Diamond, Rayvanny, Nandy, Lil Ommy washinda tuzo Marekani

Hziyech22

JF-Expert Member
Jun 8, 2019
13,553
18,875
Wasanii kutoka Tanzania washinda tuzo ya east entertainment awards USA ambapo hizo tuzo zilifanyika USA.Msanii wa kimataifa kutoka Tanzania diamond platnumz alishinda katika kipengele Cha best collaboration ft (baila),rayvanny na nandy wameshinda kwenye kipengele Cha best male/female east and north south huku mtangaziaji wa Times fm lil ommy ameshinda katika kipengele Cha best host.

Hongereni wasanii wetu kwa kupeperusha vizuri bendera ya Tanzania maana huku kwenye bongo movie wanatuangusha
 
Yaani kwa taharuki aliyokuwepo bado unapata nguvu ya kuleta taarifa kama hizi???
 
Wasanii kutoka Tanzania washinda tuzo ya east entertainment awards USA ambapo hizo tuzo zilifanyika USA.Msanii wa kimataifa kutoka Tanzania diamond platnumz alishinda katika kipengele Cha best collaboration ft (baila),rayvanny na nandy wameshinda kwenye kipengele Cha best male/female east and north south huku mtangaziaji wa Times fm lil ommy ameshinda katika kipengele Cha best host.

Ongereni wasanii wetu kwa kupeperusha vizuri bendera ya Tanzania maana huku kwenye bongo movie wanatuangusha
Haya mambo huu muda si wakati wake tafadhali
 
Najisikia aibu kutoa pongezi kwa tuzo zenyew hazitambuliki haijulikani upigaji wa kura ilikuwa lini
 
hivi hizo tuzo wanazopewa daily kama njugu huwa zina manufaa yoyote?
Unapata hela na exposure zaidi cos kwenye tuzo hizi zinawakutanisha wasanii wakubwa wa Africa na nje ya bara la Africa lakini pia inakupa CV nzuri msanii.kwenye tuzo Kama hizi ziliweza kumkutanisha diamond na kundi maarufu na lenye kufanya vizuri mortan heritage sijui jina nitakuwa nimelipatia? Kutoka jamaica tokea hapo kukatokea collaboration Kali na ya kufungia mwaka HALELLUYA.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom