maridhiano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu: Waliopinga maridhiano toka mwanzo wote wameshughulikiwa, sasa nami nashughulikiwa

    Wakuu, Lissu amesema akiwa Ubelgiji hawa ni watu wa kwanza kabisa kuonesha uongo wa maridhiano na waliupinga kwa nguvu zote, nao ni Msigwa, Wenje, Lema, na Gaston. Kipinga kwao maridhiano hayo kumefanya wote wameshughulikiwa, Wenje amepiga uturn kubwa baada ya kuona wenzake wanashughulikiwa...
  2. econonist

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mbowe anatetea sana maridhiano wakati alisema tumedanganywa?

    Katika hotuba yake ya Jana, Mwenyekiti wa CHADEMA alitumia muda kutetea maridhiano na kuonesha ya kwamba Kuna mafanikio tumepata baada ya kufanya maridhiano. Kwa mfano anadai tumeweza kujenga jengo la makao makuu baada ya kupokea Ruzuku, pia amedai kuwa tumeruhysiwa kufanya siasa na kufutiwa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hongera Rais Samia kwa kuona nguvu ya maridhiano

    Nguvu ya maridhiano ya kisiasa katika uongozi wa nchi ni kubwa na inaleta mabadiliko chanya. Ina jukumu muhimu katika kukuza umoja wa kitaifa, kuleta utulivu wa kiutawala, kiusalama, kuwezesha na kutoa nafasi ya Nchi kufanya shughuli za maendeleo hata kufikia maendeleo endelevu. Hii ndio...
  4. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Mojawapo ya faida ya maridhiano ni kununua jengo Mikocheni la Tsh Bilioni 1 na laki 6 taslimu

    Wakuu, Akiwa anazungumza leo, Mbowe amesema kuwa mojawapo ya faida ya maridhiano ni chama hicho kununua jengo lao la Bilioni 1 na laki 6 ambalo liko Mikocheni. Mbowe amesema kuwa kupitia maridhiano na Rais Samia, CHADEMA waliweza kuanza kuchukua ruzuku ambazo ndizo zilitumika kununua jengo...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Tulisema mwamba amelamba asali, tukambiwa sukuma gang hatupendi maridhiano

    DJ sasa anaelekea kwa lipumba, hayati mrema na ndugu yao Odinga. Wanasiasa wa upinzani huwa hawaaminiki hasa africa bara la kiza.
  6. Bams

    JamiiForums Tanzania Kikao Cha Kamati Kuu, kwenye Habari ya Maridhiano, Mbowe akiri alifanya kosa kubwa

    Mwenyekiti Mbowe, kwa kiasi kikubwa, bila ya kuwahusisha viongozi wenzake na wanachama, ndiye aliyeingia kwenye maridhiano bandia na Samia. Na ni yeye, ndiye mara nyingi aliwashawishi wanachama na viongozi wenzake kuwa maridhiano yalikuwa na faida na dhamira njema. Leo kila mmoja ana uhakika...
  7. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA msipotumia akili huo mgao wenu wa Wabunge mlioahidiwa mtajikuta mmepewa Mbunge mmoja tena, achaneni na maridhiano

    Wazungu wanamsemo wao mashuhuri sana unaosema, there is no honor among thieves, wakimanisha kwamba wahalifu hawaheshimiani linapokuja suala la maslahi ama kugeukana. Sasa kwa watu wa namba tumeshaona uwezo wa Chadema kupewa ubunge kwa njia ya rushwa kama mlivyokubaliana na CCM ni kaburi la kifo...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia alikuwa na dhamira thabiti na maridhiano lakini intensive internal pressure ikamtoa kwenye Reli

    1. Kuna lawama zimekuwa zikielekezwa kwa Mbowe kukubali maridhiano. Naamini Rais Samia alikuwa na conviction kubwa kuwa na maridhino, lakini wahafidhina (conservatives) ndani ya chama chake wakamzidi nguvu and being manamke aka succumb to internal pressure. 2. With time naye Samia madaraka...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Benjamin Netanyahu akataa maridhiano ya kusitisha vita Lebanon

    Benjamin Netanyahu akataa maridhiano ya kusitisha vita Lebanon jana kwenye kikao cha UNGA. Adai hatokaa meza moja kuongea kuhusu amani hadi atakapoimaliza Hizbollah na kuwarudisha raia wa Galilaya katika makazi yao. Na sasa jeshi la Israel linajiandaa kuivamia Lebanon kusini kwa miguu (ground...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Kwanini rais Samia amerudi nyuma kwenye masuala ya maridhiano? Neno maridhiano sasa limekuwa na ukakasi mkubwa

    Rais Samia aliporithi kiti cha urais watu wengi walijawa na matumini kuwa sasa demokrasia na uhuru wa kujieleza vingeongezeka na kusitawi. Hivi karibuni matumaini hayo yamefifia na watu hawaoni tofauti kati ya awamu ya tano na ya sita katika masuala ya kidemokrasia. Maridhiano ilikuwa ni moja...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni kwamba Lissu amekubali tu "collective responsibility" ila yeye alipinga maridhiano tangu mwanzo

    Licha ya Lissu kuomba radhi kwa kile kinachoonekana ni kukubali maridhiano na serikali ya Raisi Samia, ukweli ni kwamba, Lissu amekubali akiwa ni sehemu ya uongozi wa CHADEMA uliofika hayo makubaliano ya kile kinachoitwa 4R. Lissu alithibitisha kutokuwa muumini wa 4R katika mahojiano na...
  12. britanicca

    JamiiForums Tanzania Je, maridhiano ya Mbowe na Ikulu ndo yanaitesa CHADEMA na upinzani kwa ujumla?

    Maridhiano ya Mbowe na Ikulu yana jambo ambalo wengi ulibeza Ila yamesaidia sana CCM kutawala kwa ujanja tena bila kufuata sheria na taratibu kadhaa Kama Katiba inavyotamka! Na kuna swali “Je kutolewa mbowe Gerezani wakati ushindi wa Kesi ulikuwa unaelekea kuwa kwa upande wake waka m time...
  13. Vichekesho

    JamiiForums Tanzania Msigwa aingizwe kwenye kamati ya maridhiano aiwakilishe CCM kuridhiana na CHADEMA

    Mh Tundu Lissu amekuwa akinyooshea kidole kitendo cha Mwenyekiti wake kushiriki katika maridhiano na CCM. Amekuwa akisema kuwa CCM hawaaminiki. Kwakuwa Lissu anakiri kuwa anamwamini Mchungaji Msigwa na ndiye aliyeshika chupa ya damu toka Dodoma hadi Nairobi, basi CCM impe jukumu mchungaji...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Chadema Harakati vs Chadema Maridhiano vs Chadema asili na Chadema Sauti ya Watanzanis

    Mimi nimetafakari sana kuhusu falsafa gani inaongoza Chadema hivi nikisema Chadema ina makundi na mikakati minne ya kimtazamo nitakosea. makundi hayo ni kundi la akina Lissu na Heche wanaoamini katika nguvu ya uanaharakati kuiondoa CCM madarakani,kundi la kina Mbowe,Mrema na Mnyika nk...
  15. Mturutumbi255

    JamiiForums Tanzania P Square: Safari ya Mapacha kwenye Muziki, Migogoro na Maridhiano

    Katika ardhi ya Jos, jimbo la Plateau, Nigeria, tarehe 18 Novemba 1981, mapacha Peter na Paul Okoye walizaliwa. Kama nyota wawili wakongwe waliovutwa kwa nguvu ya ajabu, walionyesha vipaji vyao vya muziki na dansi tangu utoto wao. Wakiwa na ndoto kubwa kuliko anga, Peter na Paul walichochewa na...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Maridhiano kusimamisha vita, Israel yajikuta njia panda!

    1. Haipo shaka vita au mazungumzo ya maridhiano kama ilivyo siasa, nayo ni sayansi. 2. Izingatiwe sayansi siyo ya kila mtu, labda arts huko. Sayansi ya maridhiano, vita au siasa; huingii kichwa kichwa. 3. Tambo mbali mbali kwenye sayansi hii ndiyo kwao. Kisemwacho hadharani si lazima kuwa kile...
  17. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania J Mnyika, Aunguruma Channel TEN, Athibitisha maridhiano yameisaidia Sana CHADEMA, Sasa Inayatambua Matokeo, Inalitambua Bunge na Kumtambua Mbunge Wake

    Wanabodi Kupitia kipindi changu kipya cha KMT, kinachorushwa hewani na kituo cha Television cha Channel Ten, kila siku za Jumapili saa 3:00 usiku na marudio siku za Jumatano Saa 9:30 alasiri, Katibu Mkuu wa Chadema, JJ. Mnyika, ameunguruma na amezungumza mengi. Kwa wale ambao bundle sio...
  18. P

    JamiiForums Tanzania JMAT yaitaka CHADEMA kuacha mpango wa kuandamanana mara moja, nchi ipo katika majonzi ya kuondokewa na Lowassa

    Jumuiya imetoa wito kwa CHADEMA kuacha mara moja mpango wao wa kufanya kuandamana katika mikoa mbalimbali hususani katika kipindi hiki ambapo taifa lipo katika majonzi ya kuondokewa aliyekuwa Waziri Mkuu Tanzania Edward Lowassa, wanachama wengine wa jumuiya hiyo waongeza kuandamana kipindi hiki...
  19. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kinana afafanua mkwamo wa maridhiano, kauli ya CHADEMA kwamba CCM haijitambui yatajwa kuwa sababu mojawapo

    Hebu Jisomeeni wenyewe muone ilivyokuwa kama anavyosimulia Mzee Kinana
  20. chiembe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu alitaka siasa za mapambano, Mbowe akataka maridhiano, Mbowe karudia siasa za mapambano, Lissu anakula bata AFCON

    Mnara wa Babeli? Lissu anaonekana akiwa na furaha kubwa sana huko Ivory Coast akishangilia timu ya Msumbiji. Lissu amegundua kwamba Mbowe anamuwekea mtego ili kumuonyesha kwamba aina ya siasa anazozitaka hazifanikiwagi, hasa Tanzania? Yaani anamuonyesha kwamba, si unataka siasa za maandamano...
Back
Top Bottom