marekani

  1. JamiiForums Tanzania Haya ndiyo majibu ya Iran na washirika wake baada ya kushambuliwa na Marekani

    Iran kupitia kwa wizara yake ya mambo ya nje imesema Marekani imefanya kosa kubwa sana la kimkakati kwa kushambulia maeneo ya Iraq na Syria. Kwa upande wa Iraq imesema haitaki nchi yake iwe ni uwanja wa kujibizana mahasimu na kwamba inataka majeshi ya Marekani yaliyobaki yaondoke haraka nchini...
  2. JamiiForums Tanzania Mpaka sasa vifo 40 vimeripotiwa kutokana na mapigo wanayofanya Marekani kwa maslahi ya Iran

    Na hapo movie ndio inaanza tu.... US launches retaliatory strikes in Iraq, Syria; nearly 40 reported killed The strikes hit targets including command and control centers, rockets, missiles, and drone storage facilities, as well as logistics and munition supply chain facilities, the US military...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Pentagon ya Marekani yaanzisha mashambulizi ya kulipiza kisasi nchini Syria, Iraq baada ya vifo vya wanajeshi

    PENTAGON : MAREKANI YAANZA MASHAMBULUZI YA KULIPA KISASI KWA KUPIGA NGOME ZA VIBARAKA WA IRAN NCHINI IRAQ NA SYRIA. SPECIAL REPORT https://m.youtube.com/watch?v=ckOSPG_A8AI Marekani yashambulia mgambo vikaragosi vya Iran ambao walishambulia ngome ya askari wa Marekani nchini Jordan na...
  4. JamiiForums Tanzania Marekani imeshaamua kupiga Syria na Iraq. Inasubiri hali ya hewa tu iwe safi ianze kazi

    Raisi Biden wa Marekani na wasaidizi wake wametangaza kuwa mipango yote ya kupiga vituo vya Iran ndani ya Syria na Iraq imekamilika.Kinachosubiriwa ni hali ya hewa tu iwe rafiki kwa kile walichodai kukwepa kusababisha madhara kwa raia. Na sisi walimwengu tunasubiri tuone athari ya vita hivyo na...
  5. JamiiForums Tanzania Uturuki kumekucha: Watetezi wa Palestina wavamia kiwanda cha Marekani na kushikilia mateka

    Kiwanda kimoja cha vyakula karibu na mji wa Istanbul kinachomilikiwa na kampuni ya kimarekani,Procter & Gamble kimevamiwa na watu waliovalia sare zenye nembo za kipalestina na kushikilia mateka kadhaa. Kampuni hiyo imethibitisha kutokea kwa tukio hilo kama walivyothibitisha polisi wa nchini humo...
  6. JamiiForums Tanzania Hizi ndio nchi ambazo Marekani na Israel hawawezi kuthubutu kuingiza pua zao kushambulia kijeshi

    Niaje waungwana Hapo chini naorodhesha nchi ambazo si Marekani wala Israel itaweza kuthubutu kuingiza pua yake kuzivamia kijeshi kwa namna yoyote ile. Hii ni kutokana na uwezo mkubwa wa kijeshi, kiintelejensia, kiteknolojia ni kiuwezo zilizo nazo nchi hizo katika kulikalisha chini na...
  7. I

    JamiiForums Tanzania Russia yadai kuirejesha Alaska toka kwa Marekani

    Vita na Marekani juu ya Alaska "haviepukiki," asema Medvedev. Kulingana na yeye, Urusi haitarudi Alaska, ambayo iliuzwa kwa Marekani katika karne ya 19. "Naam, iwe hivyo. Na tulitarajia Alaska kurudi siku yoyote na sasa vita haviepukiki,” Medvedev aliandika leo kwa Kiingereza kwenye X (zamani...
  8. I

    JamiiForums Tanzania Russia yadai kuirejesha Alaska toka kwa Marekani

    Vita na Marekani juu ya Alaska "haviepukiki," asema Medvedev. Kulingana na yeye, Urusi haitarudi Alaska, ambayo iliuzwa kwa Marekani katika karne ya 19. "Naam, iwe hivyo. Na tulitarajia Alaska kurudi siku yoyote na sasa vita haviepukiki,” Medvedev aliandika leo kwa Kiingereza kwenye X (zamani...
  9. JamiiForums Tanzania Marekani haina haki kulipiza kisasi kwa kuuliwa askari wake watatu. Watakutana na wasichokitarajia

    Sergeant William Jerome Rivers, 46, Specialist Kennedy Ladon Sanders, 24 and Specialist Breonna Alexsondria Moffett, 23 Hao hapo juu ndio askari watatu wa Marekani waliokufa kwenye shambulio la Droni huko Jordan na ambao Pentagon imeazimia kulipiza kisasi kikubwa kutokana na vifo vyao. Makundi...
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Marekani inatumia shinikizo na nguvu laini kwa Kenya kuunga mkono vita dhidi ya Wahouthi nchini Yemen

    Marekani na washirika wake wanatumia shinikizo na nguvu laini kwa Kenya kuunga mkono vita dhidi ya Wahouthi nchini Yemen - na kwa kuongeza vita vya Israel huko Gaza - wakilenga kumaliza mfululizo wa mgomo wa kutatiza meli zinazosafirisha bidhaa kupitia Bahari Nyekundu. Nairobi katika muda wa...
  11. JamiiForums Tanzania Marekani yavunja Rekodi yake ya kuuza silaha nyingi nje ya Nchi

    Mauzo ya silaha za Marekani nje ya Taifa hilo kwa Mwaka 2023 yameongezeka kwa 56% tofauti na ilivyokuwa Mwaka 2022, yakifikia jumla ya Dola Bilioni 238 huku uvamizi wa Urusi dhidi ya Ukraine ukizidisha mahitaji hayo ya silaha. Poland ambayo iko katika harakati za kupanua jeshi lake, ilifanya...
  12. JamiiForums Tanzania Vifaa vya kijeshi vya Kimarekani

    Hawa jamaa kuwafikia ni safari. Wenyewe wanasema haijawahi kutokea jeshi lenye nguvu duniani kama la Marekani katika history ya dunia Yametokea majeshi mengi sana ktk historia ya dunia kama waajemi, waamedi, warumi, wamisri, lakini jeshi la USA ndo jeshi lenye nguvu katika historia ya dunia...
  13. JamiiForums Tanzania Rais wa Namibia kuanza Matibabu ya Saratani nchini Marekani

    NAMIBIA: Rais Hage Geingob anatarajia kuanza Matibabu ya Saratani nchini Marekani ikiwa ni siku chache tangu Serikali ithibitishe kuwa Uchunguzi wa Kiafya umebaini Kiongozi huyo ana Ugonjwa wa Saratani. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Ofisi ya Rais, Ikulu, imesema kwa sasa, shughuli zote...
  14. JamiiForums Tanzania Houthi wanatumia mbinu za kivita ambazo zitaichosha Marekani kama ilivyotokea Ukraine

    Tamko kwamba Marekani haina tena pesa kuisaidia Ukraine limekuwa ni la wazi na hata taifa hilo limesema jukumu la kuendelea kuisaidia Ukraine kupigana na Urusi imewaachia wenzake 50 wafanye hivyo. Pamoja na tamko hilo kutokana na uchofu katika vita hivyo, Marekani pia imesema haina mpango wa...
  15. JamiiForums Tanzania Sishangai Mbowe anakutana na mabalozi wa Uingereza na Marekani kwa sababu familia yake nzima ni raia wa nchi hiyo

    Watoto wa Mbowe na Lissu wote ni raia wa Marekani na Uingereza. Mbowe kukutana na mabalozi wa nchi hizo hapa nchini sio ajabu kwa sababu watoto wa Mbowe wana utii kwa nchi ya Marekani na Uingereza, sio Tanzania. Mbowe hata akiiharibu Tanzania kwa maandamano na vita, yeye hana cha kupoteza kwa...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Freeman Mbowe akutana na Balozi wa Marekani nchini Tanzania Balozi Michael Battle leo kujadili kuhusu Demokrasia nchini

    Kikao hicho kimetokea Leo ikiwa bado siku Kadhaa Ili yafanyike Maandamano Ya Chama Chake una maoni gani??
  17. L

    JamiiForums Tanzania Hatimaye chombo cha habari cha nchini Marekani chaeleza ukweli kuhusu Xinjiang

    Hivi karibuni, Shirika la Habari la CBS la nchini Marekani lilichapisha waraka kuhusu safari ya ujumbe wake mkoani Xinjiang. Tofauti na habari zisizo za kweli zinazotangazwa na vyombo vingine vya habari vya nchi za Magharibi, waandishi wa habari wa CBS walieleza kile walichokiona na kukisikia...
  18. I

    JamiiForums Tanzania Marekani yateka silaha za Iran wakipelekewa wanamgambo wa Houthi

    Jeshi la Wanamaji la Marekani limeripoti kwamba limekamata silaha zilizotumwa na Iran kuwapa waasi wa Houthi wa Yemen wiki iliyopita. Jeshi la Marekani (CENTCOM) lilitangaza katika taarifa siku ya Jumanne kwamba Seals wa Jeshi la Wanamaji la Marekani walipata silaha hizo wakati wa shambulio la...
  19. JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari vya Ulaya na Marekani vikiripoti matukio

    1. Mwanaume mmoja aitwaye Johnson Powell amewachoma visu wanafunzi wanne na kuwaua huku wengine akiwapiga risasi. Tukio hilo lilitokea jioni ya leo. Mtuhumiwa huyo yupo kituo cha polisi. 2. Muhuni mmoja mweusi amewachoma visu wanafunzi wanne na wengine kuwaua kwa risasi katika chuo kimoja huko...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Ndoto ya Marekani na NATO kuishinda Urusi kwa kutumia mikono na damu ya Ukraine inaishia mdogo mdogo!

    Sasa hivi Marekani na NATO kwa ujumla wanajiondoa mdogo mdogo na zigo lote wanamwachia Zelensky na Ukraine yake! Ushindi ungepatikana wangesema ni wao wameshinda, lakini kwa sasa wanadai Ukraine inashindwa! Hata yule aliyekuwa waziri mkuu wa Uingereza aliyeizuia Ukraine kufikia makubaliano...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…