Ricky Blair
JF-Expert Member
- Mar 13, 2023
- 391
- 873
Jamani owners wa Lodges hii tabia ya kumchaji mtu siku moja ila mtu anafika usiku na saa nne hela imeisha ni ujinga. Kwanini msiende kwa masaa 24? Ukifika saa nne usiku mpaka saa nne usiku hela yako inaisha. Shida ipo wapi? Hata Airbnb nyingi wanaenda hivi.
Mtu umefika mkoa mpya safarini unafikia usiku halafu asubuhi hela imeisha; Si sawa.
Mtu umefika mkoa mpya safarini unafikia usiku halafu asubuhi hela imeisha; Si sawa.