Zacht
JF-Expert Member
- Jul 17, 2020
- 1,009
- 2,197
Macron amesema ulaya lazima ipunguze utegemezi wake kwa Marekani pia iepuke kuingizwa kwenye mzozo kati ya China na Marekani kuhusu Taiwan,
"Ulaya lazima isiingie kwenye makabiliano kati ya Marekani na China kuhusu Taiwan, Wazungu lazima waamke na kuepuka kufuata mdundo wa Marekani", Prez Macron.
Pia akaongeza kusema matatizo inayoikabili Ulaya ni kwa Sababu ya kuingilia machafuko na migogoro ambayo sio yetu,hivyo ulaya iache kuwa followers (chawa) wa marekani na kujiepusha na migogoro anayoianzisha .
Chanzo: Politico EU