marekani

  1. S

    JamiiForums Tanzania BBC: Special forces toka Marekani, Uingereza, na nchi za NATO wanapigana vita Ukraine, lakini wameshindwa kuikomboa Ukraine

    Documents zilizoliki za Pentagon zimeonesha kuwa wanajeshi wa vikosi maalumu toka Marekani, Uingereza, na nchi nyingine za NATO wapo uwanja wa vita Ukraine wakipigana na masecurity guards wa Urusi (wargner group). Cha kusikitisha na kuhuzunisha ni kuwa kwa zaidi ya mwaka sasa vikosi hivyo...
  2. I

    JamiiForums Tanzania Sarafu ya Russia yashuka thamani dhidi ya dola ya Marekani

    Kushuka kwa bei ya mafuta na hofu kuhusu safari za mtaji kulisaidia kusukuma ruble ya Urusi hadi kiwango chake dhaifu dhidi ya dola ya Marekani katika mwaka mmoja siku ya Jumatatu, hatua ya hivi punde zaidi katika kile ambacho kimekuwa mabadiliko makubwa ya bahati ya sarafu hiyo. Ruble...
  3. Richard

    JamiiForums Tanzania Marekani wahangaika kumtafuta aleivujisha taarifa za siri za kijeshi kuhusu vita ya Ukraine

    Serikali ya Marekani pamoja na wizara ya Ulinzi na makao makuu ya kijeshi Pentagon bado wapo na kitendawili cha kutegua mtu alievujisha taarifa za siri za kijeshi kuhusu vita ya Ukraine. Hadi sasa imefahamika kuwa taaarifa hizo zilitokea katika mchezo wa computer yaani "online game" na zilikuwa...
  4. MK254

    JamiiForums Tanzania Dua zenu dhidi ya Marekani zinakwama wapi?

    Wazee wa "death to America" tazameni hii picha kisha mjiulize dua zenu huwa zinakwama wapi. Ni taifa lililobarikiwa sana na lenye nguvu nyingi, nahisi mojawapo wa sababu kubwa ni kwa vile wanaongoza kwenye kutoa misaada duniani, hivyo wanabarikiwa sana, pia mkija kwenye masuala ya imani, wengi...
  5. L

    JamiiForums Tanzania “Ni upuuzi tu!” Wanamtandao wa Afrika wakasirika baada ya Taasisi ya Marekani kuja kupaka matope tena

    Wiki iliyopita, Wizara ya Mambo ya Nje ya China ilitangaza kuiwekea vikwazo Taasisi ya Hudson ya Marekani inayounga mkono vitendo vya kuitenganisha Taiwan na China. Kwa muda mrefu, taasisi hiyo ya washauri bingwa ya Marekani imekuwa ikiishambulia China, na watafiti wake wametoa tafiti na ripoti...
  6. benzemah

    JamiiForums Tanzania Siri ya Vyura wa Kihansi kutunzwa Marekani

    Miongoni mwa habari zilizozua gumzo hivi karibuni ni Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kutumia Sh611.92 milioni kutunza vyura wa Kihansi huko Marekani, gazeti hili limefan-ya uchambuzi, kukusanya maoni na taarifa muhimu zinazopaswa kufahamika na umma kuhusu viumbe hao wanaopatikana Tanzania...
  7. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Marekani: Mtu mwenye silaha awaua watano kwa risasi benki

    Aliyehusika kuanzisha shambulizi la risasi ni Connor Sturgeon (25) aliyekuwa mfanyakazi wa Benki husika ambaye siku chache zilizopita alijulishwa kuwa atafukuzwa kazi. Mtuhumiwa ambaye naye alifariki kwa kupigwa risasi na Askari, alikuwa akitumia Bunduki aina ya AR-15-style alitumia Instagram...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo sababu Dola ya Marekani bado itazidi kuwa hela inayoaminiwa zaidi duniani

    Pamoja na vita na kampeni ya Urusi na China dhidi ya dola ya Marekani tangia vita ya Ukraine ianze, dola ya Marekani imezidi kuonyesha ndio hela stable zaidi duniani. Dola imezidi kubaki imara kama chuma huku fedha za nataifa mengine tajiri zikiporomoka na kuifanya dola kuendelea kuwa hela...
  9. James Martin

    JamiiForums Tanzania Naanza kupata mashaka kuiona serikali ya Rais Samia kuwa karibu na Mabeberu na vitendo vya rushwa kushamiri nchini

    Ni takribani miaka miwili sasa tangu nuache kuandika maoni yangu hapa Jamii Forum. Hata hivyo leo nimeona nirudi tena kwani kuna vitu vya kukera vimeanza kujitokeza. Wakati hayati Magufuli alivyochukua nchi nilivutiwa sana na mambo aliyokuwa anayafanya. Nilikuwa mstari wa mbele kumtetea pale...
  10. Zacht

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo Marekani alivyoiharibu Iraq

    Ni miaka 20 imepita sasa tangu marekani aivamie Iraq kwa kile kinachosemekana Saddam Hussein alikuwa anamiliki silaha hatari za maangamizi ,anafadhili magaidi pia alikuwa anatesa raia wake, hivyo marekani kwa kibali Cha UN ikafanya kitu alichokuwa anakitamani kwa muda mrefu. Mambo yalianzaje...
  11. Zacht

    JamiiForums Tanzania Macron aitaka Ulaya isijihusishe kwenye mgogoro wa China na Marekani kuhusu Taiwan

    Macron amesema ulaya lazima ipunguze utegemezi wake kwa Marekani pia iepuke kuingizwa kwenye mzozo kati ya China na Marekani kuhusu Taiwan, "Ulaya lazima isiingie kwenye makabiliano kati ya Marekani na China kuhusu Taiwan, Wazungu lazima waamke na kuepuka kufuata mdundo wa Marekani", Prez...
  12. I

    JamiiForums Tanzania Mataifa kadhaa ya kiafrika yakabiliwa na upungufu wa dola ya Marekani

    Mataifa kadhaa ya kiafrika yakabiliwa na upungufu wa dola ya Marekani hali ambayo inapelekea kupanda kwa gharama za maisha katika mataifa hayo. Mataifa kama Kenya, Misri, Ghana, Nigeria, Zambia na Zimbabwe ni mifano ya hayo yanayokabiliwa na upungufu huo...
  13. Athuman Mintangah

    JamiiForums Tanzania Hivi mbona ndege ya jeshi la marekani( c-17 globemaster) route zake haziishi kwenye anga letu

    Na leo imepita tena. Kuna kipi kilichojificha.😭😭😭
  14. HERY HERNHO

    JamiiForums Tanzania Marekani, Ujerumani na Hungary zinapinga pendekezo la Ukraine la kuwa na "mpango" wa kujiunga na NATO

    Marekani, Ujerumani na Hungary zinapinga majaribio ya Poland na mataifa ya Baltic la kuipatia Kiev "mpango" wa kuwa mwanachama wa NATO katika mkutano wa kilele wa NATO wa Julai. Washington ina wasiwasi kwamba kuzidisha uhusiano na Kiev na muungano huo wakati wa vita kunaweza kuchangia katika...
  15. Webabu

    JamiiForums Tanzania Marekani walia wakikumbuka huku Taliban wakionesha magari ya kijeshi

    Hivi karibuni jeshi la Afghanistan chini ya Taliban ilionesha mamia kadhaa ya magari ya kijeshi ambayo wamesema yaliachwa na jeshi la Marekani katika haraka ya kukimbia hapo mwaka 2021. Kwa upande mwengine ikulu ya White house imemtupia lawama za aibu hiyo raisi Trump ambaye muda huo...
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Tanzania yatumia zaidi ya shilingi bilioni 6 kutunza vyura 500 waliopelekwa Marekani

    Kupitia ukagauzi uliofanywa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mwaka 2021/2022 imebainika kuwa Vyura 500 bado wapo Marekani licha ya kumalizika kwa mkataba wa matunzo. Serikali ilipeleka Vyura hao katika bustani za Bronx na Toledo ili kupisha ujenzi wa mradi wa...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la bajeti ya kijeshi ya Marekani latishia amani duniani

    Hivi karibuni serikali ya Marekani ilitangaza bajeti ya matumizi ya kijeshi kwa mwaka 2024 ya dola bilioni 842 za kimarekani, ambalo ni ongezeko la asilimia 8.9 ikilinganishwa na mwaka jana. Inakadiriwa kuwa bajeti hiyo ya mwisho itakayoidhinishwa na bunge la nchi hiyo inaweza kuzidi dola...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Nini kinafanya Marekani kuwa imara?

    Naomba kudadisi wataalamu mbalimbali watujuze nini kinafanya taifa hili kufanya vizuri katika section zake hadi kupelekea kuwa taifa kubwa na imara. Taifa hili la kibeberu limepiga hatua kubwa sana katika mambo yake, elimu, sanaa, technolojia, jeshi, huduma za kijamii kama afya mpaka dhambi...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Marekani inavuna ilichopanda kufuatia kuibuka kwa wimbi la kuacha kutumia sarafu ya dola

    Siku hizi, wimbi la kuacha kutumia sarafu ya dola ya kimarekani “dedollarization” limeibuka kila pembe ya dunia. Kutoka India, Brazil hadi China na Russia, kulingana na takwimu zisizokamilika, hivi sasa kuna zaidi ya nchi 60 ambazo zinachukua hatua za kuacha kutumia dola kwa njia mbalimbali...
  20. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Marekani: Donald Trump ashtakiwa kwa makosa 34

    Licha ya kufunguliwa mashtaka hayo ya kughushi nyaraka za biashara ikiwemo malipo haramu ya Dola 130,000 kwa Staa wa filamu za ngono Stormy Daniels, Trump amewaambia wafuasi wake kuwa hana hati. Akizungumza akiwa nyumbani kwake Florida baada ya kutoka Mahakamani Jijini New York, Trump amesema...
Back
Top Bottom