiwa kazi.

    Sasa hivi ni mwendo wa ajira portal. Hakuna cha kusubiri uteuzi kama ilivyokua https://www.jamiiforums.com/threads/waziri-nchemba-napendekeza-wakuu-wa-mashirika-ya-umma-wafanyiwe-usaili-kwa-ushindani-badala-ya-teuzi-kama-awali.1992080/
Back
Top Bottom