marekani

  1. JamiiForums Tanzania Marekani: Watu wapatao kumi wapigwa risasi na wanne wafariki wakiwa katika Sherehe

    Watu walikuwa wamehudhuria sherehe ya kifamilia kwenye uwanja wa nyuma wa nyumba yao walivamiwa na mtu asiyejulikana aliyeanza kuwamiminia risasi. Polisi wa Mjini Fresno, Califonia wameripoti. Polisi waliitikia wito mida ya saa mbili usiku baada ya kupokea taarifa ya tukio hilo kutoka kwa watu...
  2. JamiiForums Tanzania Wanawake wa Iran ndiyo waathirika wakuu wa vikwazo vya Marekani, hata taulo za kike wanakosa

    Mzuka wanajamvi! Njaa iliyoko Iran inatisha sasa hivi. Chakula chao kikuu wali na mayai vimeadimika. Kuna ufukara wa aina yake. Hii ni kutokana na vikwazo vya uchumi Marekani ameweka. Wanaoteseka sana ni akina mama. Pedi ama taulo za wanawake hamna kupatikana shida. Serikali inabana waandishi...
  3. JamiiForums Tanzania Marekani yaonya kuhusu kusitisha uhusiano wake na Sudan Kusini

    JUBA, Sudan Kusini SERIKALI ya Marekani imeonya kuwa italazimika kuutazama upya uhusiano wake na serikali ya Sudan Kusini baada ya viongozi wa Sudan Kusini kushindwa kuendeleza mchakato wa amani. Tamko hilo limekuja baada ya Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini na Kiongozi wa upinzani Dkt. Riek...
  4. JamiiForums Tanzania Tunajifunza nini kwa yanayotokea nchini Marekani kwa Rais aliyeko madarakani kufunguliwa mashitaka?

    Wote ni mashahidi kwa yanayotokea nchini Marekani hivi sasa kwa Bunge la nchi hiyo kuanza mchakato wa kumfungulia mashtaka Rais wa nchi hiyo kwa matumizi mabaya ya madaraka. Kwa kifupi katika kuelezea kuhusu sakata hilo ni kuwa inadaiwa kuwa Rais Trump alitumia vibaya madaraka yake kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Mambo ya kuzingatia unapotaka kuhamia au kuishi unapokuwa nchini Marekani

    Mambo muhimu ya kuzingatia au kufanya unapokuwa unaishi nchini Marekani. Epuka kuishi kwenye miji ya anasa na panga nyumba yenye gharama nafuu. Miliki usafiri wako mwenyewe achana na kutegemea usafiri wa umma Fanya kazi moja na tumia weekend yako kujumuika na ndugu, jamaa na marafiki...
  6. JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wawili wa zamani wa Twitter washtakiwa kwa kutumiwa na Saudi Arabia kuichunguza Marekani

    Wafanyakazi wawili wanaodaiwa kutumiwa na Saudi Arabia kuichunguza Marekani, wameshtakiwa wakishutumiwa kuwasaidia Maafisa wa Saudi Arabia kupata taarifa binafsi za watumiaji wa Mtandao huo wakiwemo wakosoaji Nyaraka za Makamani zilizochapishwa na jarida la ‘The Washington Post’ zimetaja majina...
  7. JamiiForums Tanzania Marekani iliwashitaki wapi Osama Bin Laden, Saddam Hussein? Kwanini Umoja wa Ulaya ulimuua Gadafi kama mnyama? Nani aliwawekea vikwazo?

    Hawa wanajiita Wanademokrasia ndio waliwaua Sadam, Osama na Abubakar Waliwashitaki Mahakama gani? Kwanini Umoja wa Ulaya ulimuua Gadafi kama mnyama? Nani aliwawekea vikwazo?
  8. JamiiForums Tanzania Madikteta wa Afrika wamefukuzwa Ulaya na Marekani, sasa wanapishana angani kuelekea Urusi

    Moja ya eneo duniani ambako siasa ya upinzani inadhibitiwa kwa mkono wa chuma ni Urusi na Uchina ambako leo ndiko madikteta wa Kiafrika waliofukuzwa Ulaya na Amerika wanapishana angani kunywa chai na kupumzisha akili zao huko. Kwabahati nzuri mimi ni shahidi mkuu, nimekaa Urusi, na Uchina, moja...
  9. JamiiForums Tanzania Ndege ya Vita ya Marekani imetua Florida Muda huu baada ya kukaa angani kwa muda mrefu ikirekodi hali ya usalama wa Taifa

    Ndege maalumu ya siri ilokaa angani kwa miaka 2 imetua Leo mjini Florida baada ya kukamilisha operation zake kukagua usalama wa USA dhidi ya Wabaya wake Inasemekana ni ndege pekee ambayo Ina uwezo wa kufanya orbital recording in long range, Target ni IS na Russia Britannica
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini Marekani inawasaka Waislamu waliowaita ISIS na kuwaua?

    Nashangazwa sana na Dunia Hii ya leo,Haki imekuwa batili,Dhulma inaonekana kuwa haki Damu za waislamu zimekuwa rahisi kumwagwa,kila mwenye kuuwa leo hujifunzia kwa waislamu. Tumepandikiziwa makundi na misimamo ya ajabu halafu tumehalalishiwa kuuwawa. Hapa kwetu tanzania,Ukiunga mkono Muamsho...
  11. JamiiForums Tanzania Marekani yafuta safari za ndege kwenda Cuba

    Waziri wa Mambo ya nje wa Marekani, Mike Pompeo ametoa taarifa kuwa wameiagiza wizara ya usafirishaji ya nchi hiyo kusimamisha safari zote za kuelekea Cuba isipokuwa zile za kuelekea uwanja wa ndege wa Jose Marti uliopo Havana. Pompeo amesema uamuzi huo umechukuliwa kama muendelezo wa vikwazo...
  12. JamiiForums Tanzania Angalizo kwa haters mkiona faya inamwagia maji ndege haijaungua ile ni salute msije humu kukurupuka inawaka moto

    KUNA WATU WAKIONA KATUKIO KADOGO GHAFLA WAKO HUMU SASA VYEMA KUWAJULISHA WOTE NA HATERS WA NDEGE ZETU MKIONA FAYA INAMWAGIA NDEGE MAJI INAPOTUA SIO KAMA KUNA MOTO NI SALUTE KWA NDEGE YETU KUIKARIBISHA NCHINI NA ILE NI ALAMA KWAMBA UKO NYUMBANI, NYUMBANI KUMNOGA MSIKURUPUKE KUJA HUMU KAMA MKO...
  13. JamiiForums Tanzania Marekani yapeleka ndege maalumu za mashambulizi mazito (B-1B Lancer Bombers) nchini Saudi Arabia

    Ndege maalumu za mashambulizi mazito (B-1B Lancer Bombers) zawasili nchini Saudi Arabia Jeshi la anga la nchini Marekani limetuma idadi isiyojulikana ya ndege maalumu za mashambulizi mazito na zenye kasi kubwa (Supersonic Bombers) aina ya Rockwell B-1 Lancer ama B-1B maarufu na ikijulikana kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Wazimbabwe waandamana kupinga vikwazo vya Marekani na EU kwa nchi hiyo

    Maelfu ya wananchi wa Zimbabwe jana waliandamana kumuunga mkono Rais Emmerson Mnangagwa kupinga vikwazo vilivyowekwa na Marekani pamoja na Umoja wa Ulaya dhidi ya nchi hiyo. Marekani na Ulaya imewawekea vikwazo maafisa wengi waandamizi wa Zimbabwe pamoja na Rais Mnangagwa kwa madai ya kukiuka...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Hivi nikweli wale watangazaji wa TBC walio tangaza Rais wa Marekani kamsifia mkuu wamesimamishwa kazi

    Hivi nikweli wale watangazaji wa TBC walio tangaza Rais wa Marekani kamsifia mkuu wamesimamishwa kazi
  16. JamiiForums Tanzania Hekaya za Marekani

    MICHEZO YA KIPUMBAVU INAYOENDELEA KTK DUNIA HII 1.Trump alisema bora ya ISIS kuliko waasi wa Kikurdi maana Wakurdi ni wabaya na wao si malaika. 2.Trump akasema temewamaliza hawa ISIS asilimia mia hatuna haja ya kupigana vita Syria isiyo na faida na mumuache Bwana Assad atawalinda Wakurdi dhidi...
  17. JamiiForums Tanzania CCM: Tunayataka mataifa yote duniani yaliyoiwekea vikwazo nchi ya Zimbabwe kuondoa vikwazo hivyo mara moja

    Makamu Mwenyekiti wa CCM BARA ataongea na umma juu ya msimamo wa chama na diplomasia ya kimataifa kutokea Ofisi ndogo za CCM - Lumumba. UPDATE Itakumbukwa kwamba Mkutano wa 10 wa Vyama vya Ukombozi vya Kusini mwa Afrika uliofanyika Zimbabwe tarehe9-12 Septemba 2019 uliazimia Vyama kupaza sauti...
  18. H

    JamiiForums Tanzania Diamond, Rayvanny, Nandy, Lil Ommy washinda tuzo Marekani

    Wasanii kutoka Tanzania washinda tuzo ya east entertainment awards USA ambapo hizo tuzo zilifanyika USA.Msanii wa kimataifa kutoka Tanzania diamond platnumz alishinda katika kipengele Cha best collaboration ft (baila),rayvanny na nandy wameshinda kwenye kipengele Cha best male/female east and...
  19. JamiiForums Tanzania Hotuba ya Waziri Kabudi Umoja wa Mataifa - UN, kwa niaba ya rais Magufuli - 27 Septemba 2019

    Leo Mh Paramagamba Kabudi amehutubia mkutano wa 74 wa Umoja 2a Taifa jijini NewYork marekani. Tanzania tumedhamiria kubadili maisha ya watu wetu: Kabudi Palamagamba Kabudi, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Tanzania akihutubia Mjadala Mkuu wa Baraza Kuu la Umoja wa...
  20. JamiiForums Tanzania Mambo yameiva: Jinsi Irani walivyoteka meli ya mafuta ya uingereza

    Jinsi Irani walivyoteka meli ya mafuta ya uingereza, mambo yameiva https://youtu.be/mbuRGf5cfNM
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…