maridhiano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania DP WORLD: Mkataba wa Bandari kwa Kiswahili (tafsiri isiyo rasmi)

    MAKUBALIANO YA KISERIKALI KATI YA: ΤHΕ UNITED REPUBLIC 0F TANZANIA AND THE EMIRATE 0F DUBAI https://www.jamiiforums.com/attachments/dar_port_contract_mkataba-pdf.2682567/ UTANGULIZI JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, iliyowakilishwa ipasavyo na Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi (“Tanzania”) na...
  2. olimpio

    JamiiForums Tanzania Tetesi: CHADEMA kujitoa kwenye maridhiano

    Kesho Baraza la Wazee CHADEMA watakutana na waandishi wa habari mchana. Taarifa za uhakika ni kuwa Lissu amefanikiwa kumshawishi Mbowe kuachana na Maridhiano. Hii ni baada ya msimamo wa Mbowe kwenye swala la bandari ambao ni kinyume na Mwenyekiti wa CCM Mhe. Rais Samia. Can they pull out of this?
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yasema Haitashiriki kwenye Chaguzi Ndogo za Madiwani katika Kata 14 zilizotangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema hawatashiriki kwenye Chaguzi Ndogo za Madiwani katika kata 14 zilizotangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzii hii leo Jumatano Juni 14, 2023.
  4. thetallest

    JamiiForums Tanzania Maridhiano ya CHADEMA na CCM yaonesha tobo la kisheria, hayafai hata kidogo

    Katika mjadala wa leo kuhusiana na bandari baadhi ya wachangiaji wengi, kuanzia wa kwanza professor Kitila Mkumbo walionyesha kutoridhishwa na kauli ya muheshimiwa Mbowe ,mwenyekiti wa Chadema taifa,japo hakumtaja jina. Hali Iliendelea kwa wachangiaji mpaka ikafikia kutajwa hadharani kwamba...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Maridhiano kwetu yanakosa chachandu ya rungu la umma

    Kwa mara nyingine elimu haina mwisho na ni mburula pekee mwenye kuamini kuwa kafika. Hapo kwa majirani Ruto na Kenya Kwanza wanapelekwa mpera mpera. Kisa na mkasa kitisho cha uhakika cha nguvu ya umma kilichopo kama maridhiano yatakwama. Kwamba: Tayari mambuzi wa huko wako kwenye vidole...
  6. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania WanaChadema, kama maridhiano ni kuwa CCM watatupa wabunge ili wao waendelee kutawala, huu ni usaliti

    Yaaani kumbe tunawaza matumbo yetu tu? Tunawaza kuingia bungeni ili baada ya miaka mitano tuwe na mafao ya kumaliza ubunge na kusepa. Lakini sio kuwa na uchungu na taifa letu. Sio kuwa na uchungu na namna watanzania wanavyoonewa. Hata 2025 sidhani kama tutapata huo Ubunge.
  7. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Kuendelea kuimba na kusifu maridhiano wakati viti maalumu waliojiweka wakiendelea kuwa bungeni. Anayewaelewa CHADEMA aje apa afafanue

    Binafsi sielewi kwanini CHADEMA wanaamini katika haya maridhiano wakati swala dogo kabisa Kama la viti maalumu wanadai kuwafukuza wakiwa bungeni. Kesi mahakamani haiishi na wanaendelea kuwa huru na kuaminiana na CCM. Binafsi siiamini viongozi hawana uelewa Mpana. Kuna Jambo nyuma sisi...
  8. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Njombe: Jiwe la Msingi lililowekwa na Chadema kwenye Uzinduzi wa Mradi wa Maji lavunjwa

    Taarifa kutoka Mjini Njombe zinaelezwa kwamba Jiwe la Msingi lililokuwa na maandishi ya Uzinduzi wa mradi wa Maji Uliosimamiwa na Chadema limevunjwa na Maofisa wa Idara ya Maji Njombe. Haijafahamika hasa sababu za kufanyika kwa jambo hilo la Kishamba , bali kuna muonekano wa jambo hilo kuwa na...
  9. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu nakushauri kuwa makini na genge la Mbowe, unapinga wazi maridhiano uchwara wanaweza kukufanyia figisu

    Mbowe na wenzake wote wanaolamba asali wanazunguka Tanzania nzima kuandaa mazingira ya kurudi bungeni. Lakini hii wewe umeishutukia maana 2025 chochote kinaweza kutokea. Wananchi ndio tutaamua. Hata huyo aliyewadanganya kuwapa ubunge anajua vizuri kuwa wananchi tukiamua hawapati alichowaahidi...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Tunasimama na Lissu, alipo tupo

    Amekuwa wazi mwana halisi wa nchi hii, Rais wa mioyo ya wengi - Tundu Antipas Lissu: Makamu Mwenyekiti wa Chadema (Bara), Tundu Lissu, amesisitiza umuhimu wa kupatikana kwa Katiba mpya kabla ya uchaguzi mkuu wa 2025. Lissu ameonya kuwa ikiwa maridhiano hayatapatikana, Chadema itaathiriwa. Rais...
  11. comte

    JamiiForums Tanzania Kwa bango hili maridhiano yako ICU

  12. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Msikie Tundu Lissu Hapa, Anauliza Kama Wenzake Wana Akili Kweli! Maridhiano Ayaita Ujinga. Je, Lissu Bado ni Asset or Sasa ni A Liability?

    Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za kwa maslahi ya taifa, zikijadili jambo lolote la kisiasa, kiuchumi na kijamii lenye maslahi kwa taifa letu. Makala hizi huwa na swali, kisha hoja, halafu jibu utalitoa wewe mwenyewe msomaji. Makala ya leo ni kuhusu...
  13. Poa 2

    JamiiForums Tanzania Mkate tulionyang'anywa kwa vipigo wanataka kuturudishia kwa jina la maridhiano feki?

    Nawasalimu wote. CHADEMA tulikuwa na wabunge wengi kabla ya ukatili na chafuzi za yule mshamba, tukanyang'anywa kwa Hila, vipigo,vifo, vifungo na mateso. Haya matatizo na uonevu tulifanyiwa na ccm Hawa Hawa wakiongozwa na jiwe/ kichaa. Wametengeneza tatizo na wanajifanya kulisolve huu ni...
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Hatutaki maridhiano ya nusu mkate, tunataka Katiba Mpya

    Tundu Lissu aibua SIRI nzito CCM na CHADEMA. atibua Maridhiano,"hatutaki kupewa nusu mkate, tusikubali kupewa viti vya Ubunge kwa hisani, Chadema tunaambiwa tutapewa majimbo halafu tunachekelea huu ujinga" Chanzo: Jambo TV
  15. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Wenye uchungu na nchi hii hatutahama CHADEMA. Mamluki walionunuliwa na Mbowe kwa maridhiano uchwara na CCM watahama ovyo

    Nimehangaika sana na CHADEMA tokea enzi zile tunakijiofisi kilichochoka pale Mwembe yanga jirani na Kisuma Bar Tumehangaika sana kupigania nchi hii mpaka list of shame ikawekwa hadharani pale mwembe Yanga. Leo hii mtu anaenda kununua mamluki toka Cuf kisa tu kuna maridhiano uchwara huku yeye...
  16. Sir robby

    JamiiForums Tanzania Kwa kauli ya Waziri wa Sheria na Katiba, CHADEMA acheni maridhiano hakuna Katiba Mpya

    Wadau nimeshanganzwa sana na kauli ya Waziri mwenye dhamana ya sheria na katiba. Nilitarajia waziri huyu angekuwa bega kwa bega na wananchi wanaotaka katiba mpya kwani ni haki yao, kauli hii ya Waziri ni kauli ya Serikali na kama ni ya Serikali basi hata Rais anahusika. Nipende kuchukua nafasi...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Ruto kajifunza Maridhiano the hard way, nasi hatuna budi

    Waswahili walisema kusikia kwa kenge ni tofauti sana na viumbe wengine wote: Hata sisi hatuna namma nyingine kama ni nia yetu ya dhati kusikika. Kwamba ni ripoti za CAG? Kwamba ni wahalifu sugu kuachiwa lakini si wanaoshikiliwa kisiasa? Bado tungependa tunayosema kucha kutwa yaweze...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Haya Maridhiano ni ya CCM kujipendekeza kwa CHADEMA? Mbona Lissu anaisimanga sana CCM kwamba mambo ni yale yale?

    Nilitegemea baada ya kuingia kwenye Maridhiano viongozi wakuu wa CCM na Chadema wangekuwa wanatoa kauli za kujenga siyo kubomoa. Lakini ni viongozi wa CCM Ndio wamekuwa watulivu pamoja na Mbowe pekee kwa upande wa Chadema. Kauli za Tundu Lisu na Mnyika zimekuwa za Utata sana. Juzi Mnyika...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Maridhiano ya Saudi Arabia na Iran yadhihirisha diplomasia ya amani ya China

    Machi 10, 2023, China, Saudi Arabia na Iran zilitoa taarifa ya pamoja mjini Baijing, ikitangaza kuwa nchi hizo mbili za Mashariki ya Kati zitarejesha uhusiano wa kidiplomasia na kutekeleza makubaliano muhimu ya pande mbili yaliyositishwa kwa miaka saba. Maendeleo hayo adimu ya kidiplomasia...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Kwenye Maridhiano Rais Samia ametatua yale mepesi lakini Mazito yanayohitaji kubadili sheria hajayagusa, tuzidi kumuombea!

    Wakati akihojiwa na Chief Odemba pale Star tv Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu alisema Rais Samia ameshughulikia mambo mepesi lakini Mazito yanayohitaji kubadili sheria bado hajayagusa tuzidi kumuombea Lisu alisema mambo ambayo Rais ameshayashughulikia ni pamoja na kuwafutia kesi...
Back
Top Bottom