Wanawake wa Iran ndiyo waathirika wakuu wa vikwazo vya Marekani, hata taulo za kike wanakosa

The Mongolian Savage

JF-Expert Member
Jul 5, 2018
6,185
13,608
Mzuka wanajamvi!

Njaa iliyoko Iran inatisha sasa hivi. Chakula chao kikuu wali na mayai vimeadimika. Kuna ufukara wa aina yake. Hii ni kutokana na vikwazo vya uchumi Marekani ameweka.

Wanaoteseka sana ni akina mama. Pedi ama taulo za wanawake hamna kupatikana shida. Serikali inabana waandishi na uhuru wa habari wasitangaze. Ni propaganda tu.

Ajira hamna, hela imeshuka thamani na njaa inatamalaki.

Ayatollah na genge lake pekee wanakula keki ya taifa.

Source Aljazeera na hii Aljazeera ni pro Iran na Qatar na Iran wanasikizana lakini kwenye comment hebu tuwasubiri wamatumbi wairan weusi

================= ================

On November 5, further US sanctions on Iran went into effect and are expected to bring devastating consequences on the Islamic Republic and its people.

It is feared that women along with children and impoverished Iranians are most at risk.

Fatemeh, 27, works at a public health policy start-up and teaches biology at a high school in the Iranian capital, Tehran.

Born in Iran in the aftermath of the Iran-Iraq war, she and her family moved to Canada and relocated to California at age 13.

After graduating, she decided that she wanted to return. Like many others, she has already started to feel the effect of sanctions.

"It definitely hasn't been easy," she told Al Jazeera. "Six, seven months ago, when the dollar and [rial] went crazy, prices went up. It makes me doubt if [returning] was really a good decision, and whether I can sustain this for much longer.

"No matter how much money I make, it is worth nothing in dollars."

With the devaluation of Iran's currency, Fatemeh's monthly salary is equivalent to about $160, a steep decrease from what it used to be, around $800.

To add to income woes, women's products such as menstrual hygiene items and certain medication have become steadily more difficult to find and much more expensive.

Over time, sanctions eventually impoverish the middle class and they are designed to do that.
Azadeh Moaveni, gender consultant at International Crisis Group

Fatemeh said searching for Western brands like Always or Kotex can be frustrating.

"I went to six or seven pharmacies in a day and I just couldn't find them anywhere," she said.

She ventured to Jordan, a more affluent part of town, but the shelves were empty there, too.

Even Iranian brands have become more expensive; what was once 100,000 rial is now being sold for 160,000 rial, which is now worth around $3.80.

Azadeh Moaveni, gender consultant at the International Crisis Group, told Al Jazeera: "There are micro-shortages of every day things which erode the quality of life of different classes in different ways. Over time, sanctions eventually impoverish the middle class and they are designed to do that."

The scarcity has also led to panic buying and hoarding.

"From the seller's perspective," Fatemeh said, "they might hold on to them and wait until the next week to try to sell their products for a higher value."

Yasaman, a 22-year-old university graduate, works in her family's fast food restaurant in Shiraz.

"People just aren't buying anything right now if they can avoid it. I haven't gone shopping recently, all the items have become more expensive," she told Al Jazeera. "We had to increase the prices on our menu but customers understood that we didn't have a choice."

Khamenei's call

After Norouz (New Year) celebrations last March, Ayatollah Ali Khamenei called on Iranians to support domestic production.

"A lot of people have taken it to heart," Fatemeh said, "even those who don't necessarily politically agree with Khamenei."

But even locally made products are more expensive. Nappies, for example, are made with imported raw materials.

Analysts warned that economic sanctions could ultimately affect the traditional family dynamic and leave women vulnerable [Fatemeh Bahrami/Anadolu Agency/Getty Images]

One woman told Al Jazeera, speaking on the condition of anonymity, that the sanctions could lead to a lower birth rate.

She explained that people have been reconsidering having children because essential items such as nappies and formula are now unaffordable, even for an average dual-income household.

"When the Central Bank is sanctioned, it makes purchasing goods near impossible," said Washington, DC-based Sussan Tahmasebi, the director of Femena, an organisation supporting women's rights.

She explained that the inability to transfer funds through SWIFT - meaning from one country to another - is the main problem.

Long-term effect

Beyond the immediate and visible effect - shortages and high prices - analysts warned that sanctions could disrupt the family dynamic.

Moaveni, the International Crisis Group consultant, said: "Women, as organisers of family life, healthcare, education, will often carry the burden of trying to come up with alternatives for their families in all instances.

"If men can't provide for their families in a society that is still largely traditional and patriarchal, if they can't fulfil the [perceived] duties of their gender role, it does tend to create tension and encourage forms of more assertive masculinity that are not as constructive to women having a say in the family unit.

"Not being able to earn or support the family has an impact on men's conception of themselves."

Further US sanctions on Iran went into effect on November 5, 2018 [Abedin Taherkenareh/EPA-EFE]

On Monday, US Secretary of State, Michael Pompeo tweeted in Farsi: "[US] sanctions do not apply to the sale of food, agriculture, medicine, and medical devices.

"[The US] stands in solidarity with the Iranian people."

But according to more than 50 academic studies, economic sanctions in the past on Iran have had a humanitarian effect.

They have adversely affected the standard of living for ordinary Iranians, made certain medications inaccessible, and triggered public health concerns.

"People say medicine isn't sanctioned and that humanitarian aid isn't sanctioned," said Tahmasebi, "but it is."



Source: Al-Jazeera
 
Wewe nchi yako ambayo haijawekewa vikwazo mbona imejaa umasikini mpaka umeikimbia na kwenda kufanya vibarua kwa wazungu wanao kuona kama mbwa.

Alafu wewe ndo unaleta propaganda maana nchi kama Iran si nchi ya kutegemea pedi kutoka nje.
 
SERIKALI ya Iran ni ya kipuuzi sana.

1. Wamewekeza pesa nyingi kwenye jeshi na kusahau kuwekeza raia wanaishi maisha magumu.70%ya wairan wanaishi katika umasikini.
2. Viongozi wao Akina Ayatolah ni wabinafsi sana wao ndio wanafaidi national cake huku wengine wakipunga mikono tu.

3. Viongozi si wapenda diplomasia,watu wa visasi n.k.Hii itawafanya wafeli katika mengi.

NB: Raia washajua kuwa wao wanaimbishwa nyimbo za kin'aa kwa hiyi wamechoka wanajua kodi zinazopanda si kwa ajili yao,ni kwa ajili ya jeshi na nyukia.Unaandaa mabomu wakati watu wanalala njaa huu ni upuuzi.
 
SERIKALI ya Irani ni ya kipuuzi sana,
1.wamewekeza pesa nyingi kwenye jeshi na kusahau kuwekeza raia wanaishi maisha magumu.70%ya wairan wanaishi katika umasikini.
2.viongozi wao Akina Ayatolah ni wabinafsi sana wao ndio wanafaidi national cake huku wengine wakipunga mikono tu.

3.viongozi si wapenda diplomasia,watu wa visasi n.k.Hii itawafanya wafeli katika mengi.

NB: raia washajua kuwa wao wanaimbishwa nyimbo za kin'aa kwa hiyi wamechoka wanajua kodi zinazopanda si kwa ajili yao,ni kwa ajili ya jeshi na nyukria.Unaandaa mabomu wakati watu wanalala njaa huu ni upuuzi.

Ebu tupe takwimu kutoka chanzo chochote cha takwimu kutoka benki ya dunia kinacho onesha ya kwamba asilimia 70 ya raia wa Iran ni masikini.

Na utupe ripoti yeyote kutoka shirika la chakula duniani inayo onesha Iran ni kati ya nchi zenye njaa duniani .
Mwisho tuwekee bajeti ya Iran mwaka huu na bajeti ya kijeshi ilikuwa ni asilimia ngapi.

Bila kutuletea takwimu za hayo niliyo yataja hapo juu basi utakuwa unaendekaza ujuaji wa kipumbavu.
 
Jon Stephano,

Yaani Watu Wanaotengeneza Drones Ndege Na Vitu Vyengne Mbali Mbali Washindwe Kutengeneza Pedi.

Poleni Sana

Vikwazo Vina Athari Sana Kwa Uchumi wa WAAJEMI Ila Sio Kama Mnavyo Tuaminisha Tunao Ifahamu IRAN
 
PUMBA
SERIKALI ya Irani ni ya kipuuzi sana,
1. wamewekeza pesa nyingi kwenye jeshi na kusahau kuwekeza raia wanaishi maisha magumu.70%ya wairan wanaishi katika umasikini.
2. viongozi wao Akina Ayatolah ni wabinafsi sana wao ndio wanafaidi national cake huku wengine wakipunga mikono tu.

3. viongozi si wapenda diplomasia,watu wa visasi n.k.Hii itawafanya wafeli katika mengi.

NB: raia washajua kuwa wao wanaimbishwa nyimbo za kin'aa kwa hiyi wamechoka wanajua kodi zinazopanda si kwa ajili yao,ni kwa ajili ya jeshi na nyukria.Unaandaa mabomu wakati watu wanalala njaa huu ni upuuzi.


1. Kwanza Vikwazo Vya Walivyo ekewa IRAN Ujue Kama Ndio Vinasababisha RAIA Wa IRAN kuteseka nawala sio utawala uliopo Madarakani

2. Viongozi wa IRAN Hawana Ubinafsi Wowote Nandio Maana Wanawafanya RAIA wa IRAN Waelewe UMUHIMU Wao wakujitegemea tofauti na sisi waafrika hasa wa east afrika mnaohisi bila wazungu hamuwez kusonga mbele

3. IRAN Hawakatai DIPLOMASIA Ila wanakataa kuonewa hakuna DIPLOMASIA Watakayo ikubali ya wao kuachana na miradi yao ya kutengeneza(Kurutubisha) nyuklia wkat hata hao wanao wakataza nao pia wanarutubisha kwa maslahi yao kwa nn IRAN Asirutubishe kama itakua mnahisi hapendi diplomasia sababu ya kukataa mazungumzo ya Nyuklia mtamhisi sana na hata kaa akubali

Mwisho: Maandamano IRAN Haya siyakwanza nawala hayatakua yamwisho Nayatapita kama yale ya 2009

Mnatamani WAAJEMI Waingie kwenye machafuko Ila mnashindwa kusema moja kwa moja


ACHENI CHUKI KWA NCHI ZINAZOJITAMBUA
 
10.jpg


20.jpg
 
Mkuu unakuwa blind na dini ndo maana huwezi kuyaona yote hayo.Irani mali nyingi inayokusanya inaipeleka kwenye kujiimarisha kijeshi na si kuboresha maisha ya raia hilo halina ubishi.
3.Kwani Iran ni nchi pekee ya kiislamu inayoonewa?kuna Saudi,kuna Quwait,UAE,Qwatar na nchi nyingi za kiislamu ambazo zinapeleka diplomasia mbele ndo nchi tajiri duniani.Irani anajifanya king ndo maana sasa kisulisuli kimepamba moto na kitaendelea kukolea miaka na miaka.Wairan sio wajinga kama wabongo.
PUMBA


1. Kwanza Vikwazo Vya Walivyo ekewa IRAN Ujue Kama Ndio Vinasababisha RAIA Wa IRAN kuteseka nawala sio utawala uliopo Madarakani

2. Viongozi wa IRAN Hawana Ubinafsi Wowote Nandio Maana Wanawafanya RAIA wa IRAN Waelewe UMUHIMU Wao wakujitegemea tofauti na sisi waafrika hasa wa east afrika mnaohisi bila wazungu hamuwez kusonga mbele

3. IRAN Hawakatai DIPLOMASIA Ila wanakataa kuonewa hakuna DIPLOMASIA Watakayo ikubali ya wao kuachana na miradi yao ya kutengeneza(Kurutubisha) nyuklia wkat hata hao wanao wakataza nao pia wanarutubisha kwa maslahi yao kwa nn IRAN Asirutubishe kama itakua mnahisi hapendi diplomasia sababu ya kukataa mazungumzo ya Nyuklia mtamhisi sana na hata kaa akubali

Mwisho: Maandamano IRAN Haya siyakwanza nawala hayatakua yamwisho Nayatapita kama yale ya 2009

Mnatamani WAAJEMI Waingie kwenye machafuko Ila mnashindwa kusema moja kwa moja


ACHENI CHUKI KWA NCHI ZINAZOJITAMBUA
 
Ebu tupe takwimu kutoka chanzo chochote cha takwimu kutoka benki ya dunia kinacho onesha ya kwamba asilimia 70 ya raia wa Iran ni masikini.

Na utupe ripoti yeyote kutoka shirika la chakula duniani inayo onesha Iran ni kati ya nchi zenye njaa duniani .
Mwisho tuwekee bajeti ya Iran mwaka huu na bajeti ya kijeshi ilikuwa ni asilimia ngapi.

Bila kutuletea takwimu za hayo niliyo yataja hapo juu basi utakuwa unaendekaza ujuaji wa kipumbavu.
Siwezi kukuwekea takwimu wewe nenda katafute mwenyewe bajeti ya Iran ya jeshi ni ngapi!?pia hii haihitaji akili nyingi maana Wairan sio wajinga kuandamana kuna vitu haviko sawa ila u ajifanya huoni
 
Siwezi kukuwekea takwimu wewe nenda katafute mwenyewe bajeti ya Iran ya jeshi ni ngapi!?pia hii haihitaji akili nyingi maana Wairan sio wajinga kuandamana kuna vitu haviko sawa ila u ajifanya huoni
Sasa kama hautaki kuweka hizo takwimu sasa tutaaminije ya kwamba unacho sema ni kweli?ndio maana nimekwambia toa takwimu ili kudhibitisha kile unacho kiongea.

Ndio maana nikwambia ya kwamba kama hauna udhibitisho wa hicho ulicho andika basi utakuwa una leta ujuaji wa kipumbavu.

Alafu kingine sababu ya maandamano inajulikana ni kwa sababu serikali imepandisha bei ya mafuta na sio nchi ya kwanza kufanya hivyo.

Mwezi ya 5 mwaka huu Ufaransa paliibuka maandamano makubwa baada ya serikali kupandisha bei ya mafuta sasa sijui na ufaransa wamewekeza pesa nyingi kwenye jeshi.
 
Mkuu unakuwa blind na dini ndo maana huwezi kuyaona yote hayo.Irani mali nyingi inayokusanya inaipeleka kwenye kujiimarisha kijeshi na si kuboresha maisha ya raia hilo halina ubishi.

3.Kwani Iran ni nchi pekee ya kiislamu inayoonewa? kuna Saudi, kuna Quwait, UAE,Qwatar na nchi nyingi za kiislamu ambazo zinapeleka diplomasia mbele ndo nchi tajiri duniani.Irani anajifanya king ndo maana sasa kisulisuli kimepamba moto na kitaendelea kukolea miaka na miaka.Wairan sio wajinga kama wabongo.
Haa ndio maana ninakwambia wewe ni mweupe kichwani, na una tabia ya kuongea mambo bila ya uthibitisho.

Na sema hivyo kwa sababu haujui hata ya kwamba Iran ni kati ya mataifa ya kiislam yenye nguvu za kiuchumi na kiviwanda.
Ngoja nikuwekee mataifa ya kiislam yenye uchumi mkubwa.

1:Indonesia
2:Saudia
3:Uturuki
4:Iran
5:Malasia
Kwa mashariki ya kati Iran ni ya pili kwa uchumi mkubwa baada ya saudia lakini pia ni ya kwanza kwa nguvu za kiviwanda ikifuatiwa na Israel.

Bwana utamu kakuelewesha vizuri kabisa ya kwamba ya kwamba matatizo ya wairani hayasababishwi na viongozi wa Iran bali yana sababishwa na mataifa ya magharibi yaliyo jaa chuki dhidi ya Irani.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom