marufuku

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Billie

    JamiiForums Tanzania Nimepiga marufuku watoto wangu kwenda kanisani

    Baada ya kuona ujinga mambo ya makanisani nimeona nipige marufuku watoto wangu kuwa brain washed na mambo ya kanisa na aina zote za imani badala yake nawafùndisha life manners mwenyewe.Kama wataamua kwenda kwenye imani yoyote wafanye baada ya kutoka kwenye himaya yangu. Mke wangu kwa vile...
  2. Informer

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Polisi: Marufuku kufanya Maandamano jijini Nairobi leo Julai 18

    Jeshi la Polisi limemepiga marufuku maandamano yanayotarajiwa kufanywa na Gen Z leo katikati ya jiji la Nairobi. Kipeperushi kilichosambazwa na vijana wameonesha kunuia kufanya maandamano makubwa zaidi leo na wakiwa wamepania kuelekea Ikulu. Polisi imetoa onyo kali na huenda nguvu kubwa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mimi maombi yangu ni kuwa viongozi wapige marufuku waganga wa kienyeji.

    Sipaji jibu kwa nini viongozi mnakumbatia waganga wa kienyeji kwenye nchi.Ninaomba sana watu Hawa wapigwe marufuku wasiwepo Tena.Kwenye hii Karne ya sayansi na technolojia sidhani tunaohitaji Tena waganga wa kienyeji.Ni kundi la watu ambao ndani yake Kuna utapeli usioweza kuelezeka.ili tuepukane...
  4. Sigonella Island

    JamiiForums Tanzania Biden aipiga marufuku Ant Virus ya Kaspersky ya Russia kwa Ujasusi

    Putin kawashika pabaya Marekani sasa wanahaha kujilinda kwa kila mahala baada kuistukia Kaspersky Software ya Urusi inatumika kufanya ujasusi..Juzi tu walikua Wana ituhumu TikTok ya China kwa ujasusi🤣🤣🔧 --- 🚨 BREAKING: BIDEN BANS ANTIVIRUS KASPERSKY SOFTWARE Biden admin will announce plans to...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ardhi, Jerry Silaa apiga marufuku uuzaji wa viwanja mitaani

    Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Jerry Silaa amepiga marufuku nchi zima mabango yaliyozagaa mitaani ya kuuza viwanja maarufu viwanja vinauzwa na ametoa siku 7 kwa maafisa ardhi nchi nzima kuhakikisha mabango hayo yanaondolewa na ameagizo pia makampuni yote yanayouza viwanja...
  6. DesertStorm

    JamiiForums Tanzania MUFTI MKUU WA OMAN: Tunaipongeza Serikali ya Tanzania kwa hatua nzuri iliyochukua ya kupiga marufuku USHOGA

    Allah atuongoze, hakika ushoga ni udhalili wa kupindukia.
  7. I

    JamiiForums Tanzania Marekani yapiga marufuku bidhaa za nguo za viwanda 26 vya China.

    Marekani ilisema Alhamisi inazuia uagizaji kutoka kwa kampuni kadha za nguo za China, ikitaja wasiwasi wa China kutumia nguvu kazi ya kulazimishwa katika utengenezaji bidhaa. Kati ya nyongeza 26 mpya kwenye orodha ya taasisi ya Sheria ya Kuzuia Kazi ya Kulazimishwa ya Uyghur, 21 zilichukuliwa...
  8. dr namugari

    JamiiForums Tanzania Serekali pigeni marufuku huu wimbo, unaniaribia watoto

    Nyimbo sijui Nani kaimba ila Ni nyimbo maarufu Sana tu " huu mwaka eeh " Nikinukuu baadhi ya verse " Ukipata jimama likoboee ,likupe pesa utoboe " Sasa mttoto amekuwa ikiimba Sana hi verse. Na kwa kwa kifupi haina maaadili na nyimbo Ni nzuri ila msatari huu ktk wimbo siyo siyo mzuri. Haya...
  9. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM ruksa siasa chuoni, upinzani marufuku

    Wanafunzi wanaolipwa Tshs 10,000 za wavuja jasho na damu wanaosoma chuo cha TIA[Uhasibu]- Temeke, Dar es Salaam wamemtembelea Jokate Mwangelo ambaye ni mama mwenye mtoto mmoja ofisi za UVCCM Makao Makuu Dodoma. Inasemekana hawa waasibu ndio wanakuja kuwa chawa baada ya UE mwezi wa sita. Hawa...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Serikali ifanye maamuzi magumu ya kupiga marufuku bodaboda mjini, zitumike vijijini ili kupungiza ajali au iweke kodi kubwa

    Leo hii kuna ajali imetokoe huko. Misungwi ambapo bodaboda zinazodaiwa kuwa katika mwendo wa kasi zimegongana na waliokuwa kwenye hizo pikipi kuungua moto vibaya sana ingawa wanacnhi waliwaokoa kwa kuwamwagia mchanga. na sidhani kama wote wame-survuve (mtu anaangua kama nyama iliyowekwa kwenye...
  11. dr namugari

    JamiiForums Tanzania Wife ameanza kuuza juice mtaani vipi nimruhusu au Nimpige marufuku

    Mimi Kazi yangu Ni mwalimu ila hapa katikati nimeamishwa shule nyingine mtaani x. Sasa namuona wife nae amenza kuuza juice kwa kutembeza mtaani nimuache au nimkataze! Mke anavutia sana napatwa na wasi wasi sana nisije pigwa na kimbunga hidaya.
  12. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Uwanja wa JKT upigwe marufuku kutumika Ligi Kuu ya NBC

    kwa ninayoyaona sidhani kama tunastahili kuumiza wachezaji uwanja akama ule. Uwanja ni mbovu haufai kabisa unatesa wachezaji na ni risk sana. Tunaomba ukakaguliwe upya na aliyeupitisha achunguzwe alifuata sheria na vigezo vipi? Hakuna mvuto kabisaaa wa kuangalia mpira kwenye huu uwanja.
  13. U

    JamiiForums Tanzania Marufuku kunywa pombe asubuhi Singida

    Wadau hamjamboni nyote? #HABARI Mkuu wa Mkoa wa Singida Halima Dendego amepiga marufuku wananchi wa mkoa huo kuanza kunywa pombe asubuhi badala ya kufanya shughuli za maendeleo na za kiuchumi hali ambayo inaweza kusababisha kudumaa kwa shughuli za kiuchumi kwa wananchi. Mkuu wa mkoa ametoa...
  14. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Je, trafiki chanzo cha ajali? Busta zipigwe marufuku? Elfu 3 kila Daladala zinafanya gari kuwa zima? IGP, Ramadhani Ng'anzi anajua?

    Hii ajali imetokea tarehe 11-4-2024 Leo maeneo ya Kintinku wilaya ya Manyoni Mkoa wa Singida, Hilo Lori lilisimamishwa na trafick sehemu hatari isiyo ya ukaguzi kukiwa na utelezi na ukungu kwa ajili ya ukaguzi usio rasmi, hiyo coaster ikaja kuvaa Lori kwa nyuma na kuna taarifa za kifo,Poleni...
  15. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Abidjan: Omba Omba wapigwa Marufuku ili Kupambana na Fujo za Mjini

    Jiji kuu la Ivory Coast, Abidjan limetangaza kupiga marufuku ombaomba ili kupambana na "fujo za mijini". "Ili kupambana na fujo za mijini, biashara za kutembea kwenye barabara kuu, kuombaomba kwa namna zote, na matumizi ya mikokoteni sasa yamepigwa marufuku rasmi katika wilaya nzima," alisema...
  16. Mlaleo

    JamiiForums Tanzania Israel huenda ikaifungia Al-jazeera kufanya kazi nchini humo

    Israeli parliament passes law paving the way for Al Jazeera closure Prime Minister Benjamin Netanyahu promises to use the law to shutter local operations of Al Jazeera. Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu has promised to “act immediately to stop” Al Jazeera’s operations in the country...
  17. Nyamesocho

    JamiiForums Tanzania Hii midoli ya madukani ni udhalilishaji wa wanawake. Waziri Gwajima piga marufuku matumizi yake

    Kuna hii midori, sijui wanaitaje mwanasesere, sijui watu wengine wanaitaje, inatumiwa na wafanyabiashara wa nguo kuvalisha nguo za kuuza Maumbile ya kile kitu yanarandana na mwanamke na mbaya zaidi yametengenezewa matiti fulani yenye mvuto kwa wanaume. Udhalilishaji wake ni kwamba kuna...
  18. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Serikali yapiga marufuku matumizi ya kuni na mkaa kulisha watu zaidi ya 100

    Taasisi zetu hasa mashule na magereza zimejiandaaje na hili katazo?
  19. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Sheikh Rusaganya: Kwa mujibu wa Hadithi za Mtume Mohamad, Watu wafupi ni marufuku kukanyaga Peponi

    Sheikh Rusaganya ameonya kwamba kwa kujibu wa mafundisho ya kiisilamu, watu wafupi wamepigwa marufuku kukanyaga Peponi. Sheikh anasisitiza kwamba watu wafupi ni marufuku kukanyaga Peponi na hawatakiwi kuonekana kule. Msikilize Sheikh Rusaganya hapa.
  20. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Romania: Wabunge wataka marufuku ya TikTok kuzuia propaganda na jumbe za kihafidhina

    Wanasiasa kutoka muungano wa kisiasa wa vyama vyenye uwakilishi mkubwa katika bunge nchini Romania wanapendekeza marufuku au "udhibiti mkali" wa mtandao wa TikTok, kufuatia utafiti unaoonesha kukua kwa uungaji mkono wa siasa kali za mrengo wa kulia miongoni mwa vijana, ambao ni watumiaji wakubwa...
Back
Top Bottom