Uturuki kumekucha: Watetezi wa Palestina wavamia kiwanda cha Marekani na kushikilia mateka

Webabu

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
7,192
10,926
Kiwanda kimoja cha vyakula karibu na mji wa Istanbul kinachomilikiwa na kampuni ya kimarekani,Procter & Gamble kimevamiwa na watu waliovalia sare zenye nembo za kipalestina na kushikilia mateka kadhaa.
Kampuni hiyo imethibitisha kutokea kwa tukio hilo kama walivyothibitisha polisi wa nchini humo kutokea kwa tukio hilo,
Msemaji wa kiwanda hicho amesema kutokana na tukio hilo imebidi kuondoa wafanyakazi wa kiwanda hicho na kufanya mawasiliano na mamlaka za Ururuki ili kutatua mzozo huo.
Assailant takes hostages in Gaza protest near Istanbul
 
Inatafutwa sababu mtu apakwe mafuta aingiziwe mjegeje
 
Palestinian yyte ni gaidi
Mtoto wa panya ni panya ntoto
 
Hao mateka wataachiwa na kichapo kitaendelea Gaza kama kawaida
IMG_20240130_133219.jpg

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom