masaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    JamiiForums Tanzania Kigoma hatuna umeme kwa saa 20 zilizopita TANESCO wanatafuta sukari

    Toka tarehe 20/02/2024 saa 9 alasiri Hadi Leo Tarehe 21 saa 5 asubui haujarudi. Masaa 20 yamekatika hamna umeme huku sio kukata huku ni kuzima. Mtaani kwako ikoje huko? TANESCO
  2. Ricky Blair

    JamiiForums Tanzania Kwanini Lodges wasitumie mfumo wa Masaa 24, Kufika usiku halafu asubuhi hela imeisha ni ujinga!

    Jamani owners wa Lodges hii tabia ya kumchaji mtu siku moja ila mtu anafika usiku na saa nne hela imeisha ni ujinga. Kwanini msiende kwa masaa 24? Ukifika saa nne usiku mpaka saa nne usiku hela yako inaisha. Shida ipo wapi? Hata Airbnb nyingi wanaenda hivi. Mtu umefika mkoa mpya safarini...
  3. Area 56

    JamiiForums Tanzania Hayo masaa mawili, mh. waziri alikuwa anaongea nao nini?

    Nimeona hii habari, nimesikitika. Masaa mawili waziri alikuwa anaongea nini?
  4. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Hatimaye naenda kuumbuka. Mimi ndiye nilikuwa chanzo cha Unit 13.7 kuisha ndani ya masaa 8 hadi 12

    Habari zenu wana JF. Kama mjuavyo, nimeacha nyumba, mke wa mchongo na wanangu wawili huko Nanjilinji, nikaamua kuja Dar kusaka maisha. Hivyo nilifikia kwenye nyumba ya kupanga ambapo tu wapangaji watano, watatu wana familia na wawili akiwemo mimi tu mabachela Kero iliyopo ndani ya hii nyumba ni...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Zambia: Serikali yaagiza Ibada zisizidi Masaa Mawili ili kudhibiti Kipindupindu

    Nyumba za Ibada zimetakiwa kufanyika kwa muda usiozidi Saa 2, agizo linalolenga kupunguza kuenea kwa Ugonjwa 2a Kipindupindu nchini humo Pia, biashara za Vyakula ambavyo vimeshapikwa tayari kwa kulipwa imepigwa marufuku pamoja na Waumini kutakiwa kutosalimiana kwa kushikana Mikono ili kuepusha...
  6. BARDIZBAH

    JamiiForums Tanzania Safari ya Morogoro kwenda Tanga unatumia saa ngapi kwa Basi?

    Naam wakuu naomba nisaidieni majibu.
  7. mtwa mkulu

    JamiiForums Tanzania Je ni lini kyela tutapata umeme angalau masaa mawili tuu kwa siku mchana ?

    Je lini Kyela tutapata umeme angalau masaa mawili tuu kwa siku? Naomba kuwasilisha
  8. figganigga

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania Masikini? Masaa mawili tunamsubiri Naibu Waziri Mkuu Biteko apite

    Salaam Wakuu, Tangu nizaliwe, nilikuwa nasikia Viongozi wanaleta Foleni. Nipo huku Shinyanga, tumesimamishwa masaa mawili sasa tukisubiri Dotto Biteko apite. Ng'ombe wangu watafika mnadani saa ngapi? Hasara tayari. Mikopo ya Vikoba itanitoa roho. Viongizi wa Tanzania jitafakarini
  9. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Masaa takriban 21 Mbezi Jogoo hadi Tangi Bovu hakuna umeme

    Ni nini kinaendelea kwenye eneo hili? Tangu jana saa 10:00 jioni umeme ulikatika na TANESCO hawasemi lolote hata kwenye magroup ya WhatsApp!
  10. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Timu huwa zinafanyaje kucope na tofauti ya masaa kati ya nchi na nchi?

    Mfano mechi ya leo kati ya 5imba na Wydad. Tofauti ya masaa kati ya Tz na Morocco ni masaa matano. Muda ambao mechi inaanza itakuwa saa nne za usiku huku Tanzania. Muda huo wachezaji wengi professional huwa tayari wamelala. Maana yake kikawaida wachezaji wa Simba wangekuwa Tz muda huo wangekuwa...
  11. LINGWAMBA

    JamiiForums Tanzania Utawala wa Kizayuni wakili kupata pigo kubwa ndani ya masaa 24

    Vyanzo vya Kizayuni, baada ya kipindi kirefu cha kudhibiti na kuficha habari kuhusiana na vifo na majeruhi wake vitani, hatimaye vimekiri kuuawa askari jeshi wake 75 katika saa 24 zilizopita. Kwa mujibu wa ripoti hiyo, kanali 12 ya televisheni ya utawala wa Kizayuni ikimnukuu mchambuzi wa...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Nashauri safari za mabasi kutembea saa 24 zisitishwe, vifo vitamaliza watu

    Kwema wakuu? Kwa Hali ilivyo usalama barabarani nyakati za usiku ni mdogo madereva hawazingatii Sheria barabarani wakati wa usiku maana hamna Oolisi. Malori nayo ndio mida yao ya kukimbia so ajali ni nyingi mno. Madereva pia usiku wanasinzia barabarani sababu ya uchovu. Kuna siku nimesafiri na...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mwamposa adaiwa kuwatumia Trafiki kufunga Barabara ili awahi safari zake, asababisha Foleni zaidi ya masaa 4

    Kuna malalamiko kutoka kwa wananchi kwamba Jeshi la Polisi Tanzania kitengo cha Usalama Barabarani wanafunga barabara kwa sababu ya Mwamposa hivyo kusababisha msongamano mkubwa wa magari. Hizi ni barabara za umma, kama mtu ana biashara yake anawahi na muhimu anunue Chopa sio kuleta usumbufu kwa...
  14. dubu

    JamiiForums Tanzania IGP, si sahihi kufunga barabara masaa 3 ili Makonda ahutubie barabarani

    Salaam, Ni kweli bila Polisi hakuna utii wa Sheria. Ila Kitendo cha Polisi kujipendekeza kwa Wanasiasa ili wasifiwe au wapewe vyeo vya kisiasa ni kuwaonea wananchi. Ni kweli Polisi wanapambania matumbo yao, ila hili la kuzuia wafanyabiasha na Wasafiri kuchelewa kufika kisa kiongozi wa...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Hamas yaua zaidi ya wanajeshi 24 wa Israel ndani ya Gaza masaa 24 yaliyopita

    Jeshi la Israel linakabiliwa na mapambano makali kutoka kwa wapiganaji wa Hamas ndani ya Gaza. Masaa 24 yaliyopita Israel imepoteza zaidi ya wanajeshi 24 kwa kuuawa na wapiganaji wa Hamas huku wengine wakitekwa nyara. Hali hiyo imepelekea Leo hii kuanzia asubuhi Israel kushambulia misikiti...
  16. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Hivi hii imekaaje? ya mwanaume kukaa ukimbembeleza mwanamke/mpenzi masaa kibao akilia wewe unachukua kitambaa unampangusa

    Nilitoka nikaenda sehemu kupata vyombo na kuchill na washikaji! Sasa tangu niingie pale, meza moja alionekana njemba akiwa na mdada na kwa ukaribu wa jinsi walivyokaa inaonekana ni wapenzi au couple! Sasa bwana muda wote mdada analia na kutoa mchozi njemba inambembeleza kwa kumshikashiga bega na...
  17. P

    JamiiForums Tanzania Leo tutegemee saa 24 bila umeme Dar es Salaam

    Hii itakuwa ni historia. Tena bila taarifa kutoka TANESCO.
  18. K

    JamiiForums Tanzania Polisi wazuia magari Chunya kwa saa 7 kusubiri mwenge

    Polisi Wilayani Chunya wamezuia magari yote toka Chunya Makongolosi na yote toka vijijini KUSUBIRI MWENGE upite toka saa10 mpaka saa 5 hii. Mwenge haujulikani uko wapi na utapita saa ngapi. Shughuli zote zimesimama KUSUBIRI upite. Sasa tutalaumuje kwamba maendeleo hayaji Wakati watu...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Mbeya umeme unakatika kila siku zaidi ya masaa matano, mnatuumiza

    Habari wana jukwaa, Kilio changu ni Hapa Mbeya Mjini maeneo ya iwambi, Iyunga na Mbalizi umeme unasumbua Sana. Pia hawatuambii tatizo, Rais Samia tunakuomba uwe mkali saaana watendaji wako wanakuangusha, Miaka mitano ya Hayati Magufuli tulisahau hizi kero lakini kwa sasa imekuwa kawaida tuuu...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wakala Jasmine Razaq: Medical check up ya wenzetu walioendelea ni Masaa 8, ila hapa Tanzania ni Nusu Saa tu

    "Nilipoenda na Mchezaji wangu Fiston Mayele huko Pyramid FC aliko sasa alishangaa vitu vingi na sasa ni Upimwaji wa Afya ambao kwa Wenzetu walioendelea na hata huko Ulaya ni tofauti na hapa Tanzania" "Mayele alipofika aliambiwa kwanza akalete haja kubwa yake tayari kwa Vipimo. Kiukweli...
Back
Top Bottom