masaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Mbosso ameisimamisha nchi kwa masaa kadhaa

    Baada tu ya kuachia EP yake sasa nchi yote imesimama inamsikiliza Mbosso. Kila kona ya taifa la Tanzania basi Mbosso ndiyo habari ya mjini. Kwa wale waliyokuwa wanaulizia matokeo, kwenye soka tunasemaga "Uwanja umeinama".
  2. MK254

    JamiiForums Tanzania Ndani ya masaa 24, Urusi wamepoteza ndege ya kivita, helikopta na vifaru 18

    Huku Ukraine wakiendelea kusubiri wanywa gongo wanaotumwa na Putin kuja kupigana kwa niaba ya wanajeshi waliokimbia mapambano, Ukraine bado wanatembeza kichapo..... Russia suffered significant losses of military equipment both in the air and on the ground over the last 24 hours, the Ukrainian...
  3. masopakyindi

    JamiiForums Tanzania Barabara Kuu ya Dar-Tunduma imefungwa kwa saa mbili hadi sasa

    Barabara Kuu ya Tunduma-Dar ea salaam imefungwa. Maso nipo hapa kijiji cha Viwenge Iringa. Mpaka sasa kuna magari zaidi ya elfu moja yanasubiri kupita. Tunajua hii barabara kuu ni biashara kubwa na tunachosikia eti kuna shughuli ya Mwenge kijijini. Hii ni absurdity at its best. Unafunga...
  4. J

    JamiiForums Tanzania KAHAMA : Afariki dunia masaa machache baada ya kuhesabiwa kwenye sensa ya Agosti 23

    TAARIFA KWA WOTE, IELEWEKE SIO SENSA IMEMUUA ILA ALIKUWA HOSPITALI AKIJIUGUZA HAPO KABLA, KILA MMOJA AHESABIWE MIMI KAMA JABALI TAYARI NIMEHESABIWA LEO NAKUOMBA KAMA UMEKOSA NAFASI LEO SIKU BADO ZIPO KAHESABIWE. Hospitali ya Kahama, mkoani Shinyanga === Mzee mmoja mwenye umri wa miaka 60...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya Kwanza nimepokea Call zaidi ya 500 na SMS 2076 ndani ya masaa 11; Vijana Nani kawaloga?

    Kwema Wakuu! Simu yangu leo ilikuwa bize ungedhani ni Customer Care wa Voda, nimeiona, kihere here kimeniisha, hapa nimeblock all unknown Call ili simu yangu ipumzike Kwanza. Unaweza ona Masikhara lakini ndio ukweli wenyewe. Kutokana na kile kilichotokea na kudaiwa kuwa video ya Msanii Oprah...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Tanzania mnafahamu kwamba wanaotukopesha (matajiri) wanafanya kazi saa ishirini na nne? Sisi tunakwama wapi kuruhusu biashara 24hrs?

    Jeshi la Polisi wanapiga marufuku wanafanya biashara ya usafirishaji abiria kufanya kazi masaa ishirini na nne lakini wao wapo kazini masaa ishirini na nne wanamlinda nani?Kwanini tumekariri kwamba tunapaswa kuwa na mfumo wa kufanya kazi Mchana pekee? Kwanini Polisi wasisimamie usalama wa...
  7. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ofa ya masaa 48 ya kitabu cha mlio wa risasi harusini

    Kwema! Wadau wangu na wapenzi wa kusoma Riwaya, nimetoa Ofa ya Softcopy ya kitabu cha MLIO WA RISASI HARUSINI Kwa Tsh 3500/= PFA hii itadumu Kwa masaa 48 tuu, mpaka jumanne saa sita za usiku. Namba ya muamala 0693322300 Airtelmoney Robert Heriel 0758216209 M-PESA Robert Heriel
  8. U

    JamiiForums Tanzania Wanaume ndiyo viumbe pekee wanaoweza kukaa pamoja na kupiga ‘story’ kwa saa 6 bila kujuana majina yao

    Wadau wote hamjamboni? Huo ndiyo ukweli na mashahidi ni wanaume wenyewe Hakuna kuulizana majina zaidi ya kupiga "story" Cha ziada utakachosikia ni wao kuitana kwa majina ya Kiongozi, Mkuu, Mwamba, Chalii wangu au Kamanda wangu n.k kutegemeana na muonekano wako Niwatakie Sabato njema
  9. Monica Mgeni

    JamiiForums Tanzania Video: Masanja Mkandamizaji afunguka, masaa machache kabla ya uzinduzi wa The Royal Tour

  10. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo afanya mazungumzo na Zitto Kabwe

    KATIBU MKUU WA CCM DANIEL CHONGOLO AFANYA MAZUNGUMZO NA ZITTO KABWE Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Chongolo amefanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) Ndg. Zitto Kabwe. Mazungumzo hayo yamefanyika leo tarehe 08 Septemba, 2021 Makao Makuu ya...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nimeanza kutumia PEP saa ya 38 tangu kujichoma sindano ya mtu aliyeathirika na VVU

    Habari wakuu Katika kujipima kutumia bioline nimejikuta nimejichoma sindano niliyokuwa nimemchoma mtu mwenye HIV Sasa nilikuwa mbali kidogo na eneo la kituo cha afya kwahiyo kesho yake ikanibidi niende kituo cha afya mida ya saa nane nikawaelezea wakanipa dawa ya pep imeandikwa LTD m...
Back
Top Bottom