marekani

  1. Haya ndio mambo ambayo Marekani na Tanzania zinafanana kwa sasa. Soma uyajue

    Wakuu vipi, kwema. Nimefuatilia kwa makini mambo yanayoendelea duniani, nikagundua kwamba Marekani na Tanzania yetu kuna baadhi ya mambo huwa tunafanana haswa kwa upande wa mambo ya kufukia mashimo. 1) Nikianza na Taifa kubwa Marekani: Hawa jamaa baada ya kusikia kuwa kuna mzozo mkubwa umezuka...
  2. Nyaraka za siri za Marekani na mpango wa kumuua Putin zaanikwa

    Zimejadili mpango wa kumuua Putin; Marekani yakiri uvujaji wa nyaraka za kijasusi ni jambo hatari. Marekani imekiri kwamba uvujaji wa nyaraka za siri za Wizara ya Ulinzi wa nchi hiyo, Pentagon ni jambo hatari na kwamba suala hilo ni uvujishaji mkubwa wa taarifa za kijasusi. Sambamba na hayo...
  3. Marekani: Elon Musk apinga mpango wa kuifungia TikTok

    Mmiliki wa Twitter, Elon Musk amesema licha ya kuwa hatumii mtandao huo lakini hakubaliani na mipango inayodaiwa kuwa mbioni kuufungia mtandao huo Nchini Marekani kutokana na sababu za zinazodaiwa kuwa ni za usalama. Elon Musk amesema "Sikubaliani na wowote unaohusisha kuifungia TikTok japokuwa...
  4. Bunge lingefanya kazi za kibunge kwa kamati, jifunzeni kwa Bunge la Marekani

    Huo mfumo tunaotumia sasa wa bunge zima na wabunge wote kujadili kila masuala hautupi tija na pia unaligharimu taifa bila umuhimu wote. Kama huu ndio mfumo wa mabunge ya jumuiya ya madola basi hauna tija kwetu inabidi tuachane nao tu. Ilipaswa kuwe na kamati za kisekta za bunge kujadili na...
  5. L

    Marekani yapaka matope China katika suala la madeni barani Afrika

    Hivi karibuni, tatizo la madeni barani Afrika limefuatiliwa sana na jumuiya ya kimataifa. Marekani imetumia fursa hii kuikashifu China kuwa kikwazo cha utatuzi wa madeni ya nchi za Afrika. Lakini ukweli ni kwamba, China imetoa mchangao zaidi katika suala la madeni ya nchi za Afrika, jambo ambalo...
  6. S

    BBC: Special forces toka Marekani, Uingereza, na nchi za NATO wanapigana vita Ukraine, lakini wameshindwa kuikomboa Ukraine

    Documents zilizoliki za Pentagon zimeonesha kuwa wanajeshi wa vikosi maalumu toka Marekani, Uingereza, na nchi nyingine za NATO wapo uwanja wa vita Ukraine wakipigana na masecurity guards wa Urusi (wargner group). Cha kusikitisha na kuhuzunisha ni kuwa kwa zaidi ya mwaka sasa vikosi hivyo...
  7. I

    Sarafu ya Russia yashuka thamani dhidi ya dola ya Marekani

    Kushuka kwa bei ya mafuta na hofu kuhusu safari za mtaji kulisaidia kusukuma ruble ya Urusi hadi kiwango chake dhaifu dhidi ya dola ya Marekani katika mwaka mmoja siku ya Jumatatu, hatua ya hivi punde zaidi katika kile ambacho kimekuwa mabadiliko makubwa ya bahati ya sarafu hiyo. Ruble...
  8. Marekani wahangaika kumtafuta aleivujisha taarifa za siri za kijeshi kuhusu vita ya Ukraine

    Serikali ya Marekani pamoja na wizara ya Ulinzi na makao makuu ya kijeshi Pentagon bado wapo na kitendawili cha kutegua mtu alievujisha taarifa za siri za kijeshi kuhusu vita ya Ukraine. Hadi sasa imefahamika kuwa taaarifa hizo zilitokea katika mchezo wa computer yaani "online game" na zilikuwa...
  9. Dua zenu dhidi ya Marekani zinakwama wapi?

    Wazee wa "death to America" tazameni hii picha kisha mjiulize dua zenu huwa zinakwama wapi. Ni taifa lililobarikiwa sana na lenye nguvu nyingi, nahisi mojawapo wa sababu kubwa ni kwa vile wanaongoza kwenye kutoa misaada duniani, hivyo wanabarikiwa sana, pia mkija kwenye masuala ya imani, wengi...
  10. L

    “Ni upuuzi tu!” Wanamtandao wa Afrika wakasirika baada ya Taasisi ya Marekani kuja kupaka matope tena

    Wiki iliyopita, Wizara ya Mambo ya Nje ya China ilitangaza kuiwekea vikwazo Taasisi ya Hudson ya Marekani inayounga mkono vitendo vya kuitenganisha Taiwan na China. Kwa muda mrefu, taasisi hiyo ya washauri bingwa ya Marekani imekuwa ikiishambulia China, na watafiti wake wametoa tafiti na ripoti...
  11. Siri ya Vyura wa Kihansi kutunzwa Marekani

    Miongoni mwa habari zilizozua gumzo hivi karibuni ni Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kutumia Sh611.92 milioni kutunza vyura wa Kihansi huko Marekani, gazeti hili limefan-ya uchambuzi, kukusanya maoni na taarifa muhimu zinazopaswa kufahamika na umma kuhusu viumbe hao wanaopatikana Tanzania...
  12. Marekani: Mtu mwenye silaha awaua watano kwa risasi benki

    Aliyehusika kuanzisha shambulizi la risasi ni Connor Sturgeon (25) aliyekuwa mfanyakazi wa Benki husika ambaye siku chache zilizopita alijulishwa kuwa atafukuzwa kazi. Mtuhumiwa ambaye naye alifariki kwa kupigwa risasi na Askari, alikuwa akitumia Bunduki aina ya AR-15-style alitumia Instagram...
  13. J

    Hii ndiyo sababu Dola ya Marekani bado itazidi kuwa hela inayoaminiwa zaidi duniani

    Pamoja na vita na kampeni ya Urusi na China dhidi ya dola ya Marekani tangia vita ya Ukraine ianze, dola ya Marekani imezidi kuonyesha ndio hela stable zaidi duniani. Dola imezidi kubaki imara kama chuma huku fedha za nataifa mengine tajiri zikiporomoka na kuifanya dola kuendelea kuwa hela...
  14. Naanza kupata mashaka kuiona serikali ya Rais Samia kuwa karibu na Mabeberu na vitendo vya rushwa kushamiri nchini

    Ni takribani miaka miwili sasa tangu nuache kuandika maoni yangu hapa Jamii Forum. Hata hivyo leo nimeona nirudi tena kwani kuna vitu vya kukera vimeanza kujitokeza. Wakati hayati Magufuli alivyochukua nchi nilivutiwa sana na mambo aliyokuwa anayafanya. Nilikuwa mstari wa mbele kumtetea pale...
  15. Hivi ndivyo Marekani alivyoiharibu Iraq

    Ni miaka 20 imepita sasa tangu marekani aivamie Iraq kwa kile kinachosemekana Saddam Hussein alikuwa anamiliki silaha hatari za maangamizi ,anafadhili magaidi pia alikuwa anatesa raia wake, hivyo marekani kwa kibali Cha UN ikafanya kitu alichokuwa anakitamani kwa muda mrefu. Mambo yalianzaje...
  16. Macron aitaka Ulaya isijihusishe kwenye mgogoro wa China na Marekani kuhusu Taiwan

    Macron amesema ulaya lazima ipunguze utegemezi wake kwa Marekani pia iepuke kuingizwa kwenye mzozo kati ya China na Marekani kuhusu Taiwan, "Ulaya lazima isiingie kwenye makabiliano kati ya Marekani na China kuhusu Taiwan, Wazungu lazima waamke na kuepuka kufuata mdundo wa Marekani", Prez...
  17. I

    Mataifa kadhaa ya kiafrika yakabiliwa na upungufu wa dola ya Marekani

    Mataifa kadhaa ya kiafrika yakabiliwa na upungufu wa dola ya Marekani hali ambayo inapelekea kupanda kwa gharama za maisha katika mataifa hayo. Mataifa kama Kenya, Misri, Ghana, Nigeria, Zambia na Zimbabwe ni mifano ya hayo yanayokabiliwa na upungufu huo...
  18. Hivi mbona ndege ya jeshi la marekani( c-17 globemaster) route zake haziishi kwenye anga letu

    Na leo imepita tena. Kuna kipi kilichojificha.😭😭😭
  19. Marekani, Ujerumani na Hungary zinapinga pendekezo la Ukraine la kuwa na "mpango" wa kujiunga na NATO

    Marekani, Ujerumani na Hungary zinapinga majaribio ya Poland na mataifa ya Baltic la kuipatia Kiev "mpango" wa kuwa mwanachama wa NATO katika mkutano wa kilele wa NATO wa Julai. Washington ina wasiwasi kwamba kuzidisha uhusiano na Kiev na muungano huo wakati wa vita kunaweza kuchangia katika...
  20. Marekani walia wakikumbuka huku Taliban wakionesha magari ya kijeshi

    Hivi karibuni jeshi la Afghanistan chini ya Taliban ilionesha mamia kadhaa ya magari ya kijeshi ambayo wamesema yaliachwa na jeshi la Marekani katika haraka ya kukimbia hapo mwaka 2021. Kwa upande mwengine ikulu ya White house imemtupia lawama za aibu hiyo raisi Trump ambaye muda huo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…