Dua zenu dhidi ya Marekani zinakwama wapi?

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,654
48,432
Wazee wa "death to America" tazameni hii picha kisha mjiulize dua zenu huwa zinakwama wapi.

Ni taifa lililobarikiwa sana na lenye nguvu nyingi, nahisi mojawapo wa sababu kubwa ni kwa vile wanaongoza kwenye kutoa misaada duniani, hivyo wanabarikiwa sana, pia mkija kwenye masuala ya imani, wengi ni wacha Mungu, sio kama ambavyo huwa mnaaminishana, tena wana uhuru wa kuabudu tofauti na baadhi ya mataifa yakiwemo yale ya waarabu ambapo asiye wa dini yao unapitia mateso makubwa.

Japo Marekani hukera kwenye suala la ushoga lakini kwa mengine wako vizuri sana, wengi hata ambao mnajifanya kuwachukia huwa mnapambana kutafuta visa au greencard mkaishi huko, vikishindikana ndio mnabwatuka "Death to America".

Clipboard02.jpg
 
We jamaa sijui utakua lini? Umeshindwa kabisa kutumia akili. Eti marekani anatoa sana misaada, ANACHOTOA NI KIDOGO SANA UKILINGANISHA NA ANACHOIBA.
Eti anatumia sana kwenye defense wakati kwenye mapigano one to one na Russia hawezi
 
Marekani ni taifa tajiri sana acha kelele
 
mojawapo wa sababu kubwa ni kwa vile wanaongoza kwenye kutoa misaada duniani, hivyo wanabarikiwa sana, pia mkija kwenye masuala ya imani, wengi ni wacha Mungu,
We kubwa jinga hata kama ndo mahaba yako yamepitiliza,,misaada yenyewe si ndo hii wanayotupa kwa masharti tufilahne wanaume kwa wanaume au kuna mingine??
Na huo ucha mungu anaouzungumzia hapa ndo ule wa makasisi kufungisha ndo za wanawake kwa wanawake makanisani pamoja na wanaume kwa wanaume si ndio,, kubwa jinga unapoelekea utavaa chupi kichwani yani utakuwa mwehu,,,
 
We jamaa sijui utakua lini? Umeshindwa kabisa kutumia akili. Eti marekani anatoa sana misaada, ANACHOTOA NI KIDOGO SANA UKILINGANISHA NA ANACHOIBA.
Eti anatumia sana kwenye defense wakati kwenye mapigano one to one na Russia hawezi

Hehehe! Sasa hapo mjinga ni nani, mbona uibiwe.....mnawategemea mpaka kwenye condoms na dawa za kupunguza makali ya VVU.
 
Unafurahia kuletewa condoms wakati huyo huyo ndio aliyetengeneza virus vya AIDS. wewe ni jinga sana.

Bila Marekani hata mbu wangewamaliza, mnawategemea kwenye vyandarua na kila kitu ila mkishiba ubwabwa mnaiga waarabu kwenye chuki dhidi ya Marekani.
Hata hao waarabu hupatamani sana Marekani.
 
We jamaa sijui utakua lini? Umeshindwa kabisa kutumia akili. Eti marekani anatoa sana misaada, ANACHOTOA NI KIDOGO SANA UKILINGANISHA NA ANACHOIBA.
Eti anatumia sana kwenye defense wakati kwenye mapigano one to one na Russia hawezi
Kama anakuibia basi wewe ni fala, maana hauoni thamani ya hicho unachoibiwa halafu unaona ufahari kujitangaza kila siku kuwa unaibiwa. Kuna kitu US kachukua bila ya ridhaa yenu?

Mbona China anakuibieni na hata hicho kidogo hawapi?
 
Wazee wa "death to America" tazameni hii picha kisha mjiulize dua zenu huwa zinakwama wapi.

Ni taifa lililobarikiwa sana na lenye nguvu nyingi, nahisi mojawapo wa sababu kubwa ni kwa vile wanaongoza kwenye kutoa misaada duniani, hivyo wanabarikiwa sana, pia mkija kwenye masuala ya imani, wengi ni wacha Mungu, sio kama ambavyo huwa mnaaminishana, tena wana uhuru wa kuabudu tofauti na baadhi ya mataifa yakiwemo yale ya waarabu ambapo asiye wa dini yao unapitia mateso makubwa.

Japo Marekani hukera kwenye suala la ushoga lakini kwa mengine wako vizuri sana, wengi hata ambao mnajifanya kuwachukia huwa mnapambana kutafuta visa au greencard mkaishi huko, vikishindikana ndio mnabwatuka "Death to America".

Hilo limelaaniwa na sio kubarikiwa 🤔
 
Back
Top Bottom