mashirika ya umma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kyagata

    Sijawahi kuona haya mashirika ya umma yakitangaza kazi

    Hivi haya mashirika ya umma huwa yanawapataje watumishi wake, au huko kwenye hayo mashirika huwa hakuna watu wanaostaafu au kufa ili nafasi zibaki wazi?maana sijawahi kukutana na matangazo yao ya kazi kabisa 1. NSSF 2. NHIF 3. PSSSF 4. TCRA 5. WCF 6. MSD 7. TPDC 8. TIC 9. NGORONGORO CONSERVATION...
  2. OLS

    Ndani ya mwaka mmoja, mashirika ya umma yamekopa nje kwa ongezeko la 1024.2% zaidi

    Taarifa za Maendeleo ya Uchumi zimeonesha Taasisi za Umma zimeongeza kukopa nje ya nchi ambapo Oktoba 2020, Taasisi za Umma zilikuwa zinadaiwa Dola Milioni 51.7 (Tsh. Bilioni 119.1) na Oktoba 2021 limekuwa hadi Dola Milioni 509.5 (Tsh. Trilioni 1.174) Deni la Taifa limeongezeka kwa Tsh...
  3. K

    Wajumbe wa Bodi za Mashirika ya Umma washichaguliwe kiholela

    Kumekuwa na utamaduni mbaya wa bodi nyingi za mashirika ya umma kutokujua wanatakiwa kufanya nini. Bodi nyingi wanaona kuwa mjumbe ni kama biashara ya kupata pesa bure za vikao, kumwendesha mkurugenzi wapate wanachotaka, kuweka watu wao kwenye tenda za vitu mbali mbali. Tumeona hii TPDC...
  4. kmbwembwe

    Wanaotaka kubinafsisha mashirika ya umma yaliyosalia ni watu hatari kwa taifa

    Kuna watu wabinafsi na walaku wa mali kupindukia ambao badala ya huo ulaku na ubinafsi kuutumia kutafuta mali zao wanafikiria kupora mali za umma. Ubinafsishaji wa mashirika mengi ya umma ulifanyika awamu ya mkapa. Yapo yalibinafsishwa vizuri na yapo mengi vigogo waliyapora wala hawakuyaendeleza...
  5. M

    Wahadhiri wa Vyuo Vikuu na mishahara ya Wabunge na Wakurugenzi Mashirika ya Umma

    Habari wana bodi, nimekuwa nikisoma baadhi ya articles zinazo ongelea mchango wa vyuo vikuu marekani katika uchumi wa taifa hilo especially kutengeneza innovators "silicon valley". Kwa kiasi kikubwa maendeleo ya taifa la marekani yamechangiwa sana na innovations zinazofanywa na taasisi zake za...
  6. Youngblood

    SoC01 Huduma mbovu katika Taasisi na mashirika ya Umma, ushauri na mapendekezo ya namna ya kuboresha

    Utangulizi. Kumekua na malalamiko mengi pamoja na changamoto katika huduma ambazo zinatolewa kwe Taasisi na Mashirika ya serikali kama vile elimu duni katika shule za umma, matibabu duni na ukosefu wa vifaa katika hospitali za umma, taasisi za fedha, mifuko ya hifadhi za jamii,vyombo vya...
  7. peno hasegawa

    Simu za maofisini (land line) hazifanyi kazi kwenye ofisi za Serikali na Mashirika ya Umma na Taasisi zake Tanzania

    Ninaandika mada hii kwa masikitiko makubwa sana,ofisi za umma,mashirika ya umma na taasisi zake tanzania hazitumia simu za land line ili kuwahudumia wananchi. Matokeo yake viongozi,watendaji wa serikali wanatembea na ofisi zao mifukoni mwao. Wawekezaji wanatafuta simu za maofisi wakiwa nje...
  8. K

    Ni ngumu kuwa Boss Mashirika ya Umma Tanzania

    Mwaka 2016 nilienda Tanzania baada ya kukaa muda mrefu US. Rafiki yangu ambaye nilisoma naye Primary alikuwa ndiyo auditor mkubwa pale MSD hivyo bila mimi kujua aliongea na Managing Director kuhusu kupata watu wenye ujuzi na kampuni za kusambaza madawa kama MSD Wakati na maongezi yao yule...
Back
Top Bottom