Habari zenu wana JF wenzangu, natumai kila mtu ana afya tele.
Kwa dokezo lililonifikia kutoka kwa mtu ambae siwezi kumtaja, ni kwamba mama anamuandalia kamanda Mbowe nafasi nyeti na muhimu ndani ya serikali yake ili kujenga serikali yenye sura na mtazamo wa kitaifa.
Ikumbukwe kwamba raisi...
Wengi walikubeza wakasema umelamba asali, lkn juhudi na uvumilivu wako leo umezaa matunda. Hongera sana, pongezi kwa viongozi wote wa Chadema na vyama vingine, ushindi wa leo (kuondolewa kwa zuio la mikutano) ni ushindi wa wa Tanzania wote.
Wale mnaopiga kelele kulalamikia usiri wa mazungumzo ya maridhiano kati ya Mbowe na Kinana tuambieni.
Ni wapi ulishawahi kuona umma ukitaarifiwa kinachozungumzwa kwenye meza ya maridhiano?
Taarifa hutolewa mwishoni kile walichoafikiana mezani.
Uhuru anaongoza mazungumzo kati ya Eritrea na...
Angalia CCM walichofanya;
1. Wanafunzi wa vyuo karibia wote wanapewa kadi za UVCCM kwahiyo ni wanaccm
2. Machinga na Wafanyabiashara ndogo ndogo kwa asilimia zaidi ya 90 wanapaita mikopo ya vikundi kupitia Council na kigezo kimojawapo cha kudhaminika ni kadi ya CCM
3. Bodaboda Vijiwe vyote...
Kudai haki, demokrasia, mabadiliko nk kwa njia za amani siyo kosa kokote kule duniani.
Zaidi sana Chadema mmekuwa mkidai kuheshimiwa kwa katiba ya nchi iliyopo. Kwenye madai hayo mkakubali hadi kuingia kwenye maridhiano Ili kuiweka nia yenu hadharani.
Kila mwenye macho au kujali amemwona aliye...
HAKI NA WAJIBU
Katiba na sheria vinatoa haki na kila upande yaani raia na dola wana wajibu wa kufana ili sheria itekelezeke.
Rais anamsema mtangulizi wake kuhusu utawala wa mabavu na vitisho lakini yeye hajafanya lolote kufuta mabavu hayo anataka maridhiano yaendelee huku akiagiza vyombo vya...
Ndugu zangu, ukifuata akili za CHADEMA na wana CHADEMA na viongozi wao lazima upotee, upoteze dira, muelekeo na kuchanganyikiwa. CHADEMA ni chama kisicho na msimamo, dira aala muelekeo, hakina misingi inayokiongoza na kusimamia.
Ni chama ambacho huwezi ukajua baada ya mwaka kitakuwa wapi na...
Chama cha Demokrasia na Mandeleo (CHADEMA) kimesema kitaamua kama kiendelee mazungumzo na CCM au la ifikapo mwezi Desemba kwa kuwa mambo mengi wanayolalamikia hayatekelezwi.
Kauli ya CHADEMA imekuja wakati mazungumzo hayo yakiwa yametimiza miezi sita, huku kukiwa na usiri mkubwa wa...
Dar es Salaam. Muungano wa vyama vya siasa vya upinzani 14 nchini umetangaza kuunga mkono ripoti Kikosi cha kazi kilichoundwa na Rais Samia Suluhu Hassan kutafuta na kuchakata maoni ya wadau kuhusu mfumo wa demokrasia, huku wakikosoa msimamo wa Chadema kupinga ripoti hiyo.
Oktoba 21, kikosi...
Tume ya Taifa Maridhiano, NCIC imetoa wito kwa Mgombea yeyote wa kiti cha Urais atakayeshindwa baaada ya Matokeo kutangazwa, kukubali na kawasiliana na Mshindi ili kupata amani
Mwenyekiti wa NCIC, Samuel Kobia amesema leo kuwa Uchaguzi ulikuwa wa amani, na kuongeza kuwa Wagombea wote wawili...
Sikilizeni kilichomtokea Twaha Mwaipaya kada wa CHADEMA.
Wapinzani wanalalamika kuonewa pamoja na kwamba Rais amesisitiza kufungua ukurasa mpya wa siasa Tanzania
Nimefuatilia kauli na Matendo ya rais Samia nimejiridhisha kwamba siyo mpenda demokrasia kama anavyojinadi majukwaani.
Amejigamba kwamba ana ngozi ngumu na kusema anaruhusu uhuru wa kusema, kukosoa na kujieleza. Kwa taarifa yako ndugu msomaji huyu mama hana ngozi ngumu kwa Mambo yasiyomuumiza...
Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema Viongozi na wanachama wao waliokimbia nchi kwa sababu za kisiasa na kiusalama sasa warudi nyumbani baada ya Serikali kuwa imetoa tangazo bungeni.
Soma, Pia: Ujio wa Rais Samia Suluhu Hassan: Hadi sasa sijaona dalili yoyote ya utashi wa kuwepo kwa...
nimekuwa nikifuatilia mtandaoni na mtaani, Rais Samia akikutana na wapinzani kujadili mambo ya siasa au mambo mengine, wafuasi wa Magufuli wamekuwa wakichukia na kutukana sana
Ilianzia Samia alipokutana na Tundu Lissu alipoenda Ubelgiji, wafuasi wa Magufuli walilaumu sana na kudai Samia...
Sijaelewa haya Maridhiano yanayosimamiwa na CCM kwa ushirikiano na Chadema yanahusu taifa au hivyo vyama viwili pekee.
Kwa sababu kama ni siasa za Kitaifa, CCM imeshawasilisha mapendekezo yake kwa Kikosi kazi cha Prof Mkandalla na Zitto Kabwe
Naomba kuelimishwa
Wanabodi,
Hivi karibuni, wana CHADEMA kadhaa wakiongozwa na mwenyekiti wao Freeman Mbowe, walifanya mazungumzo na Rais Samia Ikulu katika kuhakikisha kwamba kuna maridhiano kati ya serikali na vyama vya upinzani. Kwa CHADEMA, maelewano haya yanaweza yakawa na manufaa makubwa lakini kwa kundi...
Mkuu wa nchi baada ya kuona watanzania wanamashaka namna royal tour ilivyodhaminiwa aliahidi kuwataja hadharani waliochanga na namna michango ilivyochangwa.
Sasa hivi naona watanzania wameshasahaurishwa tena juu ya hili maana maridhiano yamepamba moto ili mifarakano itulie kwanza.
Lakini...
Furaha yao ni kuona Mbowe anafungwa Lissu anaumizwa, wafuasi wanauawa, wanafilisiwa mali, viongozi wa Chadema kila siku wanakamatwa, wanashinda polisi. Wanapoona Chadema kinakwenda kuelewana na wenzao wa CCM kinyongo kimewajaa.
Wameanza kuleta maneno chonganishi mara Mbowe kanunuliwa mara kuna...
Mnataka kuleta uwongo kuwa kulikuwa na maridhiano? Acheni janja ya kishamba. Maridhiano gani sasa? Kwani Spika alikuwa na taarifa za uongo? Au ndio Mbowe aliingia makubariano ya kuacha harakati?
👇
Lissu anadai kutema cheche?
👇
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.