Hatimaye naenda kuumbuka. Mimi ndiye nilikuwa chanzo cha Unit 13.7 kuisha ndani ya masaa 8 hadi 12

Melki the Storyteller

JF-Expert Member
May 3, 2022
5,701
9,779
Habari zenu wana JF. Kama mjuavyo, nimeacha nyumba, mke wa mchongo na wanangu wawili huko Nanjilinji, nikaamua kuja Dar kusaka maisha. Hivyo nilifikia kwenye nyumba ya kupanga ambapo tu wapangaji watano, watatu wana familia na wawili akiwemo mimi tu mabachela

Kero iliyopo ndani ya hii nyumba ni tatizo la umeme kuisha haraka mno. Yaani umeme wa 5,000 haumalizi hata nusu siku. Inasikitisha sana wakuu. Tumewahi kuchanga pesa ya kuwaita TANESCO waje kutizama huenda mita itakuwa na matatizo, madeni ama wiring mbovu kama sio mita ya kibiashara, Tanesco baada ya kupima wakasema haina shida yoyote ile, huenda kwenye upande wa matumizi. Kuna wana familia wawili ambao wanamiliki refrigerators kubwa sana kila mmoja, tukawa tunawashuku huenda wakawa chanzo cha umeme kuisha ovyo

Siku ya juzi nasikia walifikia maafikiano ya eti kila jirani afunge kijimita chake, na ninavyosikia Mwenye nyumba atavigharamikia vyote kwa sasa ili mwisho wa mwezi tuvifidie pesa. Kinachonisikitisha ni eti vyote vitawekwa koridoni kwa pamoja, umeme wako ukiisha, utakwenda kujiwekea kwenye kimita chako

Nimesikitika sana, mara mia wangeviweka mavyumbani kwetu. Kazi yangu ni kufungua mabalo pale Karume. Huwa nafanya selection ya nguo High Quality (HQ), High Definition (HD), Standard (HR), Normal, Sunday Clothes na Lounyas. Nguo ambazo ni HQ ama HD huwa nazifungasha mpaka magetoni, nawasha pasi langu la umeme la Mjapani, kisha nakesha nalo usiku nikinyoosha zile nguo mpaka ziwe kama panga, kisha na-oda huko Sinza na Oestabay, naziuza kwa gharama ya faida mara tatu ya mategemeo

Mjapani wangu (Made in 1919) utakwenda kuniumbua kwa majirani wakuu wangu, nifanye nini kulizuga suala kama hili litokomee from NoWhere?

Msaada
 
Huna na kufanya jirani, umejiumbua mwenyewe.
Nampgia simu mwenye nyumba akupe notes
 
Kuna mganga yupo Keko Magurumbasi huwa anawuwezo wa kubadilisha mawazo ya mwenye nyumba,
Nione nikusaidie
 
Habari zenu wana JF. Kama mjuavyo, nimeacha nyumba, mke wa mchongo na wanangu wawili huko Nanjilinji, nikaamua kuja Dar kusaka maisha. Hivyo nilifikia kwenye nyumba ya kupanga ambapo tu wapangaji watano, watatu wana familia na wawili akiwemo mimi tu mabachela

Kero iliyopo ndani ya hii nyumba ni tatizo la umeme kuisha haraka mno. Yaani umeme wa 5,000 haumalizi hata nusu siku. Inasikitisha sana wakuu. Tumewahi kuchanga pesa ya kuwaita TANESCO waje kutizama huenda mita itakuwa na matatizo, madeni ama wiring mbovu kama sio mita ya kibiashara, Tanesco baada ya kupima wakasema haina shida yoyote ile, huenda kwenye upande wa matumizi. Kuna wana familia wawili ambao wanamiliki refrigerators kubwa sana kila mmoja, tukawa tunawashuku huenda wakawa chanzo cha umeme kuisha ovyo

Siku ya juzi nasikia walifikia maafikiano ya eti kila jirani afunge kijimita chake, na ninavyosikia Mwenye nyumba atavigharamikia vyote kwa sasa ili mwisho wa mwezi tuvifidie pesa. Kinachonisikitisha ni eti vyote vitawekwa koridoni kwa pamoja, umeme wako ukiisha, utakwenda kujiwekea kwenye kimita chako

Nimesikitika sana, mara mia wangeviweka mavyumbani kwetu. Kazi yangu ni kufungua mabalo pale Karume. Huwa nafanya selection ya nguo High Quality (HQ), High Definition (HD), Standard (HR), Normal, Sunday Clothes na Lounyas. Nguo ambazo ni HQ ama HD huwa nazifungasha mpaka magetoni, nawasha pasi langu la umeme la Mjapani, kisha nakesha nalo usiku nikinyoosha zile nguo mpaka ziwe kama panga, kisha na-oda huko Sinza na Oestabay, naziuza kwa gharama ya faida mara tatu ya mategemeo

Mjapani wangu (Made in 1919) utakwenda kuniumbua kwa majirani wakuu wangu, nifanye nini kulizuga suala kama hili litokomee from NoWhere?

Msaada
Hahahaha
Haya wahalifu wenzako watakuja kukusaidia
 
Mbona simple tu, acha kutumia hilo pasi lako hapo home, tafuta jinsi nyingine ya kunyoosha hzo hs zako.
 
Iba vipima umeme (sub meters) vyote vipoteze
 
Back
Top Bottom