Shuhuli /vigoma vya jamii za kiswahili pwani, Tanga, Mtwara, na Lindi vipigwe marufuku.
Ni kama wanawake WA mikoa tajwa wanaona sifa kuvaa Madera, vijora na kukata mauno hadharani. Wengine wakiwa ni wamama Watu wazima.
Tanzania ya Leo tunahitaj wamama Bora kwa ajili ya future generations...