marekani

  1. JamiiForums Tanzania Marekani yaipa Ukraine risasi milioni moja walizonyang'anya Iran

    Hizi risasi zitasaidia pakubwa kwenye mapambano dhidi ya mvamizi Urusi. ============== Ukraine has been given the opportunity to replenish military supplies with confiscated ammunition from Iran thanks to a US operation last December. The move comes amid warnings from Ukraine's Western allies...
  2. JamiiForums Tanzania Majamaa walioingilia Mitikasi ya watu na hawakuachwa Salama

    Basi tu, tuseme hii dunia kuna watu wanapanga mipango yao lakini kuna watu pia wanapangua mipango hiyo yote na kufanya mambo yao. Kuna mambo huwa hutakiwi kuyaingilia hata kidogo. Hata kama utakuwa rais, kuna system huwa unaikuta, unatakiwa kuiacha kama ilivyo kwa kuwa ni maslahi ya watu...
  3. JamiiForums Tanzania Spika wa Bunge la Marekani, Kevin McCarthy ang'olewa madarakani

    Just in: Spika wa Bunge la Marekani amengo'lewa madarakani na kuweka historia kuwa spika wa kwanza wa bunge la marekani kung'olewa na wabunge. Moja ya chanzo cha Kevin McCarthy kuondolewa kwenye uspika ni baadhi ya wabunge wenzake wa Republic kumuona kama msaliti baada ya kushirikiana na...
  4. JamiiForums Tanzania Tanzania na Marekani Kushirikiana Katika Eneo la Ufadhili wa Michezo

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amafanya mazungumzo na Balozi wa Marekani hapa nchini Mhe. Michael Battle yaliyojikita katika kuendeleza Sekta za wizara hiyo. Katika mazungumzo hayo yaliyofanyika leo Oktoba 3, 2023 jijini Dar es Salaam, Mhe. Dkt. Ndumbaro...
  5. JamiiForums Tanzania Mkutano mkubwa wa siri wa NATO unafanyika Poland bila ya uwepo wa Marekani

    Jijini Lublin nchini Poland kuna mkutano mzito unaoendelea wa nchi wanachama wa jumuiya ya NATO, lakini cha kushangaza Kiranja wao Marekani hajaalikwa katika mkutano huo. Baadhi ya maswali ni mengi ninayojiuliza: 1. Thima kuu ya Mkutano huo ni nini hasa? 2. Ni kwa nini Marekani hajaalikwa? 3...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ukisikia kufuru ya pesa ndiyo hiyo: Cristiano Ronaldo analipwa Dola za Marekani $6.78 kwa sekunde kama mshahara wake!!

    Mshahara wa Ronaldo ni kama ifuatavyo: Ronaldo's mind-boggling new salary equates to: Monthly: $17.75m Weekly: $4.43m Daily: $633,928 Hourly: $24,413 Per minute: $406.88 Per second: $6.78 Kwa pesa za Tanzania (leo $1=Tsh 2500/=): Kwa mwezi: 44,375,000,000/= (Tsh bilioni 44.375) Kwa wiki...
  7. JamiiForums Tanzania Ushawahi jiuliza kwanini ushindi wa Marekani dhidi ya Japani katika WW2 ni maarufu zaidi kuliko ushindi wa Urusi kwa Ujerumani?

    ChartGPT anasema hivi Ushindi wa Marekani dhidi ya Japani katika Vita Kuu ya Pili ya Dunia unaweza kuonekana kuwa maarufu zaidi kutokana na sababu kadhaa: 1. Mabomu ya Atomiki: Shambulio la Marekani kwa kutumia mabomu ya atomiki juu ya Hiroshima na Nagasaki lilikuwa tukio la kipekee katika...
  8. JamiiForums Tanzania Nataka kuanzisha umissionari wa kupeleka Ukristo kutoka Afrika kwenda Ulaya na Marekani, naombeni mawazo

    Wakuu nimegundua Ulaya na Marekani kuna upagani mwingi sana. Wala hakuna ukristo kule ni zuga tu. Sina wasiwasi na uarabuni na china, Maana huko kwa utafiti wangu kuna wakristo kificho wengi sana ila wanaingia misikitini na kuswali kwa ajili tu ya usalama wao. Nimefikilia hawa wazungu kabla...
  9. JamiiForums Tanzania Hii ndio Urusi, Ulaya na Marekani wanaiogopa (Miundombinu, Utamaduni, Viwanda, Uchumi na Maliasili)

    BWANA YESU ASIFIWE Nimekuwa nikifanya utafiti wangu wa mara kwa mara na kuleta taarifa sahii zenye uchunguzi wa kina kuhusu nchi mbalimbali na kisha watu waweze kuelewa undani wake. NImefanya utafiti wangu kwa miaka mitano kuhusu nchi ya Urusi. Leo hii nitawaletea hali halisi ya nchi hii...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Marekani yashindwa kuelewa mafanikio ya kiteknolojia ya nchini China

    Linapokuja suala la maendeleo mapya ya utengenezaji wa chips nchini China, vyombo vya habari vya Marekani vimeripoti hivi karibuni kuwa, haitakuwa ajabu kwa Marekani kuongeza nguvu ya vikwazo na kuimarisha hatua za kupunguza kasi ya ueneaji wake, lakini, daima biashara italazimisha ubunifu wa...
  11. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli China inaongoza kuhusu Teknolojia na Uvumbuzi? - Ulaya na Marekani wamekubali?

    KWA JINA LA BABA, LA MWANA NA ROHO MTAKATIFU - AMEN. NImekuwa nikifanya utafiti wangu binafsi kuhusu masuala ya Technolojia hapa Duniani, nimegundua kuwa dunia yote sasa imetupia macho yake huko china. Kwa mujibu wa takwimu zilizotoliewa na theglobaleconomy.com za mwaka 2021 zinaeleza kuwa...
  12. JamiiForums Tanzania Ijue Miji, Majiji na Miundombinu ya China - Je, Ulaya na Marekani imefunikwa?

    TUMSIFU YESU KRISTU. Kumekuwa na watu wengi kubeza, kuzomea na kubwatuka maneno ya hapa na pale kuhusu china. Lakini leo nimeamua kuwapitisha katika miji na majiji yaliyopo china huku tukilinganisha na miji iliyopo Ulaya na Marekani. China kwa sasa inajenga majiji yake na miji yake kisasa...
  13. JamiiForums Tanzania Ugumu wa maisha unawafanya wa Marekani wasimuelewe Biden na Bidenomics yake

    Sembe imepanda bei Mafuta yamepanda bei Bei ya pango iko juu ---- WASHINGTON − Linda Muñoz is scared about the economy. She dipped into her emergency savings this year. And she doesn't believe President Joe Biden feels her pain. The retired teacher from Channelview, Texas, worries about paying...
  14. L

    JamiiForums Tanzania “Vita mpya ya Baridi” ya Marekani dhidi ya China itakuwa na madhara kwa Marekani yenyewe

    Uhusiano wa pande mbili kati ya China na Marekani ni moja ya mahusiano muhimu sana duniani, na mwelekeo wa uhusiano huu unafuatiliwa sana na jamii ya kimataifa. Lakini pamoja na hayo, Marekani inaendelea na juhudi zake za kuikandamiza zaidi China katika maeneo mbalimbali kama vile siasa na...
  15. JamiiForums Tanzania Leo nimemeshangaa sana kwamba Dada poa Marekani ni shilingi laki 7, Tanzania tukae kwa kutulia

    Nimeshangaa sana hii ishu na huenda ndio maana wamarekani huwa wanalia sana ukiendekeza wanawake unafilisika. Yaani kununua dada poa ni dola 300 (Tshs laki 7 na nusu), ukiomba upunguziwe na kakuelewa labda 250 (Tshs laki 6 na 20), ukilia sana basi iwe walau short time basi 200 (Tshs laki 5 )...
  16. JamiiForums Tanzania GORBACHEV hakuwa pandikizi la marekani kama watu wanavyo sema bali alikuwa mwanamageuzi(reformist) alie fail

    Yes, kama kichwa cha uzi kinavyosema kuwa "Gorbachev hakuwa pandikizi la marekani kama watu wanavyo sema bali alikuwa mwanamageuzi(reformist) alie fail". Mimi binafsi naweza kuwepo katika kundi dogo sana linalo mtazama Gorbachev kama mwanamageuzi wa kikomunisti alie fail na sio kama pandikizi...
  17. JamiiForums Tanzania Jenerali wa Marekani asema Ukraine imebakiwa na siku 30 iinue mikono juu

    Akizungumza na kipindi cha BBC cha jumapili generali Mark Milley amejisifu jinsi alivyotabiri mwendo wa vita hapo awali kuhusu kushindwa kwa Ukraine na kwamba imekwenda vile vile. Amesema kwa sasa nchi hiyo imebakiwa na siku 30 ikizidi ni 45 kuweza kupenya ngome za Urusi jambo ambalo amesema si...
  18. JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu: Marekani ni nchi ya dunia ya tatu

    Nchi ya dunia ya tatu ni nini? Nchi ya dunia ya tatu ni nchi yoyote ile isiyo na usalama wa uhakika( wa kutosha ) kwa raia wake na watu wote wanao ishi ndani yake. Vitu hivi huwezi kuvipata Marekani. Marekani hakuna usalama wa uhakika. Hakuna utu. Watu wanauana kwa sababu za kijinga kabisa...
  19. JamiiForums Tanzania Je, ndege ya Air Force One, gari la the beast na ndege 6 za Boeing zinamlindaje Rais wa Marekani?

    Je, ndege ya Air Force One, gari la the beast na ndege 6 za Boeing zinamlindaje Rais wa Marekani? Viongozi wakuu duniani watasafiri hadi India kwa Mkutano wa nchi 20 zilizoendelea kiviwanda G20, ambapo ulinzi umeimarishwa. Rais wa Marekani Joe Biden atawasili nchini India kushiriki katika...
  20. JamiiForums Tanzania Raia wa Marekani Wanapenda kuvaa nguo Zinazofanana na Sare za Jeshi, Pia wanaweka Bendera ya Taifa Nyumbani

    Naamini kati ya majeshi 6 bora duniani ambapo jeshi letu (JWTZ) ni la 6, naamini kwenye ma 5 yajuu jeshi la Marekani litakuwepo. Sasa kwanini raia wa Marekani wanavaa nguo zinazofanana na jeshi na hawachukuliwi hatua? Wanashindwaje kudhibiti hili jambo? Au wao hawapo kwenye orodha ya majeshi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…