maridhiano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. chiembe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA yazidi "Kukunwa" na uongozi wa Rais Samia, sasa zamu ya Salum Mwalimu, ammwagia sifa kufanikisha maridhiano

    CHADEMA wameona haina haja ya kusubiri mawe yaseme, wanasema wenyewe, ilikuwa Mbowe, sasa ni zamu ya Salum Mwalimu. Kuliko abane kikohozi kimpalie, kaona bora aseme. Kiongozi huyu wa ngazi ya kitaifa, amemwaga sifa kwa Rais Samia kufanikisha maridhiano. Hakika Rais Samia ni kiongozi bora...
  2. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Baada ya maridhiano kuna haja kuendele kususa na kuzira? Njooni mezani, tukae pamoja, tuwe wamoja, twende pamoja!

    Wanabodi Nimeona taarifa ya Mkutano huu humu Mkutano Maalum wa Baraza la Vyama vya Siasa tarehe 3 na 4 Januari, 2024 Mkuu Venus Star , asante sana kwa taarifa, hii sio ya kukosa!, Ila to be honest, nina wasiwasi na baadhi promo za Mkutano huu, kama baadhi ya washiriki hawa kama kweli...
  3. benzemah

    JamiiForums Tanzania Wakili Peter Madeleka Akoshwa na Serikali ya Awamu ya Sita Kusimamia Maridhiano

    Wakili Peter Madeleka akizungumza katika mahojiano maalum aliyoyafanya na Global TV jijini Arusha kuhusu sakata la kuhojiwa kwa tuhuma za utoro jeshini ameipongeza Serikaloi ya awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwa kinara wa maridhiano. Madeleka ameeleza kuwa ana...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Lissu: Masharti ya Maridhiano si Matokeo ya Maridhiano

    TAL anao ujumbe wa wazi: Tunachokitaka tunakijua. Hatudanganyiki. Kiroho safi tu, CCM na watuelewe.
  5. HelcopterChopa

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Maridhiano ya kuingiza upinzani Serikali

    Nina maoni kwamba hoja hii inaonekana kuwa na mantiki fulani. Kuna dalili za upinzani kuonyesha nia ya kushirikiana na serikali kwa maslahi ya taifa na wananchi. Hii ni ishara nzuri kwa ustawi wa nchi na amani. Mapendekezo yao, hasa kuhusu masuala kama tume ya uchaguzi, katiba mpya, na maendeleo...
  6. olimpio

    JamiiForums Tanzania Tetesi: CHADEMA kurudi kwenye maridhiano na CCM

    Baada ya sarakasi nyingi sana za CHADEMA, hatimaye kikao chao cha juzi kimeridhia warudi kwenye meza ya mazungumzo na CCM. CHADEMA wanarudi kwenye meza ya mazungumzo wakiwa wameamua kuachana na akina Mwambukusi, Dkt. Slaa na Mdude CHADEMA kwenye harakati zao za bandari. CHADEMA wameona mgogoro...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuwa kama Hayati Magufuli, achana na maridhiano na wasiotaka, watakupotezea muda

    Nadhani tunahitaji kujadili siasa za nchi yetu kwa uhalisia zaidi kuliko kwa kujipa moyo au kwa wishful thinking Uhalisia upo hivi, Rais Samia Suluhu ndio Rais ambaye amejaribu kuwa fair zaidi kwa Chadema kuliko Rais yeyote, na sidhani kama atatokea Rais mwingine akawa fair kwao kama Samia...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Mbowe, Wananchi na Wanachadema wanasubiri uwasomee maazimio ya kamati kuu juu ya Maridhiano na suala la ngorongoro

    Kwako mheshimiwa Mbowe, Miezi miwili iliyopita, ulitutangazia kuwa Kamati kuu iliyokaa mwezi huo iliazimia mambo mengi, miongoni mwayo ni suala la bandari, Maridhiano na suala la ngorongoro. Lakini katika kusoma maazimio hayo, ulijikita zaidi kwenye suala la bandari, ukasema kuwa masuala...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Mdude: Tunaipa Serikali siku 30 wafute mkataba

    Mdude ametoa tamko hilo rasmi katika mkutano unaoendelea wakati huu tarehe 5/9/2023 akiwa na kina Dr. Slaa, Mwabukusi na Joseph Mbatia, akiongeza wakati wanasubiri hizo siku 30 wanaenda kwenye mikutano ya hadhara kuwaandaa Watanzania kufanya maandamanao nchi nzima. Maandamano yatakayokuwa ya...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Lissu: Habari ya Maridhiano kati ya CHADEMA na CCM ilishakufa baada ya CCM kukataa mapendekezo yote ya Katiba Mpya

    Akizungumza kupitia mjadala kwenye mtandao wa kijamii, Tundu Lissu amesema CCM wamekataa maridhiano, kwasababu CHADEMA ilipeleka mapendekezo mazuri juu ya kila kitu kinachohitajika kufanyika ili kupatikana kwa katiba mpya kabla ya Uchaguzi Mkuu 2025, mapendekezo ambayo yalikataliwa yote kwa...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Mabegi ya Pesa yaliyokutwa Nyumbani kwa Rais Gabon, funzo kwetu

    Hizi ndiyo silika za viongozi wetu. Hawana uchungu na nchi. Serikali zao zimesheheni ndugu zao. Mali zetu wamejimilikisha wao kwa maslahi yao binafsi. Viongozi hawa hawaaminiki. Tudai katiba mpya itakayotuwezesha sote kuwajibika. Katiba zenye kuhakikisha usawa wetu sote mbele ya sheria...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Maridhiano njia panda: Mbowe na Lissu wampa tahadhari Rais Samia

    *Wadai kuna 'njama za kuchelewesha Katiba Mpya' MAZUNGUMZO baina ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Chama cha Mapinduzi (CCM) na Serikali yake, yaliyochukua takribani mwaka mmoja, yakijaribu kutafuta muafaka wa kitaifa hususan kwenye suala la katiba mpya, sasa yanaelekea kuwa...
  13. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, wananchi hatutaki tena maridhiano ya kisiasa

    Wananchi wengi wa Tanzania tunafuatilia mienendo ya vyama vya siasa kisha tunagundua kwamba waomba maridhiano CDM, ACT, NCCR, CUF, nk, ndio waanzishaji wa vurugu. Tundu Lissu wa CHADEMA kutukana mamlaka ya Rais huku Godbless Lema akidhihaki mamlaka ya Rais. Dkt. Slaa kutukana mamlaka ya Ikulu...
  14. benzemah

    JamiiForums Tanzania Mwelekeo wa Maridhiano Ukitimiza Mwaka Mmoja

    Mazungumzo ya maridhiano kati ya CCM na CHADEMA yalipokewa vizuri na wapenda demokrasia nchini kwa kuwa Rais Samia Suluhu Hassan aliamua kuwasikiliza Chadema waliosusia na kuona haja ya vyama hivyo kukaa meza moja kuzungumza. Rais Samia kwa mara ya kwanza, alikutana na Mbowe Machi 4, 2022...
  15. comte

    JamiiForums Tanzania Kinana atoboa siri ya mchakato wa maridhiano

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana amewataka vyama vya upinzani nchini kuwa waungwana na wenye shukrani kwani Rais Samia amefanya mambo mengi mazuri hivyo anastahili kuheshimiwa. Akizungumza na wanachama wa CCM Mkoa wa Tabora, Kinana...
  16. assadsyria3

    JamiiForums Tanzania CCM ijitoe kwenye Maridhiano kama matusi yataendelea kwa Rais Samia

    Niwasihi ndugu hatukatai mtoe hoja, hatukatai mseme yale mnayotaka kusema lakini semeni kwa uungwana, zungumzeni kwa busara, jengeni hoja."Kusema Rais ana akili za matope au kusema Rais ameuza bandari, wewe sema mkataba huu haujakaa vizuri toa hoja kwa nini hauajakaa vizuri, upande wa pili...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Maridhiano ya serikali na CHADEMA mustakabali wake ukoje kwa hali ya sasa ya utendaji wa polisi?

    Kulikuwa na nuru kuwa serikali, polisi, mahakama, bunge to mention but a few, for that matter, watatenda kazi zao bila kuonea upinzania (hasa chadema) na kufuata sheria zilizopo ingawa ni mbovu, kama ilivyokuwa wakati wa Magufuli. Sasa, jana na juzi yameanza kujirudia yale yale ya kutesa...
  18. W

    JamiiForums Tanzania Rais Samia unanisikitisha sana; hukujifunza kwa Kikwete na hutaki kijifunza kwa Magufuli

    Nikianza na JK: Mpaka unapata bahati ya kuingia ikulu, hakuna mtu aliyekuwa mpole na fea na mpenda watu kama JK, hakuna! -Aliwapa watu uhuru wa kuongea. -Waliotaka kuandamana walikuwa wanapewa nafasi. -Ajira, hususani afya na elimu, alikuwa anaajiri kila mwaka; tena wote! -Nyongeza za...
  19. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Hii nchi ni yetu sote. Bunge liyavunje maridhiano, DP World wasipewe banadari. Tutafute pesa na kuwekeza wenyewe

    Kwani ni lazima kuboresha bandari yetu kwa kutumia Dp World? Kwani sisi hatuwezi kuwapa kandarasi wachina na kuboresha hayo maeneo muhimu na kuweza kuongeza ufanisi? Bora kukopa China na kuwekeza hizo cranes kuliko kuuza Bandari ya Watanganyika. Kila kona ni kilio tu na hamuaminiki.
  20. S

    JamiiForums Tanzania Hivi ile peremende ya maridhiano na upatikanaji wa katiba mpya bado ipo vinywani mwa wapinzani ama imeyuyuka??

    Huyu rais Samia anapaswa kuangaliwa kwa jicho la tatu. Anajua kucheza na akili za watanzania kweli kweli. Kabla ya kumleta mwarabu alianza kwa kuwaweka sawa wabunge (kama alivyotujuza mbunge wa CDM Aida Kenan). Aliwapeleka Dubai kwa ziara ya "mafunzo". Wakala bata na kupewa cha mfukoni. Suala...
Back
Top Bottom