Iran: Makamanda wa US wapo Tel Aviv kuongoza mauaji ya kimbari Gaza

Malaria 2

JF-Expert Member
Oct 17, 2023
2,646
3,936
Kamanda wa Kamandi Kuu ya Khatam al-Anbiya ya Jeshi la Iran amesema makamanda wa Kamandi Kuu ya Jeshi la Marekani katika eneo la Asia Magharibi (CENTCOM), na vile vile makamanda wa Kikosi cha Majini cha nchi hiyo wapo Tel Aviv kuwasaidia maafisa wa utawala haramu wa Israel kufanya mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza.

Meja Jenerali Gholam Ali Rashid, Kamanda wa Kamandi Kuu ya Khatam al-Anbiya alisema hayo jana Jumanne hapa Tehran na kuongeza kuwa: Majeshi ya Iran yana taarifa kwamba makamanda wa CENTCOM na vile vile jeshi la Marekani na jeshi lake la baharini wanashirikiana na makamanda wa Israel katika kambi ya kijeshi iliyoko Tel Aviv kusimamia na kuongoza mashambulizi ya kinyama ya utawala wa Kizayuni dhidi ya taifa la Palestina.

Kamanda huyo amesema kushindwa Wazayuni katika Operesheni ya Kimbunga cha al-Aqsa ni moja ya vipigo vikubwa vya aina yake ambavyo havijawahi kushuhudiwa.

Meja Jenerali Gholam Ali Rashid ameongeza kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel, si tu kwamba umepata pigo kubwa bali pia umeshindwa kwa fedheha na wanamuqawama wa Palestina.
 
Israel wameshasema, askari wake waliokufa wamefikia 500 na hiyo sio ajabu, ndio matokeo ya vita, but at the end of the day, watashinda vita na hamas itafutwa na Gaza kaskazini haitakaliwa na wapalestina tena kwasababu wakiwa huru wanaruhusu hayo kufanyika, itakaliwa kimabavu na israel kama ilivyokuwa kabla ya 2005.
 
Unajidanganya. Kafiri lini kamshinda muislam?
 
Kamanda wa Kamandi Kuu ya Khatam al-Anbiya ya Jeshi la Iran amesema makamanda wa Kamandi Kuu ya Jeshi la Marekani katika eneo la Asia Magharibi (CENTCOM), na vile vile makamanda wa Kikosi cha Majini cha nchi hiyo wapo Tel Aviv kuwasaidia maafisa wa utawala haramu wa Israel kufanya mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza.

Meja Jenerali Gholam Ali Rashid, Kamanda wa Kamandi Kuu ya Khatam al-Anbiya alisema hayo jana Jumanne hapa Tehran na kuongeza kuwa: Majeshi ya Iran yana taarifa kwamba makamanda wa CENTCOM na vile vile jeshi la Marekani na jeshi lake la baharini wanashirikiana na makamanda wa Israel katika kambi ya kijeshi iliyoko Tel Aviv kusimamia na kuongoza mashambulizi ya kinyama ya utawala wa Kizayuni dhidi ya taifa la Palestina.

Kamanda huyo amesema kushindwa Wazayuni katika Operesheni ya Kimbunga cha al-Aqsa ni moja ya vipigo vikubwa vya aina yake ambavyo havijawahi kushuhudiwa.

Meja Jenerali Gholam Ali Rashid ameongeza kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel, si tu kwamba umepata pigo kubwa bali pia umeshindwa kwa fedheha na wanamuqawama wa Palestina.
Muandishi utataja kila kitu lakini lazima ugaidi utokomezwe. Taja sijui wanamuqawama, centcom, al anbiya

Taja vyote lakini ugaidi utatokomezwa tuuu, hata kama gaidi ni mama mjamzito lazima auwawe, ili maisha yaendeleee
 
Kamanda wa Kamandi Kuu ya Khatam al-Anbiya ya Jeshi la Iran amesema makamanda wa Kamandi Kuu ya Jeshi la Marekani katika eneo la Asia Magharibi (CENTCOM), na vile vile makamanda wa Kikosi cha Majini cha nchi hiyo wapo Tel Aviv kuwasaidia maafisa wa utawala haramu wa Israel kufanya mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza.

Meja Jenerali Gholam Ali Rashid, Kamanda wa Kamandi Kuu ya Khatam al-Anbiya alisema hayo jana Jumanne hapa Tehran na kuongeza kuwa: Majeshi ya Iran yana taarifa kwamba makamanda wa CENTCOM na vile vile jeshi la Marekani na jeshi lake la baharini wanashirikiana na makamanda wa Israel katika kambi ya kijeshi iliyoko Tel Aviv kusimamia na kuongoza mashambulizi ya kinyama ya utawala wa Kizayuni dhidi ya taifa la Palestina.

Kamanda huyo amesema kushindwa Wazayuni katika Operesheni ya Kimbunga cha al-Aqsa ni moja ya vipigo vikubwa vya aina yake ambavyo havijawahi kushuhudiwa.

Meja Jenerali Gholam Ali Rashid ameongeza kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel, si tu kwamba umepata pigo kubwa bali pia umeshindwa kwa fedheha na wanamuqawama wa Palestina.
walianza wenyew
 
huko peponi ndio kuzimu na jehanum, mungu aliyewadanganya uongo kama huo ni shetani na ibilisi, na mtaenda kuota naye moto wa jehanum. pole sana.
Nakuonea huruma; wenzao wanasilimu wewe umekazania ujinga kwenye bufuru lako
 
Muislam akimua kafiri ktk vita anaingia peponi na akiuliwa yeye anaingia peponi. Wakati kafiri akifa au akiua moto kwa moto
Tofauti na wewe kafiri
Acha hadithi za kwy Dini za kusadikika kwamba ukifa unaenda wapi?. Ukifa kisayansi umekufa tuuu. Mambo ya apa duniani tunamalizana apa apa kiduniani
 
Nakuonea huruma; wenzao wanasilimu wewe umekazania ujinga kwenye bufuru lako
kuna muislam yeyote alishawahi kufa akarudi akawasimulia alichokikuta huko? natamani ingekuwa hivyo ili pengine awafumbue macho. tunasema mungu wenu ni wa uongo, kwasababu kwanza anashirikiana na ushawi, uganga na ushirikina, pia anayakubali majini, mnaswali pamoja. hicho tu ndio ungestuka kwamba hii imani sio sahihi kwasababu majini ni mashetani inakuwaje mungu mnayemsema ni mtakatifu akashirikiana au kuyakubali majini?
 
Iran na wao wanaendelea na mauaji ya WASICHANA WA SHULE WANAOPINGA KUVAA HIJAB, na wanaoandamana.
 
Vijana na watoto wadogo wakisaidiwa na mama na dada zao wamefanya maajabu tarehe 7/10/2023.
yap, walifanya maajabu sana aisee, na walifanikiwa pakubwa mno. though upande wa pili viwanda vinazidi kutengeneza mifuko ya nailoni kiukusanyia mabaki ya ndugu zao wanaofumuliwa usiku na mchana. kuna mmoja jana niliona amesambaratishwa na bom wamemuweka kwenye rambo, kuna uwezekano nusu ya Gaza watu wakawa walemavu kwa namna moja ama nyingine. utasema huo ni ushindi?

kwa watu wenye akili wasingeshangilia kilichotokea aidha kwa israel au palestina, kifo ni kibaya Faiza, hasa kwenu ninyi msiomjua Mungu wa kweli kwasababu mkifa mnaenda moja kwa moja motoni, hamjamwamini Yesu Kristo kama mwokozi wa maisha yenu, mnaamini mashetani na majini yasiyookoa.
 
Mtumwa wa waarabu ktk ujinga wako! Nenda kawe houseboy mtumwa uarabuni, Afrika kwa ajili ya waafrika
Mimi sio mwarabu bali ni muafrika muislam ninaeijitambua. Wewe hujitambu unahsi umeletwa duniani kupamba na uislam. Kumbe umeumbwa ili uwe muislam uokoke na moto. Allah akuongoe
 
Back
Top Bottom