marekani

  1. L

    JamiiForums Tanzania Marekani inaendelea kusimama kinyume cha amani

    Hivi karibuni, serikali ya Marekani ilitangaza kuipatia Ukraine msaada mwingine wa kijeshi wenye thamani ya dola milioni 800, ikiwa ni pamoja na mabomu aina ya cluster ambayo yamepigwa marufuku na sheria za Marekani yenyewe. Cha kuchekesha ni kuwa, mwishoni mwa Februari mwaka jana, siku tano...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Polepole Marekani inaelekea kutambua kuwa dunia si mali yake

    Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Bibi Janet Yellen amemaliza ziara yake ya siku nne nchini China, ziara ambayo wachambuzi wa mambo ya kidiplomasia na hata Bibi Yellen mwenyewe, wanasema kuwa ni ziara iliyopata mafanikio makubwa. Ziara ya Bibi Yellen ni hatua nyingine ya Marekani katika juhudi...
  3. JamiiForums Tanzania Burna Boy awa msanii wa kwanza kutoka Afrika kujaza Uwanja Marekani

    Mshindi huyo wa Tuzo ya Grammy amefanikiwa kuweka rekodi hiyo kwa kuuza Tiketi zote 41,000 za onesho lake katika Uwanja wa Citi Field ulioko jijini New York, Marekani . Show hiyo ilihudhuriwa pia na Mastaa wakubwa kutoka Marekani wakiwemo Busta Rhymes, SZA, Jorja Smith na rapa Santan Dave...
  4. JamiiForums Tanzania Mbona wanawake wa Marekani wapo very happy 24/7 to compare na hawa wa huku Tanzania?

    Nilikuwa YouTube Muda huu naangalia video za Jack wa USA this guy anaweka content za wanawake wa Marekani most of them wapo happy kwanza wazuri wakipewa salamu wanaitikia kwa bashasha kubwa Sana. Njmegundua huku Tanzania umasikini wa uchumi umewafanya mademu kuwa watu wa hovyo Sana Hawana raha...
  5. JamiiForums Tanzania Marekani yafikiria kuanzisha dola za kidigitali

    Katika ulimwengu wa kidijitali unaobadilika kwa kasi, sekta ya benki ya Marekani inakabiliwa na wakati mgumu, ikifikiria kuanzisha dola ya kidijitali. Mradi wa Dola ya Kidijitali, mpango unaolenga kuchochea utafiti na majadiliano, umefanya uchunguzi wa hatari na mawazo ya sera yanayohusiana na...
  6. JamiiForums Tanzania Kikwazo ambacho Marekani aliyomuekea Uchina kimemrudia mwenyewe

    Baada ya Marekani kuiwekewa vikwazo sekta ya utengenezaji wa chips ya China, China nayo imelipiza kisasi kwa kuwekea udhibiti wa mauzo ya nje(export) kwenye madini ya gallium na germanium, hizo ni metal mbili muhimu zinazohitajika katika utengenezaji wa chips. China inachangia 98% ya...
  7. JamiiForums Tanzania Gabriel Gerald Geay ashika nafasi ya pili, 10K Atlanta nchini Marekani

    Mwanariadha wa Kimataifa wa Tanzania Gabriel Gerald Geay amezidiwa sekunde chache na Mkenya na kuwa kwenye nafasi ya pili, kilomita 10 kwa muda wa dakika 27:43 ambapo ni muda bora kuliko wa siku chache zilizopita alizokimbia Boston B.A.A 10K na kutumia muda wa dakika 27:49. Mashindando hayo...
  8. I

    JamiiForums Tanzania SoC03 Maajabu matatu (3) yenye nguvu ya kutisha yaliyoifanya familia masikini kuikopesha Marekani

    Hapo zamani za kale pembezoni mwa upwa wa bahari ya hindi kulikua na familia ya wabantu. Familia hiyo kwa umaarufu wake wa kumiliki kila aina ya vito vya thamani hata vile visivyoweza kupatikana kwa malimwengu yote yaani tanzanite, vilipelekea familia za walowezi kutumia mabavu kujimilikisha...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Ni lini Marekani itaacha mchezo wa kigeugeu?

    Msemaji wa Wizara ya Ulinzi ya Marekani Patrick Ryder hivi majuzi alisema imethibitishwa kuwa puto lililogunduliwa miezi minne iliyopita "halikukusanya taarifa za kijasusi wakati wa safari yake kwenye anga za Marekani." Mara tu taarifa hii kutolewa, vyombo vya habari vya Marekani vilijitokeza...
  10. JamiiForums Tanzania Fun Fact: China yaishinda Marekani na Australia mashindano ya Hisabati Ulaya

    Interesting... Timu ya wanafunzi ya wanawake kutoka China imeweza kuchukua ushindi wa nafasi ya kwanza katika mashindano maarufu ya hisabati ya European Girls Mathematical Olympiad yaliyo fanyika nchini slovenia Mashindano hayo yalihusisha team 55 (38 kutoka mataifa ya ulaya). Nafasi ya...
  11. JamiiForums Tanzania Mwaka 2015 inadaiwa Kikwete alisaini mkataba kama wa DP World usio na exit clause na Symbioni ya Marekani, tumeishia kuwalipa Bilioni 350 ya fidia

    Naomba tukumbushane, mwaka 2015 Kikwete alisaini mkataba wa kichief mangungo kama huu wa DP World na kampuni Symbioni ya Marekani, mkataba ambao haukua na exit clause, mkataba uliowapa Symbion haki zote na upendeleo wote walioutaka. Mwaka 2016 Magufuli alipoona mkataba kati ya serikali na...
  12. JamiiForums Tanzania Marekani yaongeza vifaru vya Bradley Ukraine baada vya mwanzo kupigwa vibaya.

    Baada ya idadi kubwa ya vifaru vya Ukraine kuripuliwa miongoni mwao vikiwemo idadi kubwa ya Bradley kutoka Marekani sasa riaisi Biden ameamua kumuongezea Zelensky vifaru vingine katika vita vya kutaka kurudisha maeneo yaliyomegwa na Urusi.
  13. JamiiForums Tanzania Mtalii kutoka Marekani aichana makavu Tanzania kwenye Luninga

    Jambo jambo? Hii video ilikuwa mahojiano ya kipindi maalum ambacho huwahoji watalii kutoka duniani na waliotembelea Kenya, Uganda, na Tanzania, in short ni EAC. Jamaa amewapa makavu kuwa Tanzania inaiishi miaka 30 nyuma ya dunia huku nchi jirani zikiendelea kuchapa mwendo. Lakini tusisahau...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Malalamiko dhidi ya China hayaisaidii Marekani kukabiliana na tatizo la dawa za kulevya

    Wizara ya Sheria ya Marekani hivi karibuni ilitangaza kuzishtaki kampuni na raia kadhaa wa China kwa madai ya kuzalisha na kuuza malighafi za dawa za kulevya. Hii si mara ya kwanza kwa Marekani kuihusisha China na suala la dawa za kulevya nchini humo. Lakini swali ni kwamba, je, tatizo la...
  15. JamiiForums Tanzania Mwanariadha Gabriel Gerald Geay aweka muda wake Bora Marekani

    Mwanariadha wa Kimataifa Gabriel Gerald Geay ashinda mbio za Boston 10K (B.A.A 10K) na kuweka muda wake bora wa 27:49 huko Boston, nchini Marekani Jumapili, tarehe 25 Juni 2023. The B.A.A. 10K 2023 Results: Men’s 10k results: Gabriel Geay (Tanzania) – 00:27:49 Edwin Kurgat (Kenya) – 00:28:01...
  16. JamiiForums Tanzania Profesa Tibaijuka, Apson Mwang'onda na Mradi wa Kuuza Kigamboni kwa Marekani

    Hayati Apson Mwang'onda akisalimiana na Mwamba Kuna wakati Profesa Tibaijuka, Waziri wa Ardhi wakati huo, alikuwa anaratibu mradi kabambe wa Kigamboni. Wamarekani ndio walitaka kuujenga kwa mfumo wanaoutaka wao ili wautumie kwa namna wanavyotaka wao. Ndani ya kivideo cha awali kwa ajili ya...
  17. 5

    JamiiForums Tanzania BBC: Marekani ilijua kuwa mkuu wa Wagner alikuwa akipanga kuchukua hatua kabla ya uasi wake

    Wakati maasi ya Prigozhin yalionekana kuipata Kremlin kwa ghafla mashirika ya kijasusi ya Marekani yalikuwa tayari yamepata ishara kwamba alikuwa akipanga kuchukua hatua na yalikuwa yamemjulisha Rais Biden pamoja na viongozi wakuu wa bunge mapema wiki hii, vyombo vya habari vya Marekani...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Ni pale tu Marekani inapotekeleza ahadi zake kwa vitendo ndipo uhusiano kati ya China na Marekani unaweza kuboreka

    Kuanzia Februari hadi Juni, zaidi ya miezi minne baada ya "tukio la puto", Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken hatimaye aliwasili Beijing asubuhi ya tarehe 18 na kufanya ziara ya siku mbili nchini China. Watu wengi wanaojali uhusiano kati ya China na Marekani wanauliza kuwa, kwa...
  19. JamiiForums Tanzania China: Marekani chagua moja unataka vita ama ushirikiano?

    Mwanadiplomasia mkuu wa China amesema chanzo kikuu cha msuguano katika uhusiano kati ya China na Marekani ni "mtazamo mbaya" wa Marekani kuhusu nchi yake. Wang Yi alimwambia Blinken "hakuna nafasi ya majadiliano" juu ya Taiwan, kulingana na taarifa ya wizara ya mambo ya nje ya China baada ya...
  20. JamiiForums Tanzania Marekani: Halmashauri ya jiji lenye Waislamu wengi limepiga kura kupiga marufuku bendera za LGBTQ katika maeneo ya umma

    Meya wa Hamtramck Michigan Amer Ghalib, alipata wadhifa huo wa Umeya, mnamo 2021 baada ya kumkosoa mtangulizi wake kwa kupeperusha bendera ya LGBTQ nje ya ukumbi wa jiji. Baraza la jiji la Hamtramck, Michigan, ndio jiji pekee la Marekani lenye baraza linaloongoza Waislamu akiwemo na Meya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…