Madikteta wa Afrika wamefukuzwa Ulaya na Marekani, sasa wanapishana angani kuelekea Urusi

Yericko Nyerere

Verified Member
Joined
Dec 22, 2010
Messages
16,746
Points
2,000

Yericko Nyerere

Verified Member
Joined Dec 22, 2010
16,746 2,000
Moja ya eneo duniani ambako siasa ya upinzani inadhibitiwa kwa mkono wa chuma ni Urusi na Uchina ambako leo ndiko madikteta wa Kiafrika waliofukuzwa Ulaya na Amerika wanapishana angani kunywa chai na kupumzisha akili zao huko.

Kwabahati nzuri mimi ni shahidi mkuu, nimekaa Urusi, na Uchina, moja ya agano kuu nilipoingia katika nchi hizo niliambiwa usije ukajadili siasa za nchi hizo kwani utakosa sifa ya kunywa pombe kali kutoka viunga vya Moscow, Zabalesk, St Petersburg na kule kaskazini mashariki ya mbali kunako Beijing. Walevi duniani wanapatikana Urusi. Huko Arusha na kwingineko huko wanaigiza tu.

Ukiwasikiliza wapambe wa Putin wanasema utawala wa Stalin, Gorbachev, Boris, na Medvedev zilikuwa tawala za Urusi ya walevi na yenye uchumi duni huku usalama ukizorota.

Lakini ukimsikiliza Alexei Navalny, mpinzani mkuu ambaye maisha yake tangu aingie kwenye siasa yako mikononi kwa polisi na mahakama, anasema nchi imekuwa geto la wala rushwa, na inaongozwa na genge linalowaua wakosoaji kokote wanakokimbilia duniani, na katika kampeni yake ya kupambana na rushwa amefanikiwa kuungwa mkono na mamia ya Warusi na kuhatarisha uimara wa Putin na chama chake cha Unite Russia.

Kwa mfano, mtandao wa BBC uliripoti kuwa uchaguzi wa bunge wa 2011, Alexei alihamasisha kupitia blogu yake maarufu kukichagua chama kingine chochote ila sio chama tawala cha United Russia, alichokitaja kuwa "chama cha wahalifu na wezi". Kauli iliyopata umaarufu.

United Russia kilishinda uchaguzi huo, lakini kwa uwingi mdogo na ushindi huo uligubikwa kwa tuhuma za udanganyifu uliochangia kuzuka maandamano mjini Moscow na katika miji mingine mikubwa.

Navalny alikamatwa na kuwekwa gerezani kwa siku 15 kufuatia maandamanoya kwanza mnamo Desemba 5 2011 lakini akabuka kuzungumza katika mkutano mkubwa wa kisiasa baada ya uchaguzi Moscow Desemba, uliohudhuriwa na watu 120,000.

Putin alichaguliwa tena kama rais kwa urahisi na kamati yenye nguvu ya uchunguzi nchini ikaidhinisha uchunguzi dhidi ya shughuli za Navalny za siku za nyuma, kiasi cha hata kuhoji sifa yake ya uwakili. Alipokamatwa kwa muda mfupi mnamo Julai 2013 kwa ubadhirifu wa fedha katika mji wa Kirov, hukumu hiyo ya miaka mitano ilitazamwa pakubwa kama ya kisiasa.

Aliachiliwa huru ghafla kupiga kampeni kwa uchaguzi wa u Meya Moscow, ambapo alipata 27% ya kura nyuma ya mshirika wa Putin, Sergei Sobyanin. Huo ulitazamwa kama ufanisi kutokana na kuwa ushindi wake ulitokana na intaneti na kwa kuzungumza na watu pekee.

Kesi yake ikageuzwa na mahakama ya juu zaidi Urusi kufuatia uamuzi wa mahakama ya haki za binaadamu ya Ulaya kwamba kesi yake haikusikizwa kwa usawa. Alafu katika kusikilizwa tena 2017, alishtakiwa kwa mara ya pili na kupewa hukumu ya miaka mitano jela.

Katika maoni yake akiwa jela, Alezei alisema hukumu hiyo ni jitihada ya kumzuia kuwania katika uchaguzi mkuu wa 2018. Mwaka huo Putin alipita kwa ushindi mzito huku mpinzani wake akiwa jela na kwa sheria ya Urusi Alexei alikosa sifa za kugombea. Na mwaka huo huo afya ya Alexei ilitia mushkeli kiasi cha kuibuka madai kuwa vyombo vya dola vimepanga njama ya kumua kwa sumu.

Hatua hiyo ikalazimu madaktari wamfanyie ukaguzi kubaini chanzo cha kuugua kwake ghafla baada ya kukamatwa hivi karibuni. Ripoti za awali kitabibu ziliashiria alipata mzio mkali uliochangia uso wake kufura macho kutoka maji na kutokwa na vipele mwilini, daktari wake alitilia maanani ripoti hiyo.

Ili kujua haya na mengine mengi, Soma kitabu cha Ujasusi wa Kidola na Kiuchumi.

Kwa ofa ya 50,000/= tu

Nunua kwa 0715865544 au 0755865544 (Yericko Nyerere) kisha tuma majina yako na mahali ulipo.

Kwa Dar utaletewa bure, nje ya Dar utalipia nauli 8,000.
IMG_20191028_205309_877.jpg
 
Nkanini

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2017
Messages
1,821
Points
2,000

Nkanini

JF-Expert Member
Joined Jun 6, 2017
1,821 2,000
Wakati President Putin akifanya Tea meeting na Madikiteta wetu,nyuma ya pazia anatuma ndege zake mbili za kisasa kabisa (zina uwezo wa kubeba bomu la nyukulia,Tu_160s)Africa ,na zimetua kwenye one of our most powerful national in Africa,lengo la Russia ndani ya bara letu ni kufanya biashara ya silaha tu,na hii ndio historia iliyopo since kipindi cha USSR,tutegemee hakuna siku ambayo risasi haitafywatuliwa ndani ya bara letu.
 
ntamaholo

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2011
Messages
11,766
Points
2,000

ntamaholo

JF-Expert Member
Joined Aug 30, 2011
11,766 2,000
Moja ya eneo duniani ambako siasa ya upinzani inadhibitiwa kwa mkono wa chuma ni Urusi na Uchina ambako leo ndiko madikteta wa Kiafrika waliofukuzwa Ulaya na Amerika wanapishana angani kunywa chai na kupumzisha akili zao huko.

Kwabahati nzuri mimi ni shahidi mkuu, nimekaa Urusi, na Uchina, moja ya agano kuu nilipoingia katika nchi hizo niliambiwa usije ukajadili siasa za nchi hizo kwani utakosa sifa ya kunywa pombe kali kutoka viunga vya Moscow, Zabalesk, St Petersburg na kule kaskazini mashariki ya mbali kunako Beijing. Walevi duniani wanapatikana Urusi. Huko Arusha na kwingineko huko wanaigiza tu.

Ukiwasikiliza wapambe wa Putin wanasema utawala wa Stalin, Gorbachev, Boris, na Medvedev zilikuwa tawala za Urusi ya walevi na yenye uchumi duni huku usalama ukizorota.

Lakini ukimsikiliza Alexei Navalny, mpinzani mkuu ambaye maisha yake tangu aingie kwenye siasa yako mikononi kwa polisi na mahakama, anasema nchi imekuwa geto la wala rushwa, na inaongozwa na genge linalowaua wakosoaji kokote wanakokimbilia duniani, na katika kampeni yake ya kupambana na rushwa amefanikiwa kuungwa mkono na mamia ya Warusi na kuhatarisha uimara wa Putin na chama chake cha Unite Russia.

Kwa mfano, mtandao wa BBC uliripoti kuwa uchaguzi wa bunge wa 2011, Alexei alihamasisha kupitia blogu yake maarufu kukichagua chama kingine chochote ila sio chama tawala cha United Russia, alichokitaja kuwa "chama cha wahalifu na wezi". Kauli iliyopata umaarufu.

United Russia kilishinda uchaguzi huo, lakini kwa uwingi mdogo na ushindi huo uligubikwa kwa tuhuma za udanganyifu uliochangia kuzuka maandamano mjini Moscow na katika miji mingine mikubwa.

Navalny alikamatwa na kuwekwa gerezani kwa siku 15 kufuatia maandamanoya kwanza mnamo Desemba 5 2011 lakini akabuka kuzungumza katika mkutano mkubwa wa kisiasa baada ya uchaguzi Moscow Desemba, uliohudhuriwa na watu 120,000.

Putin alichaguliwa tena kama rais kwa urahisi na kamati yenye nguvu ya uchunguzi nchini ikaidhinisha uchunguzi dhidi ya shughuli za Navalny za siku za nyuma, kiasi cha hata kuhoji sifa yake ya uwakili. Alipokamatwa kwa muda mfupi mnamo Julai 2013 kwa ubadhirifu wa fedha katika mji wa Kirov, hukumu hiyo ya miaka mitano ilitazamwa pakubwa kama ya kisiasa.

Aliachiliwa huru ghafla kupiga kampeni kwa uchaguzi wa u Meya Moscow, ambapo alipata 27% ya kura nyuma ya mshirika wa Putin, Sergei Sobyanin. Huo ulitazamwa kama ufanisi kutokana na kuwa ushindi wake ulitokana na intaneti na kwa kuzungumza na watu pekee.

Kesi yake ikageuzwa na mahakama ya juu zaidi Urusi kufuatia uamuzi wa mahakama ya haki za binaadamu ya Ulaya kwamba kesi yake haikusikizwa kwa usawa. Alafu katika kusikilizwa tena 2017, alishtakiwa kwa mara ya pili na kupewa hukumu ya miaka mitano jela.

Katika maoni yake akiwa jela, Alezei alisema hukumu hiyo ni jitihada ya kumzuia kuwania katika uchaguzi mkuu wa 2018. Mwaka huo Putin alipita kwa ushindi mzito huku mpinzani wake akiwa jela na kwa sheria ya Urusi Alexei alikosa sifa za kugombea. Na mwaka huo huo afya ya Alexei ilitia mushkeli kiasi cha kuibuka madai kuwa vyombo vya dola vimepanga njama ya kumua kwa sumu.

Hatua hiyo ikalazimu madaktari wamfanyie ukaguzi kubaini chanzo cha kuugua kwake ghafla baada ya kukamatwa hivi karibuni. Ripoti za awali kitabibu ziliashiria alipata mzio mkali uliochangia uso wake kufura macho kutoka maji na kutokwa na vipele mwilini, daktari wake alitilia maanani ripoti hiyo.

Ili kujua haya na mengine mengi, Soma kitabu cha Ujasusi wa Kidola na Kiuchumi.

Kwa ofa ya 50,000/= tu

Nunua kwa 0715865544 au 0755865544 (Yericko Nyerere) kisha tuma majina yako na mahali ulipo.

Kwa Dar utaletewa bure, nje ya Dar utalipia nauli 8,000. View attachment 1247557
Iko ukurasa wa ngapi?
 
MkamaP

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2007
Messages
7,821
Points
2,000

MkamaP

JF-Expert Member
Joined Jan 27, 2007
7,821 2,000

Kwani Urusi siyo Ulaya?
 
Sir Khan

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Messages
5,009
Points
2,000

Sir Khan

JF-Expert Member
Joined Jul 28, 2018
5,009 2,000
Ulaya na Amerika hawana shida na udikteta wako as long as you stand for their exploitative interests.
Ukiwanyima ulaji ndiposa wanaanza kukupaka masizi na kukuita dikteta.
Mnasema ufalme wa Saudia ni wakidikteta lakini UK na US wanausapoti.
Mnasema Kagame ni dikteta lakini wote tunajua how close Kagame and Trump are.
Watu weusi hamjui adui yenu ni nani that is why you are here cowtowing to Europe and USA.
 
Odhiambo cairo

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Messages
11,788
Points
2,000

Odhiambo cairo

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2015
11,788 2,000
Ulaya na Amerika hawana shida na udikteta wako as long as you stand for their exploitative interests.
Ukiwanyima ulaji ndiposa wanaanza kukupaka masizi na kukuita dikteta.
Mnasema ufalme wa Saudia ni wakidikteta lakini UK na US wanausapoti.
Mnasema Kagame ni dikteta lakini wote tunajua how close Kagame and Trump are.
Watu weusi hamjui adui yenu ni nani that is why you are here cowtowing to Europe and USA.
Kwa hiyo wa kwetu wana maslahi nao au vipi ?!.
 
mafutamingi

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2011
Messages
1,724
Points
2,000

mafutamingi

JF-Expert Member
Joined Feb 14, 2011
1,724 2,000

Nilitamani kusoma hicho kitabu lakini bei ghali sana. Ungefanya 20k kingetembea sana!
 
Martine Tibe

Senior Member
Joined
Sep 10, 2019
Messages
133
Points
225

Martine Tibe

Senior Member
Joined Sep 10, 2019
133 225
Umenikumbusha aliyoyasema Prince katega wa 2.kuhusu wazungu.(I recall :mzungu ni colonizer ,mzungu Hana urafiki na waafrica yupo kwa maslah tu.mtu anayekpangia bei na kukutoza riba kubwa za dollar hawez kuwa mkombozi wako.)..Mwisho. Lakini mkutano uliofanyika urusu kama wiki nyuma hivi uliohudhuriwa na viongozi wa Africa na hapa kwetu PM alimwakilisha President ,nilisikia hotuba ya Putin akisema amesamehe madeni ya mabilion ya dollar kwa Africa yaliyokuwepo toka enzi za kisoviet.na hii kmbe c mara yake ya Kwanza Alisha Fanya hvyo mwanzo .Swali lngu kwa nn mataifa yenye uchumi dunian yanawaita viongozi wa Africa ,kwenye mkutano yaan tunasubiri tuitwe badala ya ss waafrica kufanya mikutano ya kwetu??.
Kingne ukiangalia mkutano wa adis Ababa agenda zake huwa sizielew ni za enzi za Nyerere ,Kaunda ,Neto na Mandela.
 
Huwa nakubar speech za PLO Lumumba wa kenya
 
dolevaby

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2013
Messages
10,514
Points
2,000

dolevaby

JF-Expert Member
Joined Aug 25, 2013
10,514 2,000
Naww unaamini kuna mtawala Africa anaweza kumzuia mzungu kuiba? achana na porojo za watawala hawana uwezo huo
Ulaya na Amerika hawana shida na udikteta wako as long as you stand for their exploitative interests.
Ukiwanyima ulaji ndiposa wanaanza kukupaka masizi na kukuita dikteta.
Mnasema ufalme wa Saudia ni wakidikteta lakini UK na US wanausapoti.
Mnasema Kagame ni dikteta lakini wote tunajua how close Kagame and Trump are.
Watu weusi hamjui adui yenu ni nani that is why you are here cowtowing to Europe and USA.
 
Forum statistics

Threads 1,391,984
Members 528,518
Posts 34,094,891
Top