maridhiano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stroke

    JamiiForums Tanzania Maridhiano ya CHADEMA na CCM ni batili kwakuwa sio jumuishi

    Kabla ya hicho kinachoitwa maridhiano hakuwahi kuwepo kwa hitaji hilo toka kwa wananchi. Kama mwana ccm na mwananchi sikuwahi kusikia popote pale wananchi au wanachama wa ccm wakishinikiza kuwepo kwa maridhiano hayo. Ni ajabu sana kwa viongozi wa CCM na Chadema kusimama na kusema kwamba kuna...
  2. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Wananchi watakula hayo maridhiano?

    Kiongozi wa nchi anapohangaika kufurahisha magenge na wanasiasa kwa lengo la kujinasibu kisiasa na kusahau majukumu na kazi ya kiongozi wa nchi ni yapi, si dalili njema kwa maendeleo na ukuaji wa uchumi kwa taifa lolote. Unapohangaika kufurahisha vikundi vya watu ni wazi kwamba kamwe...
  3. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Je, maridhiano ya CHADEMA ni kwa maslahi binafsi au kwa maslahi ya Wananchi?

    Chadema wana furaha, wana tabasamu usoni mwao, je nini wanafurahia!? Kula asali ni kuongea maneno ya busara, sasa Chadema wanaongea mambo ya busara na kutenda kwa busara, je wanakosea? Amani ndiyo msingi. Je, Chadema wameacha harakati zao kutaka kushika dola, ndio hawana dhamira ya kushika dola...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Haya maridhiano kuna mmoja atakuja kushtuka imeshakuwa asubuhi!

    Vyenga vya leo vinatosha kabisa kuona kuna mmoja katika maridhiano haya yanampa faida kuubwa sana hasa huko tuendako, na kuna yule ambaye anafurahia vinono vya muda mfupi! Maridhiano kwa nchi kama hii yetu yenye watu waliozoea Amani kama maji ya mtungini ni mhimu sana kwa mstakabali wa nchi na...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Maridhiano ya CCM na CHADEMA Ndiyo Kawaida ya Vyama vya Siasa Duniani Ilivyo?

    Mara nyingi sisi hupenda kuiga au kujilinganisha na hawa wenye demokrasia yao waliyoitengeneza kwa muda mrefu. Sasa nauliza, hizi mbinu za CCM ya Samia na CHADEMA ya Mbowe inakidhi kweli mlinganisho wowote na wayafanyayo Democratic Party na Republican wa Marekani au Chama cha Labour na...
  6. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kelele nyingi za maridhiano uchwara yasiyo na mantiki Mnakubalika kwa Rais Samia kwa ajili ya manufaa yake, lakini kwa wananchi wa kawaida hamkubaliki

    Eti maridhiano. Kuna maridhiano hapo au ile ziara ya rais Samia kule USA ndio imezaaa maridhiano uchwara ili kuwaridhisha mabeberu kuwa kuna demokrasia nchini. Demokrasia uchwara wakati wananchi wa kawaida wanaumia. Tozo, ufisadi na ughali wa maisha. Nani mwananchi wa kawaida anahitaji Chama...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Kama kesi za viongozi CHADEMA zilifutwa kutokana na maridhiano, kesi ya akina Mdee pia kumalizika kwenye Mkakati wa maridhiano

    Unapokwenda kwenye negotiation lazima ukubali baadhi ya Haki zako kulingana na terms za majadiliano. Serikali chini ya CCM imeridhia na imethibitika hivyo kwamba mambo yafuatayo yakifanyika kama chadema walivyotaka basi nchi itakuwa tulivu; 1. Ruzuku ilikuwa Haki ya CHADEMA kulingana na wingi...
  8. Sir robby

    JamiiForums Tanzania CHADEMA fanyeni Maridhiano na wabunge 19 kama mnavyofanya na CCM, mtawashangaza maadui zenu

    Hakika nimefurahishwa sana jinsi Rais Samia anavyofanya siasa zake. Hakika huyu mama anaijua siasa sana kuliko mtangulizi wake, hayati Rais Magufuli. Kitendo cha kukubali kufanya maridhiano na Chama Kikuu cha Upinzani CHADEMA, wakati hayati Rais Magufuli aliombwa na Mbowe lakini alikataa...
  9. USSR

    JamiiForums Tanzania Je, maridhiano ni CCM na CHADEMA au CCM na ACT Wazalendo?

    Vita ya kugombea maridhiano imekuwa kubwa sana hapa Tanzania as if wananchi wanataka hayo maridhiano zaidi ya chakula. Baada ya mbowe kufoka kule mwanza kwamba wao ndio vinara wa kupigania uhuru wa mikutano chini ya maridhiano alipoitwa Ikulu na Rais Samia jana ACT Wazalendo nao wameibuka na...
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mbowe asikitishwa na wanaobeza maridhiano ya CCM, CHADEMA

    Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe ameeleza kusikitishwa na baadhi ya wanachama wa chama hicho kumfikiria kuwa anasaliti Watanzania kwa kufanya maridhiano ya kisiasa na CCM. Akizungumza na wananchi leo Jumamosi Januari 21, 2023 wakati wa ufunguzi wa mikutano ya hadhara ya chama hicho, Mbowe...
  11. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya kufanya maridhiano ya kijinsia kwenye jamii yetu

    Kuna sumu kali sana baina ya mwanamke na mwanamme kwenye jamii ambayo inahitajika kuondolewa kwa faida ya vizazi vijavyo. Angalia matukio ya kikatili yanayofanyika. Kule Mwanza jamaa kampiga risasi mke wake wanaume wanatetea uenda mwanamke hakuwa mwaminifu kwenye ndoa kule Dar dada kachoma moto...
  12. Sir robby

    JamiiForums Tanzania Kwa maridhiano haya Watanzania hatutarajii kuzisikia tena kauli hizi

    Asanteni viongozi wetu, Rais Samia na Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe na wajumbe wa vyama vyenu kwa maridhiano kwa taifa. Binafsi nimefurahishwa sana kwa hekima busara na hofu ya Mungu waliyonayo hao viongozi kukubali kuridhiana kwa niaba ya Watanzania wote ili Watanzania tuishi kwa amani...
  13. Ritz

    JamiiForums Tanzania Makamu Mwenyekiti CHADEMA, comrade Tundu Lissu mbona upo kimya kwenye maridhiano?

    Wanaukumbi. SULUHU aliyoleta Rais Samia inamuacha upande gani Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bw. Tundu Lissu. Je, huu ni USHINDI kwa CCM na serikali yake au Upinzani. Thinkers” ni lazima tujiulize maswali magumu. Je, yaliyotokea hayajawahi tokea miaka ya nyuma? Kikwete hakuwaita wapinzani...
  14. B

    JamiiForums Tanzania UVCCM yasifu ujasiri wa Rais Samia kuongoza maridhiano nchini

    Na Bwanku Bwanku. Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) umesifu na kupongeza hatua madhubuti alizoanza kuzichukua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kuliweka Taifa katika hali ya amani, umoja na mshikamano kupitia kuongoza maridhiano ya kisiasa...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Masharti ya maridhiano yamelenga ulaji wa Nusu mkate kwa wanasiasa

    Ndugu wakigombana shika jembe ukalime ili siku wakipatana urudi shamba ukavune! Vyama vya siasa katika muktadha wa maridhiano vimeshinikiza baadhi ya viongozi kuhamishwa na kutenguliwa! Si kwasababu hawafai Bali ni kwa maslahi ya maridhiano! Maridhiano hayakumtaka afande Sirro ikabidi astaafu...
  16. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mbowe anakwenda kupewa nafasi nyeti ili kuyalinda maridhiano

    Habari zenu wana JF wenzangu, natumai kila mtu ana afya tele. Kwa dokezo lililonifikia kutoka kwa mtu ambae siwezi kumtaja, ni kwamba mama anamuandalia kamanda Mbowe nafasi nyeti na muhimu ndani ya serikali yake ili kujenga serikali yenye sura na mtazamo wa kitaifa. Ikumbukwe kwamba raisi...
  17. Q

    JamiiForums Tanzania Hongera Mwamba Freeman Mbowe Mwasisi wa Maridhiano

    Wengi walikubeza wakasema umelamba asali, lkn juhudi na uvumilivu wako leo umezaa matunda. Hongera sana, pongezi kwa viongozi wote wa Chadema na vyama vingine, ushindi wa leo (kuondolewa kwa zuio la mikutano) ni ushindi wa wa Tanzania wote.
  18. S

    JamiiForums Tanzania Mazungumzo ya maridhiano duniani kote ni siri. Kuna mtu anafahamu kinachoongelewa kwenye maridhiano ya Eritrea na Ethiopia?

    Wale mnaopiga kelele kulalamikia usiri wa mazungumzo ya maridhiano kati ya Mbowe na Kinana tuambieni. Ni wapi ulishawahi kuona umma ukitaarifiwa kinachozungumzwa kwenye meza ya maridhiano? Taarifa hutolewa mwishoni kile walichoafikiana mezani. Uhuru anaongoza mazungumzo kati ya Eritrea na...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Anachokosea Mbowe ni kutowaambia Wenzake kinachojadiliwa lakini ni kweli CHADEMA haina option nyingine zaidi ya Maridhiano

    Angalia CCM walichofanya; 1. Wanafunzi wa vyuo karibia wote wanapewa kadi za UVCCM kwahiyo ni wanaccm 2. Machinga na Wafanyabiashara ndogo ndogo kwa asilimia zaidi ya 90 wanapaita mikopo ya vikundi kupitia Council na kigezo kimojawapo cha kudhaminika ni kadi ya CCM 3. Bodaboda Vijiwe vyote...
  20. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kukwama kwa maridhiano wa kulaumiwa siyo nyie

    Kudai haki, demokrasia, mabadiliko nk kwa njia za amani siyo kosa kokote kule duniani. Zaidi sana Chadema mmekuwa mkidai kuheshimiwa kwa katiba ya nchi iliyopo. Kwenye madai hayo mkakubali hadi kuingia kwenye maridhiano Ili kuiweka nia yenu hadharani. Kila mwenye macho au kujali amemwona aliye...
Back
Top Bottom